Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Yeah, 20+ years plus enough kwa kutembeza FIMBO ulaya
Nimeona sehemu alipondoka Wenger ,Walitaka wampe timu pale pale Arteta , wakahofia experience , nahisi hata move ya kwenda kwa Pep ni ujasusi

Pep anasema Arteta hakuwahi kushangilia Arsenal ikifungwa , na alikuwa anaumia Sana

Emery alikuwa Kama day worker tu ndio maana hawakumuamin hata kumpa madaraka ,

Arteta mtoto mdogo now wamempa madaraka makubwa ,anaingia kwenye bodi ya timu ambayo ina watu almost 10 tu, humo hata kumfukuza unaanzaje
 
We scored almost 120 goals in all comps too.

With Jesus kukosa miez mitatu na bado alifunga goals 11 assist 5

Je siokwamba Mjadala wa kuongeza CF ni kumu underrate Jesus?

Kazi aliyo nayo mwalimu ni kuiweka sawa Midfield , fitness ya Jesus imerejea , naiman atatupa Goals 20 all competition zinatosha kabisa
20230725_124315.jpg
 
I think missing puzzle aliyebakia tumpate ni kudus

Soko la RW nalo limekuwa adimu , Mancity na Chelsea wanamtaka Olise

Mohammed Kudus 2022/23 Eredivisie:
◎ 30 games
◉ 11 goals
◎ 3 assists

Michael Olise 2022/23 Premier League:
◉ 37 games
◎ 2 goals
◉ 11 assists

Per 90 comparison.
 
Bukayo Saka is working hard ahead of the new season.

I wish he can score 25 Goals all competition
20230725_065201.jpg
 
100 points > invisible.
Sasa nyie mnatoa mdoroo yote yale unafikiri kumaliza na point 100 rahisi mashabiki wa Arsenal mnafurahisha kweli.
Kuna muda mnajizima Sana data , tutawaunga bando hivo hivo

Sir Fergie alisema hivi

I won thirteen leagues, but I was never near going through a season undefeated", the Scotsman said. Ferguson went on to add:

"The achievement (Invincible season), it stands aside- stands above everything else and it was Arsenal's"
 
Kwa kawaida dunia imeundwa kwa pande kuu mbili zinazokinzana,na vitu vyote ndani ya dunia nikama vinafata kanuni hii.mfano kinyume cha kufunga ni kufungua,kubana ni kuachia,magharibi kinyume chake mashariki,kaskazini ni kusini. Huu utofauti ndo unaleta ladha na uwiano.Forget about perfection.

Katika soka dunia imeshuhudia zama za wachezaji,makocha,philosophy of play na kila kitu kilikuwa na mpinzani waake.

Gurdiola anatazamwa na wengi kama shujaa wa kizazi hiki hasa wapenzi wa sex football.amepita barcelona kama kocha na kama mchezaji.Uzito wa jina la guardiola unatoka BRCELONA. Amevutia wengi na aina yake ya soka linalopendeza kwa macho wengine kama mashabiki,wachezaji na hata makocha.Inapendeza saana kumtazama kwa anachofanya na uanaweza dhani ni rahisi kufanya.

Lakini kuna upande wa pili ambao wengi hatuujui kuhusu guardiola hasa tangu akiwa barca na zaidi baada ya kutoka barca na style yake ya POSSESSION BASED STYLE OF PLAY.jamaa ameteseka na kuhangaika mno.
Swali ni wapi na nani kamtesa?
Guardiola ameteswa sana na watu wa COUNTER BASED FOOTBALL na WATU WA TRANSITIONAL FOOTBALL.hawa wamemnyima usingizi kote alikopita kuanzia barca,bayern hadi city kwa sasa. Haya mateso huwezi kuyaona kwenye ligi kuu bali utayaona UEFA. Jamaa ameteseka mno.Intermilan,chelsea,liverpool,man u,mardrid etc wamekuwa kama mzimu wanapokutana na timu zenye mapokeo ya guardiola.

Unataka kumcheka?hapana acha!!!.sio yeye tu kuna wenger na sasa arteta ameungana nao.ameteseka na atazidi kuteseka sana kama asipojitazama.

