Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

JoJo
20230720_100828.jpg
 
Unaleta historia za kinjikitile ngwale

Sisi tunataka manjesta hii ya kina masebene [emoji1787]

Aloo Bora msilete timu uwanjan
Hivi kuanzia mwaka 2000 kuja juu arsenyani mjawai kutuchapa hata goal 4 hafu upo serious na kelele hapa Yani nyie ndo vibonde wetu hata tuwe wabovu kiasi gani kipigo kipo pale pale.

Kiufupi hata tuamshwe usiku wa manane tucheze na nyie bila kupasha misuli kichapo kipo pale pale.

Jumapili usiku hakika kitawaramba [emoji39]
1682443677149.jpg
 
Havertz scored his first goal before Mudryk and mount![emoji102]
 
Hivi kuanzia mwaka 2000 kuja juu arsenyani mjawai kutuchapa hata goal 4 hafu upo serious na kelele hapa Yani nyie ndo vibonde wetu hata tuwe wabovu kiasi gani kipigo kipo pale pale.

Kiufupi hata tuamshwe usiku wa manane tucheze na nyie bila kupasha misuli kichapo kipo pale pale.

Jumapili usiku hakika kitawaramba [emoji39]View attachment 2694042
Kumbe lengo mpigwe nyingi, aliyekuwa anawaokoa Sana hapa Kati Degea kaondoka ,Basi subirini, Mechi ya mwisho umesahau Nini kiliwakuta , katika misimu ya karibuni mmekuwa vibonde wetu


Mimi nimefurahi Degea kuondoka maana alikuwa anapunguza Sana magoli, Kuna mechi mpango ilikuwa mle goli 15

Alichomoa michomo ON TARGETS ZOTE 14 , hii ipo kwenye record za EPL


Sasa huyu Onana atawezana kweli ?
 
Tuna mabeki nane mpk Sasa....hao ni wengi sana...midfield still bdo hakuna watu wa kutosha...maana Kai na Trossard wanaweza kucheza winger na forward pia so tunahitaji walau mtu mmoja mwingine...Elneny na Vieira siwaamini sana...mmoja pancha sana mwingine physicality yake ipo chini kimtindo

Naona Kuna beki ataongezwa mmoja na kiungo ambaye anaweza kucheza winga

Elneny usimuhesabie kabisa ,yule anasomea ukocha yupo karibu na Arteta , ni mtiifu hana maneno ,mpange usimpange Hana shida ,, muhamasishaji dressing room,

Ilikuwa msimu huu awe free alipoumia ,Arsenal wakamtia mkataba awepo tu , huyo labda itokee viungo wameumia au Kuna ulazima mkubwa ndio utamuona

Vieira kaanza kukomaa
 
Mkuu una maana gani...hzi lugha za kuudhi hzi....hahahaha
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mkuu sio mimi, Jojinyo ndie aliepost kumpongeza Kai kwa goli lake la kwanza na kumuita papai.
Mimi nimemuuliza tu hamis77 kua kai kweli ni papai? maana Mc Hamisi ndie aliepost hii picha.
tapatalk_526317709_270x436.jpg
 

Attachments

  • tapatalk_526317709_270x436.jpg
    tapatalk_526317709_270x436.jpg
    18.6 KB · Views: 12

Similar Discussions

Back
Top Bottom