Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Yah ndio maana nimesema nawasiwasi nae hapo tu, mpira ni dynamic

Hadi Sasa kwa squad hii hawez kukimbizana kuwania EPL , But things changes anytime inategemea dirisha linafungwa atasajili vipi

Ila uwezo wa kuendeleza vipaji ,TALENT ID , Sina wasiwasi nae ,ana historia nzuri alikotoka
 
Agent wa SAKA ndio Agent wa LAVIA..........SO WHAT ???????......SO WHAT ????
Arsenal Fans wengi ni STONE HEADES.
 
Hao uliowataja Silva na Gundogan ni walaini ila ni far better than Kai kwasababu wana vitu vya kipekee ndivyo vilivyowafanya wan'gae mfano Silva ni kweli mlaini lakini ni mchezaji mwenye jicho la pass kwa kiwango cha juu, anajua kuficha mpira na ndio maana ni ngumu kumnyan'ganya mpira hata uwe na miguvu kiasi gani utaishia tu kumchezea rafu hiyo quality Kai hana
 
Ngoja tuone ,muda utasema
 
| Declan Rice:


“I think five years ago I'd be dreaming about where I am now. I don't actually think about it. It is crazy to think 'yeah OK, I've been sold for £100m' but I haven't thought about it once.

“That's a price tag that is now attached to me. I just try to play football and enjoy myself. I don't try to put any added pressure on me. Me being myself is what's got me here. That isn't going to change now I'm at Arsenal. I'm still going to do things that I've done that have got me to Arsenal.

“I'm [also] going to do things differently that Mikel wants me to do and take it all in my stride and try not to put myself under any pressure. In football it is easy to do that.

“I think it is important that we are constantly open to learning and wanting to improve

“At the end, judge me on the price tag then, don't judge me after two or three weeks.

“Hopefully at the end, that's why I've come to Arsenal because I want to be a success and I want this club to be a success.” [@ESPNFC] #afc
 
Hua mnachambua baadhi ya vimaneno ndo mnaishi navyo kumbe!!
Ishu ya lavia toka mwanzo inategemea kuondoka au kubaki kwa Partey mnajitoa akili muda mwingine.
Mm ndio maana hata sijamjibu huyo jamaa

Hata leo Fabrizio kasema Arsenal wameachana na Hilo dili sababu Partey hauzwi,

Ni juzi hapa Arteta kasema hawez muuza Partey ,

Ilikuwa Kama akiondoka ndio wanaenda kwa Lavia, na personal term Arsenal walimalizana nae mapema wakijiandaa Kama waarabu watamnunua Partey ,
 
Declan Rice about the chemistry with other Arsenal players:

“You know what? I think from the first day when I was there, Leandro Trossard. You wouldn’t put us two together, I would say, but he’s a really, really top guy.”

“I sat next to him on the plane. I’ve been with him here quite a lot. He’s just an all-round top person. I’ve really got on with him and playing against him in the past as well, he was always a pain so it’s nice to have him on my side now.”(sky via tbr)
 
Balogun will push for Arsenal exit once Inter start negotiations. Inter have kept the player at the top of their list.

(@CorSport via @Sport_Witness
 
Agent wa SAKA ndio Agent wa LAVIA..........SO WHAT ???????......SO WHAT ????
Arsenal Fans wengi ni STONE HEADES.
So unataka tusajili wachezaji wote wanaosimamiwa na agents wa wachezaji wetu? Dah hii nchi ngumu sana
 
MC MASINGELI Bana Eti Oooooooh.
Bado dili la LAVIA tufunge usajili kwenye kiungo kila kitu tumesha malizana na Lavia.......
Anawajazaga wajinga wake na wanajaa.
Ona mikondoo yake inavyotetea wkt ni wao wenyewe walituambia.
So unataka tusajili wachezaji wote wanaosimamiwa na agents wa wachezaji wetu? Dah hii nchi ngumu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…