Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mna uchumi mkubwa inakuwaje mnaenda kununua CF ambaye hata Burney walimshindwa ?

Mna uchumi mkubwa , mbona mmeshindwa kumnunua Kim jae kwa pesa ya £40m tu,

Sikia Kama sisi sio magiant , why kutwa hamuishi humu mnalalamika

Eti walitetereka

Yaan mmetumia €250m ili mbebe ubingwa sio kuchukua Carabao after 6yrs

Kenge walitumia £600m ili wagombee kushuka daraja ?

Mnapokuja humu mkae kwa kutulia tutawalamba spana vzr ,
Kitu pekee mnajivunia Arsenal ni golden Epl ambayo mlimaliza na madroo kibao😃.

👉Unpopular opinion:Manchester City iliyomaliza na pointi 100 ni kali kuliko Arsenal ya invisible😃
 
Kitu pekee mnajivunia Arsenal ni golden Epl ambayo mlimaliza na madroo kibao.

Unpopular opinion:Manchester City iliyomaliza na pointi 100 ni kali kuliko Arsenal ya invisible
Haya nenda kaimbe Graza out wauze timu
 
Kuna mtu atakuja na Gazeti akisema tunajikweza,

When Arsenal bid for Caicedo in January, the man wrote to Brighton begging for a transfer

Plastic clubs are realising you don't get Arsenal 100 years of influence with oil & gas
20230725_115758.jpg
 
Zinchenko moja ya wachezaji mafundi niliowaona

Arsenal ili iflow vizuri ,mashambulizi mengi angle zote ,Basi lazima kuwe na vyanzo viwili ,

Thomas Partey na Zinchenko

Ndani ya dakika 5 watapiga pass za mbele 20 , kwanini wale watoto kule mbele wasikudhuru ?

Kayle Walker aliwahi ulizwa ni mchezaji gani technical akasema wapo wengi lakini Zinny ni habari nyingine

Zinny ndiye ana unlock our midfield kwa kupata mipira mingi ,

Weakness yake ya defense ni ndogo ukilinganisha na faida zake nyingi ,

Lineup itakapokuwa na Partey x Zinny , LCM akicheza Rice au Kai , tutaona ile sex football, mwalimu bado anatafuta balance ya Rice Kai na Øde ,na ndio midfield ya Ndoto yake .

Kama Arteta ningetaman aichezeshe Tena vs Barcelona walau dk 45 tu wazidi kuzoeana ,

Kwasasa First eleven ya kuingia nayo EPL ni hii
20230725_120005.jpg
 
Wachezaji wenye rangi nyeus tuna shida Sana

Aliandika had barua na kulalamika kwenye media kuhusu maisha Yao ,akaomba aachiwe aje ARSENAL, akabaniwa , means dirisha hili wangemuuza kwa Bei ya kawaida angesepa ,akasaini miaka mitano kwa watu waliokubania usiondoke

Mwenzie Mac Allister alisain akaweka release clause ya £35-50m nadhani ,

Kwenye hili swala nimegundua mchezaji ndio hajielewi
Ule mkataba aliosaini niliona kabisa anaenda kujipiga pini mwenyewe.
 
Zinchenko moja ya wachezaji mafundi niliowaona

Arsenal ili iflow vizuri ,mashambulizi mengi angle zote ,Basi lazima kuwe na vyanzo viwili ,

Thomas Partey na Zinchenko

Ndani ya dakika 5 watapiga pass za mbele 20 , kwanini wale watoto kule mbele wasikudhuru ?

Kayle Walker aliwahi ulizwa ni mchezaji gani technical akasema wapo wengi lakini Zinny ni habari nyingine

Zinny ndiye ana unlock our midfield kwa kupata mipira mingi ,

Weakness yake ya defense ni ndogo ukilinganisha na faida zake nyingi ,

Lineup itakapokuwa na Partey x Zinny , LCM akicheza Rice au Kai , tutaona ile sex football, mwalimu bado anatafuta balance ya Rice Kai na Øde ,na ndio midfield ya Ndoto yake .

Kama Arteta ningetaman aichezeshe Tena vs Barcelona walau dk 45 tu wazidi kuzoeana ,

Kwasasa First eleven ya kuingia nayo EPL ni hii View attachment 2698548
Barca tumchape ata goals mbili Kama salamu za kuanza ligi
Ikitokea tunarudiana na nyumbu, nitaombea tufungwe Tena.
Sijui unanielewa? jinsi gani tucheze na akili za mjinga ili ajione yupo vizuri
 
Kitu pekee mnajivunia Arsenal ni golden Epl ambayo mlimaliza na madroo kibao.

Unpopular opinion:Manchester City iliyomaliza na pointi 100 ni kali kuliko Arsenal ya invisible
Kwamba kumaliza unbitten Ni rahisi kuliko kupiga points 100 we jamaa famasiala kabisa
 
Barca tumchape ata goals mbili Kama salamu za kuanza ligi
Ikitokea tunarudiana na nyumbu, nitaombea tufungwe Tena.
Sijui unanielewa? jinsi gani tucheze na akili za mjinga ili ajione yupo vizuri
I wish tujaribu hizi midfield mbili ya kuanzia ligi

Rice Partey Ødegaard

Ya kuendelea kutafuta wazoeane

Kai rice Øde

Dawa ya nyumbu ipo karibu ,wanakuja Emirates mechi ya 4 tu ,
 
I wish tujaribu hizi midfield mbili ya kuanzia ligi

Rice Partey Ødegaard

Ya kuendelea kutafuta wazoeane

Kai rice Øde

Dawa ya nyumbu ipo karibu ,wanakuja Emirates mechi ya 4 tu ,
Barca sio wahuni Kama unyumbuni Kule, display ya mpira itakua nzuri na ya kuvutia

Naiman Kuna kitu tutakiona hasa attacking force yetu na dynamic flows

Ni kipimo kizuri kuangalia technical analysis ukicheza na Barca, Madrid au city
kuliko kwa nyumbuzi, kikundi Cha wahuni walioamua kubutua butua mpira
 
Yah manjesta walisema kabisa mech sio ya kirafiki

Walitaka kumvunja saka asee ,Arteta alipanik Sana

Magwaya ndio anaparamia watu kurudisha namba yake

Barcelona vs Arsenal itakuwa mech nzuri Sana , Barca wanacheza mfumo the same na sisi kila kitu
 
Back
Top Bottom