Mkuu sioni kikosi, sioni chochote kileHapa Hakuna mechi
Kuna dalili hakuna mechi ngoja tuoneMkuu sioni kikosi, sioni chochote kile
Naona game imesogezwa Hadi saa 12 asubuhi kwa saa za kwetuKuna dalili hakuna mechi ngoja tuone
NimeonaNaona game imesogezwa Hadi saa 12 asubuhi kwa saa za kwetu
Ebu kitume nikioneKimetoka sasa
Kuna combo anaitafuta Arteta#AFC team -
Ramsdale; White, Saliba, Gabriel, Timber; Partey, Odegaard, Havertz; Saka, Jesus, Trossard
Duuuh huyu rice ndio tunahitaji awe involve kwa asilimia 100 hii pre-seasonBalogun and Rice not in the squad.
Naona Midfield ya Partey Kai ødeKuna combo anaitafuta Arteta
By the way hizi ndio game za kutest mitambo
Hanaga injury ,ngoja tuone taarifa zitatokaDuuuh huyu rice ndio tunahitaji awe involve kwa asilimia 100 hii pre-season
YeahNaona Midfield ya Partey Kai øde
Leo back 3 ya White Saliba na Magalhaes
Hiki kikos Cha Leo kingine kabisaYeah
Hapo timber na trossad unaweza kuhisi nothing change
NimekupataHiki kikos Cha Leo kingine kabisa
Arteta kwanza kaona Saka hatakiwi kuwa alone ,amezoeana na white
Timber kawekwa LB lakin ili aingie kiungo
Ngoja tuone