Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Shida mnayo.

Chukua hela mlizotumia usajili uliopita kisha toa na hizi mlizolipwa msimu huu halafu ona una deni la sh ngapi.

Kisha katika hizi 300 angalia ushatumia sh ngapi simu huu
Usajili uliopita team ambayo imeuzwa inapewa favour kwenye kusajili kwa kanuni za fifa ndio kitu ambacho Chelsea ilipewa ndio maana ikaspending hela nyinyi sasa hivi imetubidi tuuze ni kwasababu hatutakuwa kwenye mashindano yoyote so hatutakuwa na major means ya kuingiza pesa zaidi Elewa hilo
 
Yaan umekaa unaleta udaku ,

Hii itaisaidia manjesta kutwaa ubingwa ?

Aliyewaita nyumbu hakukosea , ndio maana Graza wanacheza na akili zenu Sasa hivi wata buy time mkidanganyika mna timu Bora
Ndio maana niliombea tufungwe au draw, bahati nzuri wakatufunga
Sasa hivi hawana Tena habari za usajiri,
Timu na Mambo ya kuuzwa, wmeweka kapuni

Naombea nyumbu wazidi kuendeleza kipigo hii pre season mwanzo mwisho
Ligi ikianza ikianza ile piga nikupige, ndio watagundua
casimiro ni mzito ila hajanenepa Sana Wala nini
Rashford na Sancho ndio best wingers tatizo wanakabwa sana tu
Bruno sio muhindi uzushi tu,
Martinez sio mfupi Ila Ila mipira ya juu inasumbua
Varane ni chuma kweli kweli ila hawezi kumaliza mwezi wodi inamuita

Kuna nyumbu ya pre season na ile nyumbu yenyewe ligi ikianza
Tukae kwa kutulia tu mazee
 
Mzee baba wewe subiri ligi ikianza ndio tutapiga spana mixer nyundo za kutosha
Muda wao huu waache wapige kelele hao mashabiki maandazi
 
Mwenzako ataki kupokea ukweli kuhusu Kai
Kai amepata nafas ngapi akakosa ngapi ili niamin ukweli wako

No research no right to speak

Weka statistics hapa

Huyo Kai si ndie ameongoza kila kitu kwenye timu yenu kuanzia chances created ,on target, kila kitu


Yaan mtaka tuaminishane ujinga

Humu humu walitukanwa kina Øde,Rams, Jesus ,n.k
 
Shida mnayo.

Chukua hela mlizotumia usajili uliopita kisha toa na hizi mlizolipwa msimu huu halafu ona una deni la sh ngapi.

Kisha katika hizi 300 angalia ushatumia sh ngapi simu huu
Mkuu mbona unawapeleka mahesabu marefu hizi Kenge
Boss wao mwenyewe amestuka Sasa hivi, na yeye anaomba apunguziwe
Kwa caicedo amechemka tayari
Kwa kudus, arsenal akiingia hatoboi

Ila Kenge wanakuambia wao Wana pesa
 
Hamna shida ya pesa ,mwez wa 3 huu mnasumbuana na Brighton kulipa £100m
 
So pesa mliyotumia hamuiandiki kwenye mapato na matumizi?
 
Mkuu mbona unawapeleka mahesabu marefu hizi Kenge
Boss wao mwenyewe amestuka Sasa hivi, na yeye anaomba apunguziwe
Kwa caicedo amechemka tayari
Kwa kudus, arsenal akiingia hatoboi

Ila Kenge wanakuambia wao Wana pesa
Tukisema Arsenal tuna pesa wanasema tunatamba Hawa hawa waliweka kambi humu wakiapa Arsenal haiwez kumsajili rice
 
Mkuu mbona unawapeleka mahesabu marefu hizi Kenge
Boss wao mwenyewe amestuka Sasa hivi, na yeye anaomba apunguziwe
Kwa caicedo amechemka tayari
Kwa kudus, arsenal akiingia hatoboi

Ila Kenge wanakuambia wao Wana pesa
Naona hapa ananiambia kwakua timu ilinunuliwa wao hawana shida wakati boss wao sasa hivi amejifunga breki baada ya kujitathmini
 
Masingeli banaaa, wewe kila siku unashinda kwenye jukwaa la Man Utd kule unaona kabisa jinsi demokrasia ilivyotamalaki yaani ni ruhusa kumpiga spana 7+3 Hag, tunapiga spana wachezaji, tunawapiga spana wamiliki na hakuna fans yoyote wa Utd ataethubutu kukutukana, kukukejeli wala kukubeza.
Kwa nini Masingeli hamtaki kuwapa watu uhuru wa kutoa maoni yao kwa upeo wa fikra zao?
Yaani humu mnataka Arsenyau wote mue na mtazamo mmoja unaofanana juu ya timu, mwingine akiwa na mtazamo tofauti kidogo tu mnamshambulia na kumuona ni mamluki?
Hebu jifunzeni basi hata kwenye majukwaa ya Chelsea, Liverpool au Man Utd namna watu wanavyo jadiliana kwa mitazamo tofauti.
Yaani humu mnataka watu wote wawe kama mang'ombe Masingeli akisema hivi basi watu wote wanafata, hebu badilikeni jamani zile zama za "Zidumu fikra za mwenyekiti" zishapitwa na wakati.
kuna watu wamepigwa marufuku humu hadi kumquote mtu.



#Poor Arsenyo
 
Nakumbuka ulisema Bora tufungwe

Mimi najua makelele yao ,nilijua watajazana humu na Wana jealous hatari

Waliaminishana Hatuwez shindana na city kwa usajili , n.k

Imagine mtu anaumia kusifia Arsenal ni most valuable squad ,
 
Yah Kai kafunga goal 9 kwenye mechi 30 je hapa unapata ujumbe gani? Ndio mchezaji aliyeongoza kwa kukosa nafasi nyingi za goal na ndio maana Chelsea imemuuza pamoja na takataka zingine kama mount n.k wachezaji pekee ambao tumeuza na ni best ni Kanye, kovacic tu na hawa tumeamua tuwauze ni kwasababu ya injury prone sio kwa sababu za kiwango
 
Sio kweli Tena wewe ndio kiongoz wa wanafiki humu

7hag anapigwa spana na sisi

Kule kwenu Hakuna Cha kupinga Wala Nini

Ulishawahi ona humu mtu anapinga akazuiwa

Hao tunaowaita mamluki ni kweli ,walitangaza wamehama Tena na timu walizitaja

Na wanaonekana pale tukifungwa tu


Unataka tuwachekee sababu wanakufurahisha wewe

Mimi kwasasa ngoja nianze kuendana na mamluki wanavyotaka maana hiyo Kaz naiweza pia
 
most valuable squad inawasaidia nini ikiwa huu ni mwaka wa 20 bila Epl na tokea kuumbwa kwa dunia hamjawahi kushinda kombe lolote la ulaya sio conference, Europa wala Uefa?


#Poor Arsenyau
 
Yaan mech ya Jana ambayo magoli ni individual error ndio unaongea hivi

Hiyo mech sisi tumeitumia kutafuta uwiano wa wachezaj wapya Kuzoena na wazaman

Lone DM ndio mfumo wetu na tumeutumia huo na tutautumia huo

Acha kutafuta uwiano wakati ulikua unatapatapa hapa mara man u wasilete wachezaji mara atateta arushe nini watakaookata ndiyo waanze. Baada ya kufungwa misumali miwili ohoo tunatafuta uwiano.

Uwiano by foot
pole sana inauma lakini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…