[emoji16][emoji16][emoji16] hapa kagusia kidogo tu kua hio pesa mliyopoteza kumnunua Harvez ni bora mngemchukua Diaby au Olise, jamaa akamkumbushia kuhusu Atletico Madrid[emoji16][emoji16][emoji16]Sidhan Kama jamaa ana mtazamo huo unaousema na sijaona sehemu kasema kahamia atletico
Nilichosema mm ni uhalisia wa Arsenal kwenye makocha ,hawana hizo habari za timua timua
Hata Emery alitimuliwa sababu alikuwa anaididimiza klabu inacheza Kama manjesta au Burney ,
Arteta sio kwamba ni kipenz Cha owners tu hata mashabiki wanampenda ,ndio maana nasema anaweza kufika hata miaka 20+
Nyie manjesta subiri 7hag ayumbe kidogo ,x mass anaweza asiione
Yule kocha wao Baba Ubaya muangalie hata akifanya press conference anayoyaongea...yaani kakaa kivitavita tu....kama hii ndo style wanayotaka kuja nayo kwny ligi kuu wajiandae na suspension nyingi za wachezaji....watu wanacheza kama Abajalo fc mzee....wakati ni pre season tuManjesta wamemvunja mtu mapafu
Manjesta hii ni pre season tu asee[emoji1787][emoji1787]
Man United Punctured the Lung of a Wrexham player last night …..
In a friendly ……
Arsenal were lucky to not get a serious injury against these hatchet men!View attachment 2699538
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] The masterclass mwenyewe,Declan Rice-
"Kwa kweli naona soka kwa njia tofauti kabisa sasa.. Unapokuwa unakuwa unafikiri unajua soka unapokua unacheza, lakini unakutana na makocha kama Mikel Arteta na unagundua kuwa hujui lolote."
(kupitia @imadAFC )View attachment 2699533
Amedanganya...kamwambia kijana chezacheza kwa Hawa malofa ukibakiza mwaka mmoja tutakuchukua uje kucheza na wanaojua mpira sio hao wacheza ndoigeMikel Arteta on what he said to Martinez on Saturday:
“I was just happy to see him over there, I know him personally. I was happy to see him back after his injury & that’s it, it is about the sport, it’s about the people we know & we wished each other good luck for the season.”View attachment 2699534
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dunia imebadilika watu wanataka sexy football ya Masterclass Arteta ila baba ubaya anang'ang'ania kuvunja kuni mpaka kwenye pre season.Yule kocha wao Baba Ubaya muangalie hata akifanya press conference anayoyaongea...yaani kakaa kivitavita tu....kama hii ndo style wanayotaka kuja nayo kwny ligi kuu wajiandae na suspension nyingi za wachezaji....watu wanacheza kama Abajalo fc mzee....wakati ni pre season tu
Acha uchochezi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndio maana nimemtahadharisha mapema ndugu yangu zitto junior asilete hizo story za kumfukuza Masterclass, anatakiwa ajue hapo Arsenyo Mateka ndio Alfa na Omega, habari za kumsema vibaya Kocha la boli jukwaa ataliona chungu hili shauri yake.
Kuna wakereketwa tayari wameshamkumbusha kua yeye ni mamluki alishahamia Atletico Madrid.
Huyo jamaa huwa anapenda kuchochea ,halafu baadae anasema Arsenal fans Wana matusi ,n.k ila Hakuna mtu mchochezi Kama huyo jamaa ,anawekaga mitego yake itokee fujo humu afurahieAcha uchochezi
Ila ni mmoja kati ya wapenzi wa mpira wazuri tu na hasa beautiful sex soccer kama ya arsenal[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyo jamaa huwa anapenda kuchochea ,halafu baadae anasema Arsenal fans Wana matusi ,n.k ila Hakuna mtu mchochezi Kama huyo jamaa ,anawekaga mitego yake itokee fujo humu afurahie
Shida yake anapenda uchocheaji ,inaonekana anapenda Sana fujoIla ni mmoja kati ya wapenzi wa mpira wazuri tu na hasa beautiful sex soccer kama ya arsenal[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Flanoooooooooooooooooo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jukwaa limepoa sana hili.Shida yake anapenda uchocheaji ,inaonekana anapenda Sana fujo
Havertz amecheza mechi ngapi mpaka useme tumekula hasara Mzee??Na hii ni hatari, amecheza gemu nyingi mnoo ni vizuri apate sub ya uhakika au awe rotated Kila wakati otherwise yatamkuta ya Wilshere au Diaby.
Hiyo pesa tuliyoingia hasara kwa Havertz ingefaa tusajili RW kma ni Diaby au Olise n.k
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Declan Rice-
"Kwa kweli naona soka kwa njia tofauti kabisa sasa.. Unapokuwa unakuwa unafikiri unajua soka unapokua unacheza, lakini unakutana na makocha kama Mikel Arteta na unagundua kuwa hujui lolote."
(kupitia @imadAFC )View attachment 2699533
Havertz ni hasara tayari kumbe?.Na hii ni hatari, amecheza gemu nyingi mnoo ni vizuri apate sub ya uhakika au awe rotated Kila wakati otherwise yatamkuta ya Wilshere au Diaby.
Hiyo pesa tuliyoingia hasara kwa Havertz ingefaa tusajili RW kma ni Diaby au Olise n.k
Pochettino anacheza soka la kushambulia sio possession football nikusahihishe hapo alafu ni kocha mwenye jicho la kuona kipaji na kukimproveUtakua pimbi kama unaamini Pochettino ni kocha wa kucheza possession football itakayowapa wachezaji wenu muda wa kufanya 1,2 au kumnyanyasa mpinzani
Kwani ujui kai ni hasara ya waziwaziHavertz ni hasara tayari kumbe?.
tuna Maagent wawili hapo kwenu Kai na jorginho kama mtawachezesha ngumu nyinyi kupata ushindi kwetuKufungwa na timu mbovu kama Man u binafsi naamini either ni kukosa balance au overconfidence ni dhambi kwa Arsenal hii kufungwa na timu kama Man u, Chelsea au Liverpool.
Hata anayepaki basi na kucounter na yeye anashambuliaPochettino anacheza soka la kushambulia sio possession football nikusahihishe hapo alafu ni kocha mwenye jicho la kuona kipaji na kukimprove
Kane, Delle Ali, son, Dembele, Ericksen, Dan rose and walkerHata anayepaki basi na kucounter na yeye anashambulia
Nitajie vipaji vitatu alivyoviimprove mpaka leo vinatamba duniani