hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,622
- 27,310
Yah ndio maana nimesema nawasiwasi nae hapo tu, mpira ni dynamicMaurizio Sarri kaja Chelsea akiwa hana historia yakushinda makombe lakini kaja kuwin akiwa na club yetu, kushinda makombe inagemea na ambition ya club, historian yake pamoja na uwekezaji wa kikosi kwenye team pamoja na ubora wa kocha mwenyewe, kama unaletewa wachezaji wazuri na unapata msukumo wa mashabiki wakuhitaji makombe kwanini ushindwe kuchukua?
Hadi Sasa kwa squad hii hawez kukimbizana kuwania EPL , But things changes anytime inategemea dirisha linafungwa atasajili vipi
Ila uwezo wa kuendeleza vipaji ,TALENT ID , Sina wasiwasi nae ,ana historia nzuri alikotoka
| Declan Rice:
Declan Rice about the chemistry with other Arsenal players: 