Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Nadhani ndio maana Arteta kaamua Partey abaki kwa msimu huu
 
Hebu weka na thamani ya pesa mliyotumia kununua hao mliowauza
 
Kwa hela za madafu ni karibu Trillion 1.5 , kwa mwaka , sawa na utajiri wa Mo
Vita kubwa sana hii PSG ndiye muamuzi wa mwisho na pound Milioni almost 300 sio hela ya kitoto na Mbappe kwenda Saudi kwa sasa sidhani kama ana wazo hilo hapa nitafute popcorn
niangalie movie hii ya hatari ambayo haijawahi kutokea kwenye football
️ nimeamini huwezi kushindana na club yako na ukashinda Mbappe alichokoza nyuki sasa wamemvamia
 
PSG hawamtaki Tena wamesema hata €100m wanachukua ,tayari vilabu vinapambana kumtaka ,sio muda nimeona Barca nae kajiunga ,Spurs nae kajiunga anataka amuunganishe Kane,

Waarabu ndio wameweka ofa komesha , hawajakubaliana bado na mbappe ,so yanaweza tokea yale Yale ya Raphina na Chelsea ,FDJ na manjesta ,walikubalina Bei na vilabu , wachezaji wakawakataa

Uzuri wasaudia wamemwambia ni mkataba wa mwaka mmoja tu Kisha aende zake Madrid

Kwasasa wanasubiri jibu la mbappe , PSG hawamtaki mbappe kabisa wamesema akibaki hawamsajili kucheza hata UCL
 
Kuna trio nyingine hii hapa

Trossad partey Rowe
 
Kufungwa na timu mbovu kama Man u binafsi naamini either ni kukosa balance au overconfidence ni dhambi kwa Arsenal hii kufungwa na timu kama Man u, Chelsea au Liverpool.
Watasema tuna arrogance, but huo ndio uhalisia but I understand what u say ,
 
Oleksandr Zinchenko will only play a maximum of five minutes in the Game4Ukraine on Saturday 5th August.

He will be available for Arsenal in the Community Shield final on Sunday 6th August.

He’s currently being managed closely by the club as he’s still recovering from the calf injury that kept him out at the end of last season.

He is expected to return to full first-team training over the next week. #afc
 
PSG wamekaza tako utafikiri kama sio wao juzi tu hapa walimpa madaraka makubwa

Problem kubwa ambayo nimeiona ni kuwa je akienda Saudi mwaka mmoja na kurudi je kiwango kitakuwa vilevile au kitadrop kutokana na competition ya Saudi league?
 
PSG wamekaza tako utafikiri kama sio wao juzi tu hapa walimpa madaraka makubwa

Problem kubwa ambayo nimeiona ni kuwa je akienda Saudi mwaka mmoja na kurudi je kiwango kitakuwa vilevile au kitadrop kutokana na competition ya Saudi league?
Mbappe umri unaruhusu ,hawez kupotea kiwango kirahisi

PSG wamesema anaiua klabu yao
 
Hapa kwa Partey kupiga kelele hasiuzwe tumepiga sana kusema ukweli, ila kuna baadhi mpaka leo wanaona hata partey akiondoka ni sawa tu nahis bado hawajajua umuhimu wa TP5 arsenal, mara zote hua tukiwa out of form hua tunalalamika sana na ukifatilia mara nyingi partey anakua hayuko sawa hapo timu hua inakosa kila kitu uwanjani. Kauli ya Arteta kusema anamuitaji partey abaki ilinitia moyo na kunifuraisha sana.
 

Ongeza na hawa mkuu Matineli , tomiyasu
 
Hizi kelele za kuondoka Partey nilisema ni sawa na zile za Xhaka had bid ilitumwa mwisho alibaki, Partey atauzwa msimu ujao

Ili auzwe msimu huu iletwe pesa ya kutamanisha
 
Kwani inaweza kutokea club ikaamua kukuuza alf wewe ukakataa itakuaje? ???
 
Ongeza na hawa mkuu Matineli , tomiyasu
Unaamin ujinga wa huyo jamaa ,Yaan Partey, Zinchenko,Saliba , Martinelli, Magalhaes hawa anawafananisha na kina Anthony, Sancho, bisaka ,dalot , mount

Tukipinga upuuz Kama huu wanakuja juu Nina arrogance
 
Kieran Tierney on his future:


“It’s not really up to me. I’m happy, I’m working hard every day & getting minutes. I’m just trying to do as well as I can. No [I have not had a conversation with Arteta]. You can’t play every single game, every single season, every single year. I don’t expect that & I still made a lot of appearances last year.”

“I was ready every game & working 100 per cent. I think everyone in there would agree with that, that I never give less than that whether I’m playing or not. In the games I did play, I tried to do my best for the team. I came off the bench a lot last season, whether that was to see games out or help get a goal.”

[@TheAthleticFC] #afc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…