Tatizo la arsenal kwa muda wengi wamedhani ni kukosa quality tu,lakini kwangu mimi tatizo la arsenal ni UTAKATIFU.barca wanasumbuliwa na utakatifu,bayern walisumbuliwa na utakatifu na hata city ya guadiola bado ina shida ya UTAKATIFU.Transitional na counter football hazina utakatifu ziko phisical zaidi.style of play ya possession ya arsenal inawaandaaa wachezaji kuwa WATAKATIFU haziko brutal kama nature ya football.

Unajua kwanini guardiola amemleta halland?halland sio mchezaji wa possession based football.halland ni mchezaji wa counter na transitional football.kwanini yuko city? Pep amejitazama na akajiuliza kwanini tangu akiwa barca,bayern na city hapati matokeo muhimu UEFA licha ya kucheza soka zuri?.Akapata jibu,Akagundua anakosa ukatili.
Ukatili unaupata wapi? Jibu likaja kwa HALLAND.brutal,lethal and deadly.
Hampendi ila anajua anakitu anachokikosa.

Jesus,ednzeko,aguero,stering,silva,gundo na wengine wengi walimpa magoli ila hayakuwa MUHIMU, yaliyokuwa muhimu hayakuwa ya KIKATILI.
Ili ushinde UEFA unahitaji magoli MUHIMU na YA KIKATILI.forward katili anatengeneza HOFU kwa viungo na mabeki.Arsenal hatuna huyu mtu katili ila tuna wafungaji wa magoli ya kawaida.

Jesus,trossard,saka,martinell na nketiah wanakupa magoli ila hawakupi magoli muhimu wala magoli ya kikatili.kama kuna kitu arsenal inamiss ni killer striker.Ligi ni rahisi kubeba na forward tulionao ila sio uefa.

Guardiola kabadilika,wenger hakubadilika.arteta atabadilika?

Ligi inaanza tutaona mengi tusiyoyatarajia.
Unaweza dhani kwa sasa kikosi kimejaza quality,ni kweli.hata nyuma walikuwepo.ngoja nikukumbushe.unamkumbuka nasri,denlson,coquelin,fabrigas,carzola,rosisky,wilshere,diaby,sagna,clitchy,na wengine wengi?.walitengeneza nafasi za kutosha mno,walimiliki mno mpira na walikimbia sana.Unajua kwanini hawakubeba EPL au UEFA?
Angalia foward zao

Chamakh,gervinho,eduardo,podolsk,RVP,sanogo,arshavin,adebayo nk.
Wote hao walifunga magoli ila hayakuwa MUHIMU wala KATILI.
 
Centurion > invincible

Sijaibeza invincible ya Arsenal lakini ukilinganisha invincible na centurion (pointi 100) naona centurion is a bit impressive japo pia invincible ni ngumu kureplicate.
 
Arsenal haijawahi kugombea nafasi hizo Wala kushuka daraja toka ianzishwe ,

Wewe subiri had mech ya 5 mtaanza kumjadili pochinene afukuzwe
sikieni hii kondoo inajidanya kuwa Arse88 haijawahi kushuka daraja. Ndio makondoo wenzio wanakudanganya huko vijiwe vy kahawa.
 
Kenge wa darajani ,Arsenal hajawahi na Hakuna dalili ya hata kugombea kushuka daraja

Last season Kama sio point za Tuchel ,Sasa hivi mngekuwa championship na kina waycombe wanderas, kina Wimbledon , shukuruni Sana zile point za Tuchel alizowaachia kabla hamjamfukuza

Nakushangaa Sana unakuja kupiga kelele humu ,
 
Flano abaki hmu...mi namkubali...ni mtu ambaye unaona anatuponda sana lakini ukisoma psychology yake unaona kabisa anakubali kwmba arsenal tumerudi ulingoni rasmi
Flano Hana Shida ,tatizo lake moja tu tunamjua ni nyumbu wakutukuka ,Ila akiona Kuna ujinga anatetea

Huyu jamaa nataka nifanye mpango mechi ya Emirates itakuwa ya nne ,nimtafute tuangalie nae wote mechi huku tunakula nyama pori
 
Hii nzuri sana....na huo ndo uanamichezo
 
Kwa kawaida dunia imeundwa kwa pande kuu mbili zinazokinzana,na vitu vyote ndani ya dunia nikama vinafata kanuni hii.mfano kinyume cha kufunga ni kufungua,kubana ni kuachia,magharibi kinyume chake mashariki,kaskazini ni kusini. Huu utofauti ndo unaleta ladha na uwiano.Forget about perfection.

