hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,622
- 27,310
Hawa Sasa hivi nikuwapiga spana ,nimegundua tunawachekea SanaWale nyumbu Juzi walitaka kutuvunja mzoezini, Mambo ya kichawi chawi tu![]()
Hawa Sasa hivi nikuwapiga spana ,nimegundua tunawachekea SanaWale nyumbu Juzi walitaka kutuvunja mzoezini, Mambo ya kichawi chawi tu![]()
Hakuna alipojikweza ,tatizo hamtaki kuambiwa ukweliArsenyani mnapenda kujikweza. Huwezi kuwa considered timu nzuri kama hakuna cha maana mnafanya.
Tofauti yenu na United msimu uliopita ni nini hasa?![]()

1. Arsenal NDOOEti walitetereka ,
Yaan nyumbu wametumia €250m
Kenge wametumia €650m
Unasema walitetereka?are u seriously?
Ninachojua hata msimu huu nitakuwa wa mwisho kuamin manjesta na kenge watamaliza top 4
Yameacha mpira yamehamia vijembe1. Arsenal NDOO
2. city
3. Newcastle
4.?
Brighton, Villa, nyumbu, Spurs, liverpunda
.
.
.
.
11. Kenge fc
.
.
Nyumbuzi na kenges Sasa hivi wameacha mpira wameamua vijembe.
Hawa Sasa hivi nikuwapiga spana ,nimegundua tunawachekea Sana

Mtu tokea kuumbwa kwa ulimwengu hujawahi kubeba kombe lolote la ulaya sio conference, Europa wala Uefa, mtu una miaka zaidi ya 20 haujawahi kubeba Epl, mtu una zaidi ya miaka 7 haujawahi fanikiwa kuingia top4 umekuja kuingia msimu huu kibahati bahati tu tena baada ya Giant teams Chelsea na Liverpool kutetereka kidogo.
| @FabrizioRomano:Mna uchumi mkubwa inakuwaje mnaenda kununua CF ambaye hata Burney walimshindwa ?Mtu tokea kuumbwa kwa ulimwengu hujawahi kubeba kombe lolote la ulaya sio conference, Europa wala Uefa, mtu una miaka zaidi ya 20 haujawahi kubeba Epl, mtu una zaidi ya miaka 7 haujawahi fanikiwa kuingia top4 umekuja kuingia msimu huu kibahati bahati tu tena baada ya Giant teams Chelsea na Liverpool kutetereka kidogo.
Sasa kwa timu la namna hio unaanzaje kumpiga spana mtu mwenye zaidi ya makombe 3 ya Uefa, ndani ya miaka 20 ana ma Epl kibao, mtu kakuzidi mapato na matumizi(Uchumi) mtu kakuzidi fan base?
Arsenyau mnaweza kuwapiga spana kina Norwich, Fulaham, Birmigham, Aston Villa, Brighton e.t.c lakini hamna jeuri ya kuwapiga spana Man utd, Chelsea, Man City na Liverpool waliowazidi kwa kila kitu.

Yameacha mpira yamehamia vijembe
Tutaenda nayo yanavyotaka

anasema walitetereka 
| @FabrizioRomano on Kieran Tierney:Poa, Arsenal timu bora sana, ile kiungo ya WALI na Martin EPL mnachukua, unajua binafsi pale Manchester, Chelsea, City na liverpool hakuna timu ya kushindana na arsenal, SAKA ni winger na anazid kukua namuona km CR7 ajae, beki zetu zipo solid....nahic hakuna wa kuzuia arsenal 2023/2024.... Flano , hamis77 , Papaa Gx , Forgotten na wengine wote mtulie Sisi arsenal ni moto kuanzia beki, mid, had attacking EPL sisi ni top.Mna uchumi mkubwa inakuwaje mnaenda kununua CF ambaye hata Burney walimshindwa ?
Mna uchumi mkubwa , mbona mmeshindwa kumnunua Kim jae kwa pesa ya £40m tu,
Sikia Kama sisi sio magiant , why kutwa hamuishi humu mnalalamika
Eti walitetereka
Yaan mmetumia €250m ili mbebe ubingwa sio kuchukua Carabao after 6yrs
Kenge walitumia £600m ili wagombee kushuka daraja ?
Mnapokuja humu mkae kwa kutulia tutawalamba spana vzr ,
Pumbavu !!! Nan kasema tunataka kusifiaPoa, Arsenal timu bora sana, ile kiungo ya WALI na Martin EPL mnachukua, unajua binafsi pale Manchester, Chelsea, City na liverpool hakuna timu ya kushindana na arsenal, SAKA ni winger na anazid kukua namuona km CR7 ajae, beki zetu zipo solid....nahic hakuna wa kuzuia arsenal 2023/2024.... Flano , hamis77 , Papaa Gx , Forgotten na wengine wote mtulie Sisi arsenal ni moto kuanzia beki, mid, had attacking EPL sisi ni top.
HIVI NDIO ARSENAL WANAPENDA YAAN USIFIE TU, WAKATI UHALISIA NEXT SEASON UTAJULIKANA NA TOP 4 HAWAINGII
"Sikia Kama sisi sio magiant , why kutwa hamuishi humu mnalalamika"Mna uchumi mkubwa inakuwaje mnaenda kununua CF ambaye hata Burney walimshindwa ?
Mna uchumi mkubwa , mbona mmeshindwa kumnunua Kim jae kwa pesa ya £40m tu,
Sikia Kama sisi sio magiant , why kutwa hamuishi humu mnalalamika
Eti walitetereka
Yaan mmetumia €250m ili mbebe ubingwa sio kuchukua Carabao after 6yrs
Kenge walitumia £600m ili wagombee kushuka daraja ?
Mnapokuja humu mkae kwa kutulia tutawalamba spana vzr ,

