computerarsenal
JF-Expert Member
- Jan 27, 2020
- 3,479
- 6,033
Uliwahi kupotea humu JF from April to June unajua hamis77 problem kubwa uliyonayo ni kuchanganya footballHao wanatofaut gan na wewe ,wanatokea timu ikipoteza na kwenye negativity tu
Ni mpumbavu pekee ndio atawasikiliza
Jana ulisema hii sio friendly game ni vita na ukanena kuwa Odds nyingi kapewa Manchester United na ukanena Arsenal 4 -0 Manchester United Full Time sasa nani ni mpumbavu kati ya sisi na wewe kama ulivyouita?that's why nasema Mahaba yanakupoteza punguza hilo tu