Katika soka dunia imeshuhudia zama za wachezaji,makocha,philosophy of play na kila kitu kilikuwa na mpinzani waake.

Gurdiola anatazamwa na wengi kama shujaa wa kizazi hiki hasa wapenzi wa sex football.amepita barcelona kama kocha na kama mchezaji.Uzito wa jina la guardiola unatoka BRCELONA. Amevutia wengi na aina yake ya soka linalopendeza kwa macho wengine kama mashabiki,wachezaji na hata makocha.Inapendeza saana kumtazama kwa anachofanya na uanaweza dhani ni rahisi kufanya.

Lakini kuna upande wa pili ambao wengi hatuujui kuhusu guardiola hasa tangu akiwa barca na zaidi baada ya kutoka barca na style yake ya POSSESSION BASED STYLE OF PLAY.jamaa ameteseka na kuhangaika mno.
Swali ni wapi na nani kamtesa?
Guardiola ameteswa sana na watu wa COUNTER BASED FOOTBALL na WATU WA TRANSITIONAL FOOTBALL.hawa wamemnyima usingizi kote alikopita kuanzia barca,bayern hadi city kwa sasa. Haya mateso huwezi kuyaona kwenye ligi kuu bali utayaona UEFA. Jamaa ameteseka mno.Intermilan,chelsea,liverpool,man u,mardrid etc wamekuwa kama mzimu wanapokutana na timu zenye mapokeo ya guardiola.

Unataka kumcheka?hapana acha!!!.sio yeye tu kuna wenger na sasa arteta ameungana nao.ameteseka na atazidi kuteseka sana kama asipojitazama.

Tatizo la arsenal kwa muda wengi wamedhani ni kukosa quality tu,lakini kwangu mimi tatizo la arsenal ni UTAKATIFU.barca wanasumbuliwa na utakatifu,bayern walisumbuliwa na utakatifu na hata city ya guadiola bado ina shida ya UTAKATIFU.Transitional na counter football hazina utakatifu ziko phisical zaidi.style of play ya possession ya arsenal inawaandaaa wachezaji kuwa WATAKATIFU haziko brutal kama nature ya football.

Unajua kwanini guardiola amemleta halland?halland sio mchezaji wa possession based football.halland ni mchezaji wa counter na transitional football.kwanini yuko city? Pep amejitazama na akajiuliza kwanini tangu akiwa barca,bayern na city hapati matokeo muhimu UEFA licha ya kucheza soka zuri?.Akapata jibu,Akagundua anakosa ukatili.
Ukatili unaupata wapi? Jibu likaja kwa HALLAND.brutal,lethal and deadly.
Hampendi ila anajua anakitu anachokikosa.

Jesus,ednzeko,aguero,stering,silva,gundo na wengine wengi walimpa magoli ila hayakuwa MUHIMU, yaliyokuwa muhimu hayakuwa ya KIKATILI.
Ili ushinde UEFA unahitaji magoli MUHIMU na YA KIKATILI.forward katili anatengeneza HOFU kwa viungo na mabeki.Arsenal hatuna huyu mtu katili ila tuna wafungaji wa magoli ya kawaida.

Jesus,trossard,saka,martinell na nketiah wanakupa magoli ila hawakupi magoli muhimu wala magoli ya kikatili.kama kuna kitu arsenal inamiss ni killer striker.Ligi ni rahisi kubeba na forward tulionao ila sio uefa.

Guardiola kabadilika,wenger hakubadilika.arteta atabadilika?

