Flano
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,842
- 16,292
Huo ubavu wa kumfunga Manchester ndio hamna, yaani utd hata iwe mbovu vipi lakini kufungwa na Arsenyani hua ni ngumu same to Liverpuli kwa Man Utd.Hakuna Raha Kama kuwafunga manjesta
Na msimu huu mtatuchangia points 6 ,
Leo Kuna 4-0
Muhind kawaweka Kama underdog asee
Livapunda hata iwe mbovu vipi lakini ikikutana na Utd lazima tuchezee.

