Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arteta kuhusu Jurrien Timber:

Nadhani umeona usiku wa leo. Ni mchezaji hodari sana. Anakupa uwezo wa kuingia ndani(kiungo) na kuchukua nafasi tofauti.

Ana shauku hiyo katika duels ambayo ninaipenda sana. Nadhani atakuwa mchezaji muhimu sana kwetu.
 
Kai havertz leo kawin mipira yote ya juu

Arteta kasema tutarajie atamtumia Kama Target man au namba 9 pale mbele kwa baadhi ya mechi maana ni mrefu

Kuna mechi unahitaji CF mrefu pale mbele

20230720_053410.jpg
 
Kuna mafundi halafu Kuna Zinny Gifted player

Rice na Elneny hawaamini wanachokiona
 
Havertz Kama Second Striker ,

played two key passes, won all of his aerial duels (3/3) and scored a goal playing

More to come
 
Ungefufua jukwaa Hilo angalau upate fans wawili kuliko kukaa humu Unaona wivu, Kama tunapeana hopes kwann umeekuwa unaumia

Kwann usihangaike na Newcastle na sajili zake na Jana imecheza na rangers ,muda wote upo humu kukebehi Arsenal wakati Newcastle ule Uzi wake upo domant

Inaonesha unaumia Sana kuona Arsenal tunapeana update humu,,
wewe Mc Hamisi Masingeli wacha kumpangia Pundit wetu Labyrinth 84 jukwaa unalolitaka wewe.
Simu ya kwake, bando la kwake kwa nini umpangie matumizi?
Huyo Maxes Melo mwenyewe mwenye Jf yake hawapangii watu majukwaa ya kuchangia, wewe kama nani unataka kumpangia jukwaa mchambuzi namba 2 hapa nchini baada George Ambagile?
Mimi kama Flano mwenye kura yangu ya Veto hapa Jf nakwambia ndugu yangu Labyrinth 84 wewe ni mtu huru una kinga yangu ya kudumu ya kuanzisha thread au kucomments kwenye jukwaa lolote hapa Jf, tena ninakuomba tushirikiane bega kwa bega kugongelea misumari kwenye hii orphanage ya mzee wenger.
Tena wakiendelea kuleta mipasho yao jukwaa la Newcastle nitakuruhusu ulifungulie humuhumu kwenye jukwaa lao.
 
wewe Mc Hamisi Masingeli wacha kumpangia Pundit wetu Labyrinth 84 jukwaa unalolitaka wewe.
Simu ya kwake, bando la kwake kwa nini umpangie matumizi?
Huyo Maxes Melo mwenyewe mwenye Jf yake hawapangii watu majukwaa ya uchangia, wewe kama nani unataka kumpangia jukwaa mchambuzi namba 2 hapa nchini baada George Ambagile?
Mimi kama Flano mwenye kura yangu ya Veto hapa Jf nakwambia ndugu yangu Labyrinth 84 wewe ni mtu huru una kinga yangu ya kudumu ya kuanzisha thread au kucomments kwenye jukwaa lolote hapa Jf, tena ninakuomba tushirikiane bega kwa bega kugongelea misumari kwenye hii orphanage ya mzee wenger.
Hapana mkuu wewe ndio unawadanganya Sana hasa yule jamaa ako wa Chelsea

Huyo kahama Arsenal kwa maelezo yake kaenda Newcastle lakin anashinda humu anaumia kuhusu Arsenal

Mm nimeshauri akafungue jukwaa awe anaisemea Newcastle huko hata ikifungwa awepo ,
 
Ww hujaisoma psychology tu ya mshakaji....Once a gooner always a gooner...hyu ikifika May Arsenal kabeba kombe nakuhakikishia atashangilia kwlikwli....alaf huwezi kufananisha wale Newcastle na Arsenal kabisa...wale wakimbiza upepo uje kufananisha na sisi...si Bora hata mtu wa Manyumbu aje kubweka humu kuliko hyo jamaa...maana wale hata tukicheza kikosi cha saba hawatufungi....Wana mpira wa kawaida sana
 
Naelewa hiyo Hali huwez kuhama timu ,labda dini ,never ever mtu ahame timu

Mm nilimshauri Kama kweli kahamia Newcastle afungue Uzi ,Kuna waliohamia psg na uzi ulikuwepo mwisho walirudi humu, najua psychology vzr ya mtu akisema kahama timu ,ni uongo, labda aamue kuwa mnafiki Kama manara

Kutwa kukebehi Arsenal ,lakin unaona kabisa anaipenda Arsenal bado,lakin yeye anajitia Newcastle

Nimeshangaa anasema yeye Newcastle , wale bado maana mfano ile mech ya Emirates walipelekewa Moto wakaaanza kupoteza muda ,kuomba sare,

Ili nimuone ni magpies kweli kweli akafufue Kuna Uzi wa Newcastle aliufunguaga jamaa mmoja wa Liverpool alijifanya amehama Liverpool
 
Jurriën Timber - Arsenal vs MLS All Stars Statistics:

  • 95% Pass Accuracy
  • 3/3 Ground Duels Won
  • 29 Touches

Slotted in seamlessly.
 