Ligi inaanza tutaona mengi tusiyoyatarajia.
Unaweza dhani kwa sasa kikosi kimejaza quality,ni kweli.hata nyuma walikuwepo.ngoja nikukumbushe.unamkumbuka nasri,denlson,coquelin,fabrigas,carzola,rosisky,wilshere,diaby,sagna,clitchy,na wengine wengi?.walitengeneza nafasi za kutosha mno,walimiliki mno mpira na walikimbia sana.Unajua kwanini hawakubeba EPL au UEFA?
Angalia foward zao

Chamakh,gervinho,eduardo,podolsk,RVP,sanogo,arshavin,adebayo nk.
Wote hao walifunga magoli ila hayakuwa MUHIMU wala KATILI.
Hongera sana toobiter hapa umeongea kama mpenzi wa mpira sio kama shabiki wa Arsenal.
Hichi ulichoongea kwa mpenzi wa Arsenal ni lazima atakubaliana na wewe kwa 100% ila ninaimani watakuja mashabiki wa Arseno (sio wapenzi wa Arsenal) watakuponda.
Arsenal miaka yote ninayoijua mimi hua wanacheza mpira mzuri wa burudani ila mwisho wa siku wanakosa matokeo kwa sababu tu ya kukosa clinical stricker au uchochoro wa mabeki, ila upande wa viungo tokea kipindi cha marehemu mzee Wenger Arsenyo hawajawahi kua na viungo wabovu.
 
Hongera sana toobiter hapa umeongea kama mpenzi wa mpira sio shabiki wa Arsenal.
Hichi ulichoongea kwa mpenzi wa Arsenal ni lazima atakubaliana na wewe kwa 100% ila ninaimani watakuja mashabiki wa Arseno (sio wapenzi wa Arsenal) watakuponda.
Arsenal miaka yote ninayoijua mimi hua wanacheza mpira mzuri wa burudani ila mwisho wa siku wanakosa matokeo kwa sababu tu ya kukosa clinical stricker au uchochoro wa mabeki, ila upande wa viungo tokea kipindi cha marehemu Wenger Arsenyo hawajawahi kua na viungo wabovu.
Pengine arteta atafanya jambo jipya.ngoja tuone
 
Kenge wa darajani ,Arsenal hajawahi na Hakuna dalili ya hata kugombea kushuka daraja

Last season Kama sio point za Tuchel ,Sasa hivi mngekuwa championship na kina waycombe wanderas, kina Wimbledon , shukuruni Sana zile point za Tuchel alizowaachia kabla hamjamfukuza

Nakushangaa Sana unakuja kupiga kelele humu ,
Una uhakika Arsenal haijawahi kushuka daraja au unatumia kipaji chako ch u Mc kubisha?
Kwa taarifa yako Arse888 ilishawahi kushuka daraja. usibishe kwa kitu usichokijua, hiv kwanza unajua Arsenal kabla ya kuitwa Arsenal ilikua inaitwaje? Tuanzie hapo
 
Mwaka gan Arsenal alishuka daraja?

Hivi unajua zimebaki timu 2 tu I think Everton na Arsenal ambao hawajashuka daraja
 
Kwa kawaida dunia imeundwa kwa pande kuu mbili zinazokinzana,na vitu vyote ndani ya dunia nikama vinafata kanuni hii.mfano kinyume cha kufunga ni kufungua,kubana ni kuachia,magharibi kinyume chake mashariki,kaskazini ni kusini. Huu utofauti ndo unaleta ladha na uwiano.Forget about perfection.

Katika soka dunia imeshuhudia zama za wachezaji,makocha,philosophy of play na kila kitu kilikuwa na mpinzani waake.

Gurdiola anatazamwa na wengi kama shujaa wa kizazi hiki hasa wapenzi wa sex football.amepita barcelona kama kocha na kama mchezaji.Uzito wa jina la guardiola unatoka BRCELONA. Amevutia wengi na aina yake ya soka linalopendeza kwa macho wengine kama mashabiki,wachezaji na hata makocha.Inapendeza saana kumtazama kwa anachofanya na uanaweza dhani ni rahisi kufanya.

