toobiter
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 1,422
- 2,791
Hii ina baraka zangu zoteFirst eleven yangu Hadi Sasa ya kuanza nayo EPL View attachment 2699206
Hii ina baraka zangu zoteFirst eleven yangu Hadi Sasa ya kuanza nayo EPL View attachment 2699206
Nimemuangalia vizuri, atahitaji msimu mmoja ndio aanze kuingia first kikosi cha wakubwa Kama akija arsenalBaller Review - Bitello
Club: Grêmio
Nationality: Brazil
Position(s): AM, CM, RW, RM, DM
Preferred Foot: Right
Height: 5’10”/178cm
Age: 23
Strengths: stamina, versatility, agility, distant shooting, box entry
Development Areas: physical strength, consistent decision makingView attachment 2699205
Hapo sawa kabisaFirst eleven yangu Hadi Sasa ya kuanza nayo EPL View attachment 2699206
Naona watamuacha had November Kama dili likikamilika ,anaoneka hatachukua muda Sana ,nimempendea kwenye mashutiNimemuangalia vizuri, atahitaji msimu mmoja ndio aanze kuingia first kikosi cha wakubwa Kama akija arsenal
Kwasababu timber na saka partnership unahitaji muda wazoeaneFirst eleven yangu Hadi Sasa ya kuanza nayo EPL View attachment 2699206
Hawa wapya inabidi waingie taratibu ,lengo la kwanza tusiharibu rythim ya mwaka JanaHapo sawa kabisa
Kwa saka na Timber wanahitaji nao kuzoeana ,Kwasababu timber na saka partnership unahitaji muda wazoeane
Kuna trossad, Rowe, Kai, kiwior, tomiyasu
Hapo bado Kuna Tierney, nketiah, Nelson
Kudus je akija?
Mbape nasikia anatushobokea, Ila Arteta amekausha
Kusema kweli, Mimi nakosa first eleven, Ila najua msimamo wa kwanza ni Arsenal NDOO
Naimani Arteta huko alipo kichwa kinamuuma Kama mimi
Ana-shut Sana nje ya box,Naona watamuacha had November Kama dili likikamilika ,anaoneka hatachukua muda Sana ,nimempendea kwenye mashuti
Kama ukiangalia vizuri game na nyumbuKwa saka na Timber wanahitaji nao kuzoeana ,
Cha kwanza ile rythim ya last season inatakiwa kubaki pale pale ,
Zinchenko atusogeze ,timber atakuwa kashazoea
Akicheza Kama Winger anasaidia kukaba maana wamemtumia Sana Kama adv 8, DM ,Ana-shut Sana nje ya box,
interception pia yupo vizuri,
Dribbling kupangisha timu yupo vizuri Sana hapa
Namuona Kama advanced namba 8 au wings
Hii picha Shaw ameiona?Akicheza Kama Winger anasaidia kukaba maana wamemtumia Sana Kama adv 8, DM ,
Ligi ya EPL ukiwa na kipaji ,ongeza na physical haikusumbui , Martinelli alipofika walimuumiza ,alipokaa nje karibu nusu mwaka ,alirudi vzr kimwili
Naona Saka anazidi kuongeza mwili ili mabeki wapate tabu View attachment 2699222





Trosaard ile namba anaiweza na anatupa kitu Cha tofauti , nilimuona Kama kazingua zile mech za mwisho ,nilipofatilia vzr kumbe akicheza zile mechi na injury ,Kama ukiangalia vizuri game na nyumbu
Rowe na tomiyasu wamekuja na energy kubwa Sana, ata ukitatilia interviews zao wapo so angry hasa hasa Rowe
Trossad huyu unaweza muita cazora Jr, unajua kutunza mipira, anapokea mipira mazingira magumu bila shida alafu yupo fasta kwenye maamuzi kaangalie lile goal anawapiga wale wamerakani
Unaweza kuta trossad akaupiga mwingi kuliko rice katika ile namba
Hii picha Shaw ameiona?![]()

saka anazid kuimarika Sana, bado hajafika peakYesTrosaard ile namba anaiweza na anatupa kitu Cha tofauti , nilimuona Kama kazingua zile mech za mwisho ,nilipofatilia vzr kumbe akicheza zile mechi na injury ,
Baada ya pale akaenda kufanyiwa surgery ndogo
Trosaard hata kukaba anajua , pia ana ufundi mguuni wakutoa assist na kufunga
Rice bado hiyo namba hatujamuona
Ila Partey na Zinchenko wakianza wote, kule mbele kila mtu utamuona fundi




Ana-shut Sana nje ya box,
interception pia yupo vizuri,
Dribbling kupandisha timu yupo vizuri Sana hapa
Namuona Kama advanced namba 8 au wings

️ |
No midfielder has won more fouls or had more touches in the opposition boxes in the Brazilian league this season then Gremio midfielder Bitello. (@Squawka)
#afc #TransfersHii pre season tumuache kocha atafute paternship nzuri yakushinda mechi nyingi , Kuna mech Kama zile za Newcastle, Astonvilla, Brighton , hizi mech huwa hizi timu Kuna muda zinaziba mianya zinataka sare au kukuvizia kauntaYes
Zinchenko na partey wakiwa Kama holding midfielders
Rice na odegard watakua wanachange position na kutafuta vyumba
Kwaio muda mwingi saka, martinel na Jesus watakua wanashinda kulekule juu
Na ikitokea tunashambuliwa rice anakuja kupattern na partey
Huku zinchenko aki-drop down
Kuna hatari nainusa msimu huu![]()
| Tomiyasu on the positions he can play: “Obviously, not only me, we’ve got players like Ben White, Timber, Kiwior who can play full-back or centre-back.
| Tomiyasu on Champions League: “I am so excited to play and just want to be on the pitch to help the team. So the first thing I need to do is prove my value in the training.Ndio maana partey alivyoumia Lokonga hakutosha pale kwenye kiungoHii pre season tumuache kocha atafute paternship nzuri yakushinda mechi nyingi , Kuna mech Kama zile za Newcastle, Astonvilla, Brighton , hizi mech huwa hizi timu Kuna muda zinaziba mianya zinataka sare au kukuvizia kaunta
Zinchenko hapo ndio huwa nampenda anazunguka maeneo yote anapiga pass tu za mbele
Even hata ile mech na nyumbu Emirates , Zinny alipiga mpira mkubwa Sana ,ilifika muda tunahitaji ushindi ,hapo zilipigwa pas s za mbele kila wakati ,
Hapo Martinelli atakukimbiza ,Saka atakuchukua kwenye box
Lakin yote hayo ni wapate mipira Mara kwa Mara