My full time thoughts:

Jurrien Timber looks already settled, too good.

Kiwior was unbelievable at the Zinny role

Trossard as #8 is giving me Carzola vibes, world class.

Kai Havertz will score many goals from Saka crosses

Saliba, world class

Gabriel, solid
20230720_073840.jpg
 
Hapana mkuu wewe ndio unawadanganya Sana hasa yule jamaa ako wa Chelsea

Huyo kahama Arsenal kwa maelezo yake kaenda Newcastle lakin anashinda humu anaumia kuhusu Arsenal

Mm nimeshauri akafungue jukwaa awe anaisemea Newcastle huko hata ikifungwa awepo ,
Hakuna cha kufungua jukwaa, Labyrinth 84 humuhumu kwenye jukwaa la Arsenyani ana uhuru wa kuongelea misukule ya Arteta kwa hoja zozote anazoziona yeye zinafaa kikubwa asivunje kanuni tu zilizowekwa na uongozi wa Jf.
Mimi mwenyewe ni nyumbu lakini ni mara chache kunikuta Unyumbuni muda mwingi nashinda humu kuzipiga spana hizi Arsenyau.
Wewe mwenyewe Mc hamis77 mara kibao unakua unyumbuni kumpiga spana Antony na Kocha la makombe 10hag.
Labyrinth 84 huyu ni muhanga wa false hope alizikua anaaminishwa na maArsenyau wengine kama wewe kwa miaka zaidi ya 20 iliyopita, sasa hivi akili imemkaa sawa na kujitambua kua alikua ni msukule kwa miaka kibao bila ya yeye mwenyewe kujua, hivyo ameamua kuanzisha kampeni maalumu ya kuwazindua misukule mingine ili ijitambue.
Kikubwa inatakiwa mumpe ushirikiano wa kutosha.
Labyrinth 84 una kinga ya turufu kutoka kwangu, endelea kuupiga mwingi maana wewe umeuishi usukule kwa zaidi ya miaka 20 hivyo unajua siri nyingi zaidi za ndani za hawa misukule na virembwe vyao, ndio maana wewe ukiongea hua inawauma sana kuliko hata sisi ambao hatujui mengi kuhusu hawa maFreemason.
 
Haya endelea kumjaza ujinga
 
Flano na Genge lako

we are coming for you just get prepared.View attachment 2693896
Yaani kuwafunga wale Kigoma all stars(MLS) ndio uje kutamba humu?
Mliocheza nao jana sio wacheza mpira ni wahuni tu walima mihogo wakakusanywa toka sehemu mbalimbali kuanzia Kasulu, Ujiji, Kibondo na sehemu mbalimbali ya kigoma vijijini kisha wakapewa jezi na kuingia uwanjani.
 
Yaani kuwafunga wale Kigoma all stars(MLS) ndio uje kutamba humu?
Mliocheza nao jana sio wacheza mpira ni wahuni tu walima mihogo wakakusanywa toka sehemu mbalimbali kuanzia Kasulu, Ujiji, kigoma vijijini kisha wakapewa jezi na kuingia uwanjani.
Huu ulikuaa ushindi wa Jana tumemchapa mtu Tano...Next Game tunacheza na nyumbu kwa mtazamo wako tutawafunga kwanzia Goli ngapi..?
 
Yaani kuwafunga wale Kigoma all stars(MLS) ndio uje kutamba humu?
Mliocheza nao jana sio wacheza mpira ni wahuni tu walima mihogo wakakusanywa toka sehemu mbalimbali kuanzia Kasulu, Ujiji, kigoma vijijini kisha wakapewa jezi na kuingia uwanjani.
"It's just MLS All-Stars..."

MLS All-Stars 1-0 Chelsea (2006)
MLS All-Stars 3-2 Chelsea (2012)
MLS All-Stars 2-1 Bayern Munich (2014)
MLS All-Stars 2-1 Tottenham (2015)
MLS All-Stars 1-1 Real Madrid (2017)
MLS All-Stars 1-1 Juventus (2018)

MLS All-Stars 0- 5 Arsenal (2023)
 
Back
Top Bottom