Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Albert Sambi Lokonga anakaribia kujiunga Burney

Mazungumzo yanaendelea kati ya #ArsenalFC na #BurnleyFC kutafuta makubaliano ya mkopo pamoja na chaguo la kumnunua moja kwa moja ambalo linaweza kuwa la lazima endapo kiungo huyo wa Ubelgiji atacheza idadi fulani ya mechi.

Wazo la kwanza la kiungo huyo wa Ubelgiji lilikuwa ni kujaribu kwenda nchini Uhispania lakini timu ya Vincent Kompany ,Burney itakuwa suluhisho thabiti zaidi kwa sasa na hiyo itamruhusu kuonyesha na kuthibitisha kuwa yuko tayari kwa PL.
 
David Raya is understood to FAVOUR a move to long-term admirers Arsenal, where he would be reunited with former Brentford goalkeeper coach Inaki Cana. [@David_Ornstein]
 
BREAKING NEWS

David Raya had Jana Bayern alikuwa a head kumsajiri

Leo amekataa anataka kucheza timu ya Ndoto yake Arsenal
 
EXCL:

Arsenal exploring deal to sign Brentford goalkeeper David Raya. No bid yet but #BrentfordFC aware of interest. #FCBayern also pursuing but 27yo keen to join #AFC. #NFFC considering Matt Turner; gap in valuations but dialogue ongoing

Source: David Ornstein

@TheAthleticFC
 
Kifupi tunakuwa na Two GK wenye uwezo unaokaribiana

David Raya au Ramsdale hapo unaanza na yeyote

Ramsdale ameonekana ana vimakosa vidogo vidogo ,

David Raya + Aaron Ramsdale would be insane GK options to have. Not just judging off pre season but I feel Ramsdale may need the competition, his performance levels have dropped quite a bit since he first signed
 
After new meeting earlier today, talks between FC Bayern and Brentford for David Raya are collapsing — the deal is currently off

Bayern offered loan + option deal — rejected by both player & Brentford.

Arsenal are now interested, as called by @David_Ornstein. No bid yet.
 
Kifupi tunakuwa na Two GK wenye uwezo unaokaribiana

David Raya au Ramsdale hapo unaanza na yeyote

Ramsdale ameonekana ana vimakosa vidogo vidogo ,

David Raya + Aaron Ramsdale would be insane GK options to have. Not just judging off pre season but I feel Ramsdale may need the competition, his performance levels have dropped quite a bit since he first signed
Safi sana, kila sehemu full nondo..

Kwa person error za Ramsdale ilikuwa swal la muda tu kupata back ya maana.

Shughuli ya raya sio ya kitoto,
 
Safi sana, kila sehemu full nondo..

Kwa person error za Ramsdale ilikuwa swal la muda tu kupata back ya maana.

Shughuli ya raya sio ya kitoto,
Naona Arteta anataka kuja msimu huu kamili , Ramsdale Kuna makosa anayafanya , halafu amekuwa very comfortable tofaut na alivyofika

Kapungua Sana kwenye ball distribution
20230730_164720.jpg
 
ARSENAL KUTUMA OFA MUDA MCHACHE

Kwa uwezo wa David Raya naona kabisa Ramsdale akienda benchi asubiri FA NA CARABAO

BREAKING NEWS

Fabrizio Romano

David Raya prefers Arsenal move over Bayern. Deal depends on clubs now but Arsenal expected to bid soon in order to accelerate talks. ️ #AFC

Negotiations with Bayern are currently off after loan offered in the morning — not what player/Brentford wanted.
 
Naona Arteta anataka kuja msimu huu kamili , Ramsdale Kuna makosa anayafanya , halafu amekuwa very comfortable tofaut na alivyofika

Kapungua Sana kwenye ball distributionView attachment 2703103

Ball distribution bado yuko vizuri sana hapo unamuonea ila changamoto ni makosa madogo madogo yanayotukosti wakati muhimu.
 
Arteta hanaga rafiki wala kipenzi cha kudumu kwenye nafasi endapo makosa yanayojirudia ama nidhamu

See u soon Ramdale game na Southampon 3-3 ndo game inaniuma hadi kesho
Yah upo sahihi ,hanaga rafiki wa kudumu ,Kuna makosa amekuwa akifanya ,kumbe Arteta anamcheki tu

Sasa anaenda kuwa wa FA na Carabao
 
ARSENAL KUTUMA OFA MUDA MCHACHE

Kwa uwezo wa David Raya naona kabisa Ramsdale akienda benchi asubiri FA NA CARABAO

BREAKING NEWS

Fabrizio Romano

David Raya prefers Arsenal move over Bayern. Deal depends on clubs now but Arsenal expected to bid soon in order to accelerate talks. ️ #AFC

Negotiations with Bayern are currently off after loan offered in the morning — not what player/Brentford wanted.
Tumekuwa kama Liverpool Sasa ni kimyakimya sasahv unasikia tyri mtu kashanyakuliwa
 
Naona Arteta anataka kuja msimu huu kamili , Ramsdale Kuna makosa anayafanya , halafu amekuwa very comfortable tofaut na alivyofika

Kapungua Sana kwenye ball distributionView attachment 2703103
Kweli kabisa, hii yote kwa sababu hakua na challange ya maana.

Nauona msimu bola zaidi ya ulio isha kwa Arsenal.

Kila sehemu kuna watu,

Upande wa saka ndio sehemu nayo subili ipate back up ya maana, japo nahisi mpka dirisha dogo.

Yule dogo dubbery kam sijakosea, apandishwe tu mazima apige game hat za carrabao.
 
Yah upo sahihi ,hanaga rafiki wa kudumu ,Kuna makosa amekuwa akifanya ,kumbe Arteta anamcheki tu

Sasa anaenda kuwa wa FA na Carabao
Yupo fresh, but hakua na challange , hakuwa mtu wa kuwaza namba yake ilikua pale pale

Sasa this time, nazani atapunguza ayo makosa madogo madogo.
 
Back
Top Bottom