Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hii ikitokea ikakamilika itakuwa nzuri sana....na Bitello ikikamilika nayo basi tutakuwa zaidi ya vzuri
Nasikia bitello wanaweza msajili wakamuacha Brazil maana Kuna Mambo ya Visa / permit mpaka mwakani
 
Work permit ni mchakato mrefu sana kwani kwa wachezaji wanaotoka nje ya Europe???...Maana kuna kama mwezi mmoja na masiku kadhaa mpk dirisha likamilike
Kwa south America huwa naona wengine wanasubiri had January kabisa
 
Arsenal vs manjesta

Jumamos

Hii mechi kwetu sio ya kirafiki ,tutaichukulia Kama mech nyingine

Mwaka Jana Chelsea alikuwa 4

20230720_205852.jpg
 
Astonvilla na wapo kwenye bidding war na timu Fulani ya Saudia, kumchukua Diaby. It means Arsenal akiingia price yake itazidi kupanda
 
Ila hii EAradio katika habari za michezo EPL wasipopunguza unazi wa unyumbuni hawatakaa wafike popote
Punguza wivu kijana Man Utd ni brand kubwa yenye mashabiki wengi kuliko timu yoyote duniani.
Usipoipa airtime ya kutosha hata sokoni hauwezi kufanya vizuri.
Mahali popote duniani ukitaka uclick na utusue kwa haraka kwenye habari za michezo basi hauna budi kuizungumzia Utd.
Man Utd ni dude kuuuuubwa hivi ambalo hata mashabiki wa Arsenyau wanatamani siku moja timu yao na yenyewe ifikie japo nusu yake.
 
Ila hii EAradio katika habari za michezo EPL wasipopunguza unazi wa unyumbuni hawatakaa wafike popote
daah kuna radio kusikiliza hata huwezi pata kipya wanachochambua kabisa hasa hasa ligi za nje..
Mabingwa wa kuchambuzi mpira wa ulaya ni wachache saana yan ni wakuhesabu mfano mimi mara hua nikipata muda namsiliza jeoff lea,ambangile na team yake pale usafini na ediga kibwana
 
Labda tuna option nyingine eneo hilo, yawezekana hata isiwe kudus akawa mwingine kabisa.
Inawezekana maana Arsenal kwenye kusaka mchezaji likitoka jina Basi wanakuwa wapo advanced stage

Au wanatumia majina fulan kupoteza maboya ,like frasneda ,simakan kumbe lengo ilikuwa ni Jurrien Timber

Ila kwa Kudus ni kweli maana David Ornstein na Sami mokbel ndio walikuwa wakwanza kusema

Mousa Diaby ni smockscreen tu ndio maana hawakutuma Wala kufanya jitihada zozote kumpata , ,lakin naamin Target ni Kudus maana ana tik mabox yote

Age
Versatility (RW,AM,CF)
Bei affordable(£40m)

Nasikia Kuna beki anaweza kushuka pia ,aim ni kuwa na wachezaji wawili kila nafasi wenye ubora

For now Edu hajasafiri na timu anashughulikia kuuza

Cedric , Pepe, balogun,holding n.k
 
Starting XI that I would like to see vs Manchester United:

Ramsdale
Timber
White
Saliba
Gabriel
Rice
Ødegaard
Havertz
Saka
Jesus
Martinelli

Ben white ,Saliba na Gabriel Magalhaes wanabaki nyuma kuunda back 3

Timber awe ana invert midfield
 
Arteta amesema hataki kutabirika msimu huu ,

So kumbe tunaweza kucheza na back 4 ya Timber white Saliba na Magalhaes

Halafu tukiwa na mpira nyuma wanabaki watatu White Saliba Magalhaes

Hapo wote wapo comfortable na mpira hakuna fala

Timber anakuwa Kiungo anaungana na Rice, Øde

Kai anapanda juu anakuwa anacheza Kama Second Striker lakin pia Kama no.8 wa uongo na kweli ,Kai Kama Second Striker anakupa vitu vingi atawin mipira ya juu ambayo ni tatizo kwa Arsenal ,Kai ni mrefu kuliko mchezaji yeyote Arsenal ,

Huo ni mfano tu tunavyoweza kubadilika tofauti tofauti

Kuna combination nyingi tunaweza kuzitumia

Mfano kiungo Cha Partey Ødegaard na Rice

Kuna siku tutaweka wote Partey , Ødegaard,rice , zinchenko,timber ili tuoneshane makali
 
🤣🤣🤣...tuoneshane makali siyo
 
Back
Top Bottom