Flano
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,870
- 16,425
Huyu Leo tunamuwekea Havertz Mzee wa 0 shots on target na ikitokea hajapaisha basi kipa kadaka au inamgonga post Ili kuwadanganya. Kwenye ligi tunamuweka bench afu tunamuweka mbappe Ili tuwaadhibu kisawa sawa


eti kwenye ligi tunamuweka Mbappe. Timu maskini kama Arsenyau unafikiri itakua na uwezo wa kumlipa Mbappe mshahara?
Labda nyie mumsajili halafu Man Utd tuwe tunawalipia mshahara wake la sivyo hamtoboi mwaka hio Academy yenu inafilisika, halafu Majembe Auction wanakuja kupiga mnada hayo mabenchi ya Emirates stadium ili kupata pesa kumalizia kulipa mshahara.
Mikel Arteta says it was always in his plans to play Thomas Partey & Declan Rice together 


