hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,622
- 27,310
Hata manjesta last season ni ones season wonderone season wenzao Leicester City walikaza wakabeba kombe, hawa kina Arsenyau wamekaza makalio siku 258 zimebaki siku 30 tu wachukue ubingwa wakalegeza makalio Man City akawapiga bao.
Hapa sasa hivi wanadanganyana kua msimu ujao watapretend tena kama walivyo pretend msimu uliosha, wawaulize one season wonder wenzao Leicester City waliishia wapi baada ya msimu wa 2015/2016.View attachment 2698477
Huwez kuwa unacheza vipigo 7-0,6-2, 4-0,4-0
CF wako Hana goli hata 1
Haya ni maajabu ,




.
Unpopular opinion:Manchester City iliyomaliza na pointi 100 ni kali kuliko Arsenal ya invisible