Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Nimehoji tu kujua kama anaweza kuvumiliwa miaka 20+ bila mataji?
Alishaonesha mwanga wapi timu anaipeleka , tatizo mashabiki wengi wanasahau Arsenal aliyoikuta na alipoifikisha Sasa na inapoelekea

Ni swala la muda Arsenal kuanza kupambania mataji makubwa Tena

Sio habari ya top 4 tena ,

Kwa culture ya Arsenal ni wazi huyu jamaa walishamuandaa ,ukiweka mising mizuri mataji yatakuja tu ,Sion akifukuzwa namuona akikaa Sana Arsenal like Wenger

Sababu anapita mule mule alipopita Wenger ,halafu yeye ana advantage anapewa Pesa za kutosha
 
[emoji599]Arsenal to close the signing of Bitello this week for 8m euros

(@TuttoMercatoWeb )
 
Alishaonesha mwanga wapi timu anaipeleka , tatizo mashabiki wengi wanasahau Arsenal aliyoikuta na alipoifikisha Sasa na inapoelekea

Ni swala la muda Arsenal kuanza kupambania mataji makubwa Tena

Sio habari ya top 4 tena ,

Kwa culture ya Arsenal ni wazi huyu jamaa walishamuandaa ,ukiweka mising mizuri mataji yatakuja tu ,Sion akifukuzwa namuona akikaa Sana Arsenal like Wenger

Sababu anapita mule mule alipopita Wenger ,halafu yeye ana advantage anapewa Pesa za kutosha
Wewe hamis77 ndio unafanya fans wengi wa arsenal kujiua pindi timu ikipoteza mechi sababu ya false hope unazowapa humu jukwaani.

Kiuhalisia arsenal haina maajabu makubwa sana ukilinganisha na misimu mingine iliyopita ila msimu jana iliikuta liverpool dhoofu,chelsea inayojitafuta,united imeparanganyika na city alianza msimu kwa kulegalega ndio maana mkawa nafasi mliyomaliza.

Tfadhali punguza matarajio uliyonayo kwa timu yenu ili ufurahie football.
 
Kitu chengine unachopaswa ukielewe, hata hao unaowataja (city, nyumbu, chelkenge) wametamba, walitamba kwasababu Arsenal alikuwa mbovu
 
Kitu chengine unachopaswa ukielewe, hata hao unaowataja (city, nyumbu, chelkenge) wametamba, walitamba kwasababu Arsenal alikuwa mbovu
😃😃😃😃😃 Hizi burudani ya comedy za hili jukwaa huwezi kuzipata jukwaa lingine.
Inabidi Maxence Melo aanzishe subscription fee ya kulipa ili tuwe tunalipia kushuhudia burudani adhimu ya Arsenal Comedy show chini ya muongozaji Mc Hamiss77 masingeli.
 
Wewe hamis77 ndio unafanya fans wengi wa arsenal kujiua pindi timu ikipoteza mechi sababu ya false hope unazowapa humu jukwaani.

Kiuhalisia arsenal haina maajabu makubwa sana ukilinganisha na misimu mingine iliyopita ila msimu jana iliikuta liverpool dhoofu,chelsea inayojitafuta,united imeparanganyika na city alianza msimu kwa kulegalega ndio maana mkawa nafasi mliyomaliza.

Tfadhali punguza matarajio uliyonayo kwa timu yenu ili ufurahie football.
Chelsea aliyetoka kuwa bingwa wa ulaya akatumia €650m , Manjesta aliyetumia €250m , Liverpool aliyetoka kupigania Quadruple unasemaje hawakujipanga

Kwa point alizopata arsenal 84, ni points ambazo misimu yote ni zakupigania ubingwa

Ligi inaanza mlisema hatutanusa top 6 ,

Why leo mseme Liverpool, manjesta,na Chelsea waliotumia mamilion kutaka ubingwa mseme hawakujipanga ,huoni unadanganya umma

Misimu mingine Arsenal tulikuwa dhoofu sababu hatukuwa na mipango nje na ndan ya pichi