Lakini kuna upande wa pili ambao wengi hatuujui kuhusu guardiola hasa tangu akiwa barca na zaidi baada ya kutoka barca na style yake ya POSSESSION BASED STYLE OF PLAY.jamaa ameteseka na kuhangaika mno.
Swali ni wapi na nani kamtesa?
Guardiola ameteswa sana na watu wa COUNTER BASED FOOTBALL na WATU WA TRANSITIONAL FOOTBALL.hawa wamemnyima usingizi kote alikopita kuanzia barca,bayern hadi city kwa sasa. Haya mateso huwezi kuyaona kwenye ligi kuu bali utayaona UEFA. Jamaa ameteseka mno.Intermilan,chelsea,liverpool,man u,mardrid etc wamekuwa kama mzimu wanapokutana na timu zenye mapokeo ya guardiola.

Unataka kumcheka?hapana acha!!!.sio yeye tu kuna wenger na sasa arteta ameungana nao.ameteseka na atazidi kuteseka sana kama asipojitazama.

Tatizo la arsenal kwa muda wengi wamedhani ni kukosa quality tu,lakini kwangu mimi tatizo la arsenal ni UTAKATIFU.barca wanasumbuliwa na utakatifu,bayern walisumbuliwa na utakatifu na hata city ya guadiola bado ina shida ya UTAKATIFU.Transitional na counter football hazina utakatifu ziko phisical zaidi.style of play ya possession ya arsenal inawaandaaa wachezaji kuwa WATAKATIFU haziko brutal kama nature ya football.

Unajua kwanini guardiola amemleta halland?halland sio mchezaji wa possession based football.halland ni mchezaji wa counter na transitional football.kwanini yuko city? Pep amejitazama na akajiuliza kwanini tangu akiwa barca,bayern na city hapati matokeo muhimu UEFA licha ya kucheza soka zuri?.Akapata jibu,Akagundua anakosa ukatili.
Ukatili unaupata wapi? Jibu likaja kwa HALLAND.brutal,lethal and deadly.
Hampendi ila anajua anakitu anachokikosa.

Jesus,ednzeko,aguero,stering,silva,gundo na wengine wengi walimpa magoli ila hayakuwa MUHIMU, yaliyokuwa muhimu hayakuwa ya KIKATILI.
Ili ushinde UEFA unahitaji magoli MUHIMU na YA KIKATILI.forward katili anatengeneza HOFU kwa viungo na mabeki.Arsenal hatuna huyu mtu katili ila tuna wafungaji wa magoli ya kawaida.

Jesus,trossard,saka,martinell na nketiah wanakupa magoli ila hawakupi magoli muhimu wala magoli ya kikatili.kama kuna kitu arsenal inamiss ni killer striker.Ligi ni rahisi kubeba na forward tulionao ila sio uefa.

Guardiola kabadilika,wenger hakubadilika.arteta atabadilika?

Ligi inaanza tutaona mengi tusiyoyatarajia.
Unaweza dhani kwa sasa kikosi kimejaza quality,ni kweli.hata nyuma walikuwepo.ngoja nikukumbushe.unamkumbuka nasri,denlson,coquelin,fabrigas,carzola,rosisky,wilshere,diaby,sagna,clitchy,na wengine wengi?.walitengeneza nafasi za kutosha mno,walimiliki mno mpira na walikimbia sana.Unajua kwanini hawakubeba EPL au UEFA?
Angalia foward zao

Chamakh,gervinho,eduardo,podolsk,RVP,sanogo,arshavin,adebayo nk.
Wote hao walifunga magoli ila hayakuwa MUHIMU wala KATILI.
Nimekuelewa mkuu ,tatizo Sasa tupo kwenye Zama ambazo Hakuna ma CF wengi,

Leo hii ma CF hatari dunian wanahesabika ,hii ndio inawafanya makocha watafute namna yakupata magoli mengi

Leo ukipewa €100m nenda sokon niletee a CF wakueleweka unaweza kurud na CF ambaye ana goli 10 tu

Dunia Sasa inamuimba Victor, Kane na halland

Mm naamin ukitaka CF mzuri tengeneza wakwako kutoka academy , lasivyo utapigwa pesa kubwa kwa CF ambaye anaweza asikupe hata goal 15

Bayern Munich baada ya kuondokewa na lewa wamekuwa Wana struggle Sana ,

Sasa hivi wanaenda kutoa €100m+ kwa Kane mwenye 30yrs huku wakimfukuza mane

Soko limefika hapo ,
 
Back
Top Bottom