Mjusi_kafiri
JF-Expert Member
- May 8, 2022
- 1,016
- 1,878
Big games zote naenda na Raya, middle team zote naenda na Raya, izo chelsea na wengine washuka daraja naenda na Rams. Hapa nazungumzia kila mmja akiwa kwenye A perfomance yake.Kwahiyo Raya vs Ramsdale yupi ni bora zaidi kwako ambaye if mkiwa nao wote unahisi first 11 ataonekana sana?
Newcastle tuko [emoji91] wanacheza madogo janja lakini moto wao si mdogo kuna dogo anaitwa eliot Anderson weka hili jina kichwani , then tukutane hapo August uzuriii wa magpies hata ukitangulia kwa 2 goals bado wanarudiii nadhani this season tutakuwa king of comeback!!!