Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Chelsea wameanza mazungumzo na Ajax juu ya kumsaini Mohammed Kudus...Arteta atafute winger mwingine...tajiri miluzi anavyozungushwa na Brighton hasira atazimalizia kwa Ajax
Hao wazee wakuvamia vamia

Arteta kasema jana bado Kuna maingizo mapya
 
Huyo jamaa ni shabik wa Chelsea

Combined XI anayeingia ni Martinez tu

Hakuna mchezaji wa manjesta ukitoa Martinez anaingia kikos Cha Arsenal

Wachezaji wenu wengi miguun Kama wamefungwa mawe wakipewa mpira
Bwana mponzi wewe ni shabiki wa arsenyani lazima uweke mapenzi mbele.

Jamaa wote hao ni adui zake kawa huru wengine nyie ni mahaba.
 
Hapa Wenger orphans wamependelea kuwekwa hapa Ila bado wataanza kulia lia.

Hapa mwenye uhalali wa kuwa kwenye kikosi ichi Ni saka tu.View attachment 2696253
Fernandes vs odegaard, casemiro vs partey, shaw vs zinchenko, Martinez vs maghales. Sion kama hao wanapishana sana viwango afu ukizingatia arsenal tuna back up zao nzuri tu imagine kwa zinchenko yupo kiwior/tomiyasu/tierney. Kwa Partey tuna Rice/joginho/elneny

Pamoja na yote nitakua wa mwisho kuamin Martinez anamzid Maghales uwezo, ata Casemiro sionagi anamzidi nn Partey ngoja labda nitakujaga kuelewa huko mbele
 
Nimemuelewa jamaa sita quote chochote, kwamba nimuelewe mchizi kama nguli wa kuchambua humu jf huyu huyu rice alivyokuwa westham anasema ni mvunja kuni lakini kaenda arsenal uvunja kuni umepotea , mudryk anaitwa new neymar then kaenda chelsea anakuambia mudryk garasa hakuna mchambuzi anaweza kuwa na akili za kusema ivyoo, umaarufu utafutweJF, kweli ni akili ndogo zinaweza kuwaza hivyo.

Anyway false hope tutaendelea kuzikataa humu na spana tutazipiga akili ikae sawa
Hakuana mambo ya kuacha kumquote, kw kumquote sisi pia tunajifunanza mambo mengi anayotudanganya. Uzuri unaquote na mifano ya kutosha hata mtoto anaelewa. Sema hii misukule ndio imetia pamba masikioni.
We mwendo wa spana tu kwa hizi kondoo hamna kuwaonea huruma.
 
Fernandes vs odegaard, casemiro vs partey, shaw vs zinchenko, Martinez vs maghales. Sion kama hao wanapishana sana viwango afu ukizingatia arsenal tuna back up zao nzuri tu imagine kwa zinchenko yupo kiwior/tomiyasu/tierney. Kwa Partey tuna Rice/joginho/elneny

Pamoja na yote nitakua wa mwisho kuamin Martinez anamzid Maghales uwezo, ata Casemiro sionagi anamzidi nn Partey ngoja labda nitakujaga kuelewa huko mbele
Anamzidi Uefa yeye anazo 5 partey zipo ngapi?
 
Fernandes vs odegaard, casemiro vs partey, shaw vs zinchenko, Martinez vs maghales. Sion kama hao wanapishana sana viwango afu ukizingatia arsenal tuna back up zao nzuri tu imagine kwa zinchenko yupo kiwior/tomiyasu/tierney. Kwa Partey tuna Rice/joginho/elneny

Pamoja na yote nitakua wa mwisho kuamin Martinez anamzid Maghales uwezo, ata Casemiro sionagi anamzidi nn Partey ngoja labda nitakujaga kuelewa huko mbele
Wala hujakosea pale Arsenal , Magalhaes ni underrated Sana ,lakin kiuhalisia hakuna mchezaji wa manjesta naweza muweka kwenye timu ya Arsenal first eleven

Nitawachukua Bruno na Martinez Kama sub

Hapa naongea kiufundi kabisa sio mapenzi

Huwez niambia nimuache nje Gaby Martinelli ,top scorer wa Arsenal nimuweke sijui Rashford ambaye msimu uliopita alikuwa kwenye peak

Unakuta mtu anamuweka Shaw ,mbele ya Zinny ,dah

Pale Arsenal chanzo Cha mashambulizi kwenda mbele huwa ni Zinny ,unani convince vipi akae nje kisa Shaw?

Casemiro huyu nishamuelezea Sana hata akiwa Madrid ,hakuwa anahusika kwa buildup,ni mafundi wawili kross na modric ndio wanahusika had Sasa,casemiro yeye kukaba tu ,Sasa now days casemiro huwez kumuweka kwa timu zinazotaka ku possess

Sasa utani convince vipi nimuweke nje Partey
 
“Arsenal have a decent working relationship with Ajax after what they did with Timber, which might help them in that regard. And it seems like Kudus is quite open to a move."

“He [Kudus] is definitely a player that they like. I’ve seen the recent reports that they’re potentially looking to step up that interest a bit later on in the window, which wouldn’t surprise me if that is the case."

“I still think they’re probably looking at adding at least one more player before the deadline and Kudus ticks a lot of boxes in terms of what they would look to bring in. He can cover on that right-hand side of the attack, which is absolutely a priority for Arsenal. He’s versatile, which is, again, an absolute must if you’re going to sign for Arsenal nowadays under Mikel Arteta."

“He’s in the exact age range that they want to look to bring players in. So he ticks all of those boxes."

- @charles_watts via teamtalk

teamtalk.com/arsenal/exclus…
 
Arsenal dressing room at the Metlife stadium ahead of game vs Manchester United.

Look like Øde start
20230722_213028.jpg
20230722_213023.jpg
 
Wala hujakosea pale Arsenal , Magalhaes ni underrated Sana ,lakin kiuhalisia hakuna mchezaji wa manjesta naweza muweka kwenye timu ya Arsenal first eleven

Nitawachukua Bruno na Martinez Kama sub

Hapa naongea kiufundi kabisa sio mapenzi

Huwez niambia nimuache nje Gaby Martinelli ,top scorer wa Arsenal nimuweke sijui Rashford ambaye msimu uliopita alikuwa kwenye peak

Unakuta mtu anamuweka Shaw ,mbele ya Zinny ,dah

Pale Arsenal chanzo Cha mashambulizi kwenda mbele huwa ni Zinny ,unani convince vipi akae nje kisa Shaw?

Casemiro huyu nishamuelezea Sana hata akiwa Madrid ,hakuwa anahusika kwa buildup,ni mafundi wawili kross na modric ndio wanahusika had Sasa,casemiro yeye kukaba tu ,Sasa now days casemiro huwez kumuweka kwa timu zinazotaka ku possess

Sasa utani convince vipi nimuweke nje Partey

Umeandika kishabiki mno, at least two Man United players could appear in a composite team
 
Umeandika kishabiki mno, at least two Man United players could appear in a composite team
Ni mtazamo wangu ,nikizingatia tunavyocheza ,

Wachezaji gan hao wawili wataje , ambao wakiingia moja kwa moja watakupa ambacho waliopo hawakupi
 
Back
Top Bottom