Eti sisi magiant, Arsenyau ugiant mnautolea wapi? Kijana unatafuta uchawa humu ndio maana unashinda kuchochea ujinga"Sikia Kama sisi sio magiant , why kutwa hamuishi humu mnalalamika"
Eti sisi magiant, Arsenyau ugiant mnautolea wapi?
Magiants wote wanamiliki haya makitu, tuonyesheni la kwenu halafu mimi nikuoneshe Nyau mwenye vichwa vitatu.
Ugiant hauji tu hivihivi kwa kuamua kujiita mwenyewe giant, fanya kazi ionekane dunia nzima halafu walimwengu wenyewe watakuita Giant nyau nyie. View attachment 2698462View attachment 2698463View attachment 2698465View attachment 2698466View attachment 2698468View attachment 2698469
Ok nioneshe Gold EPL ,nami nikuoneshe Weghost akifunga goli EPL last season"Sikia Kama sisi sio magiant , why kutwa hamuishi humu mnalalamika"
Eti sisi magiant, Arsenyau ugiant mnautolea wapi?
Magiants wote wanamiliki haya makitu, tuonyesheni la kwenu halafu mimi nikuoneshe Nyau mwenye vichwa vitatu.
Ugiant hauji tu hivihivi kwa kuamua kujiita mwenyewe giant, fanya kazi ionekane dunia nzima halafu walimwengu wenyewe watakuita Giant nyau nyie. View attachment 2698462View attachment 2698463View attachment 2698465View attachment 2698466View attachment 2698468View attachment 2698469
Unatafuta Sana uchawa na uchocheaji humuMtu tokea kuumbwa kwa ulimwengu hujawahi kubeba kombe lolote la ulaya sio conference, Europa wala Uefa, mtu una miaka zaidi ya 20 haujawahi kubeba Epl, mtu una zaidi ya miaka 7 haujawahi fanikiwa kuingia top4 umekuja kuingia msimu huu kibahati bahati tu tena baada ya Giant teams Chelsea na Liverpool kutetereka kidogo.
Sasa kwa timu la namna hio unaanzaje kumpiga spana mtu mwenye zaidi ya makombe 3 ya Uefa, ndani ya miaka 20 ana ma Epl kibao, mtu kakuzidi mapato na matumizi(Uchumi) mtu kakuzidi fan base?
Arsenyau mnaweza kuwapiga spana kina Norwich, Fulaham, Birmigham, Aston Villa, Brighton e.t.c lakini hamna jeuri ya kuwapiga spana Man utd, Chelsea, Man City na Liverpool waliowazidi kwa kila kitu.
Huyo Flano ni chawa , kule jukwaa lao walikuwepo madalali wa Sheikh Jasim, niliwaambia hiyo timu haiuzwiTena Kama huyo Flano yeye akiamkia humu, anashinda humu na comments zake za usiku huwa ni kwenye hili jukwaa letu, Hadi najiuliza huyu jamaa kweli analala au ni mlinzi huyu ?
Tena amefika mbali hataki Tena mijadala na nyumbuz wenzake yeye na sisi tu.
Kibaya zaidi hawasimami na hoja moja, wanarukatuka Kama maharage
Kenges huwa hawaamini ukubwa wao bila kushindana na sisi
Jukwaa wamemuachia lembu , yule dogo asiyejua ata kuandika olashuga sijui, huko alipo anawaza arsenal inafungwa lini ili anunue bando aje kututukana
Sasa watu Kama pimbi Kama hamis77 dawa yao ni kupiga spana tu
Poa, Arsenal timu bora sana, ile kiungo ya WALI na Martin EPL mnachukua, unajua binafsi pale Manchester, Chelsea, City na liverpool hakuna timu ya kushindana na arsenal, SAKA ni winger na anazid kukua namuona km CR7 ajae, beki zetu zipo solid....nahic hakuna wa kuzuia arsenal 2023/2024.... Flano , hamis77 , Papaa Gx , Forgotten na wengine wote mtulie Sisi arsenal ni moto kuanzia beki, mid, had attacking EPL sisi ni top.
HIVI NDIO ARSENAL WANAPENDA YAAN USIFIE TU, WAKATI UHALISIA NEXT SEASON UTAJULIKANA NA TOP 4 HAWAINGII

one season wenzao Leicester City walikaza wakabeba kombe, hawa kina Arsenyau wamekaza makalio siku 258 zimebaki siku 30 tu wachukue ubingwa wakalegeza makalio Man City akawapiga bao. Tena Kama huyo Flano yeye akiamkia humu, anashinda humu na comments zake za usiku huwa ni kwenye hili jukwaa letu, Hadi najiuliza huyu jamaa kweli analala au ni mlinzi huyu ?
Tena amefika mbali hataki Tena mijadala na nyumbuz wenzake yeye na sisi tu.
Kibaya zaidi hawasimami na hoja moja, wanarukatuka Kama maharage
Kenges huwa hawaamini ukubwa wao bila kushindana na sisi
Jukwaa wamemuachia lembu , yule dogo asiyejua ata kuandika olashuga sijui, huko alipo anawaza arsenal inafungwa lini ili anunue bando aje kututukana
Sasa pimbi Kama hizi hamis77 dawa yao ni kupiga spana tu