Safar hii unaona hata kwenye usajili anaingia Bayern anakula za mbavu ,anakuja bwana wenu city mnamshangilia ,wahuni tunaweka £105m analala mbele ,mnabadili kauli
 
Kitu chengine unachopaswa ukielewe, hata hao unaowataja (city, nyumbu, chelkenge) wametamba, walitamba kwasababu Arsenal alikuwa mbovu
Dah umempa jibu la ukweli ,kipind wanatamba ni sababu Arsenal haikuwa inawekeza ndan na nje ya pichi

Now tunawekeza wanasema eti wao wabovu[emoji1787][emoji1787]
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] Hizi burudani ya comedy za hili jukwaa huwezi kuzipata jukwaa lingine.
Inabidi Maxence Melo aanzishe subscription fee ya kulipa ili tuwe tunalipia kushuhudia burudani adhimu ya Arsenal Comedy show chini ya muongozaji Mc Hamiss77 masingeli.
Jamaa kajibu jibu zuri Tena fupi

Kipind mnatamba ni kipind Arsenal hatukuwekeza ,project yetu rasmi yakupambana imeanza mwaka 2019 ,

Na ndio mwaka KSE aliichukua timu kwa 100%

statistics za ku inject [emoji383] [emoji383] [emoji383][emoji383][emoji383] zinaonesha hivo

kusema Chelsea, manjesta, Liverpool walitetereka ni uongo mkubwa,

Last season waliwekeza a lot of money , even this season

20230721_223651.jpg
 
KUTOKA BRAZIL

[emoji599]Arsenal look to sign Bitello from Grêmio this week for €8 million euros reports @dimitri_conti . This journalist is a really top source I am told and close to the situation.

So this looks like it will happen
20230725_193731.jpg
 
Another source

Arsenal are set to sign Brazilian midfielder Bitello this week, according to Italian outlet TuttoMercato.

The Gunners have agreed a deal worth around £6.8million with Gremio for the 23-year-old.
20230725_194212.jpg
 
REAL SITUATION

[emoji845] || Arsenal are very close to signing Bitello from Grêmìo. It’s only left to see if he joins now or sees out the season in Brazil (until November) as initially they wanted €10m (£8.5m) but now Arsenal are paying €8m (£6.8m) so they may allow him to stay

[Via - @RafaPfeiffer].
 
I am not surprised by Arsenal’s interest in Grêmio's Bitello.

The Brazilian market is an area that Edu has been actively exploring.
 
Mwaka gan Arsenal alishuka daraja?

Hivi unajua zimebaki timu 2 tu I think Everton na Arsenal ambao hawajashuka daraja
We unachanganya mambo ni timu sita ndio ambazo hazijawahi kushuka tokea premear legue ianzishwe 1992. Arsenal, Everton, Tot, chelsea, Man u na liva.

Ila unaposema tokea Arsenal ianzishwe haijawahi kushuka huo ni uongo. ilishawahi kushuka, mwaka 1913. Na ilikua inaitwa Woolwich Arsenal.
20230725_200207.jpg
 
View attachment 2698976
Ok nimekupata , but Mimi nilikuwa nazungumzia ikiitwa Arsenal ,
 
[emoji92]Baller Review - Bitello[emoji92]

Club: Grêmio

Nationality: Brazil[emoji1054]

Position(s): AM, CM, RW, RM, DM

Preferred Foot: Right

Height: 5’10”/178cm

Age: 23

Strengths: stamina, versatility, agility, distant shooting, box entry

Development Areas: physical strength, consistent decision making
20230725_193731.jpg
 
[emoji92]Baller Review - Bitello[emoji92]

Club: Grêmio

Nationality: Brazil[emoji1054]

Position(s): AM, CM, RW, RM, DM

Preferred Foot: Right

Height: 5’10”/178cm

Age: 23

Strengths: stamina, versatility, agility, distant shooting, box entry

Development Areas: physical strength, consistent decision makingView attachment 2699205
Nimemuangalia vizuri, atahitaji msimu mmoja ndio aanze kuingia first kikosi cha wakubwa Kama akija arsenal
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom