Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hio game inayofata sisi hatuihesabii kama mechi, ni vijana tu wa kikosi chapili wataingia uwanjani kufanya warm up, muhimu damu ichemke na jasho liwatoke.
Sisi kama Man Utd timu kubwa zaidi duniani kwa sasa tunawasubiria kwenye mechi ya Ligi ili tuwaonyeshe kua Nyani sehemu yake ya kutamba ni juu ya miti sio uwanjani.
Ogopeni huyu kijana mwenye kwanza kabisa assist ya goli la kwanza na la pili katoa yeye,
Amndani ya dk10 kawasababishia yellow mbili

Anyway Jesus, Martinelli na SAKA ni Frontline tishio

Nikuwekee viungo au nazidi kukutisha?
20230719_094832.jpg
 
"It's just MLS All-Stars..."

MLS All-Stars 1-0 Chelsea (2006)
MLS All-Stars 3-2 Chelsea (2012)
MLS All-Stars 2-1 Bayern Munich (2014)
MLS All-Stars 2-1 Tottenham (2015)
MLS All-Stars 1-1 Real Madrid (2017)
MLS All-Stars 1-1 Juventus (2018)

MLS All-Stars 0- 5 Arsenal (2023)
Hawa uliowaonyesha chini ndio watu wenye kujielewa sasa.
Yaani mechi ya hisani ya kuwasaidia walima mihogo wa kigoma (Kigoma All Stars) kuchangisha michango ya kununulia mbolea mnaenda kuwafunga goli 5 halafu bila hata aibu unakuja kujisifu humu kweli?
 
Halafu kwa hizo akili zenu mkiitwa misukule mnalalamika kua mmetukanwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sisi hatuna hisani ,bado nyie wenye kelele
 
Mikel Arteta on if there will be more variety from Arsenal this season:

“We have to see, but the idea is to be more unpredictable every year & be more difficult for the opponents to stop & nullify what we want to do. That’s what we have now, especially at the back & in the midfield the options we have, to open up the spaces, we have many more options than we had last year.” #afc
 
Ila wakuu kwenye hili jukwaa naomba huyu mwamba LEANDRO TROSSARD apewe heshima anayostahili.Jamaa ni technical na tactical gifted lakini kuna kitu cha ziada alichowazidi players wetu wengi.FIGHTING SPIRIT.
jamaa ni mpambanaji haswa na mara nyingi tunamsahau ila mwamba ni hatarii
 
Yani hii Arsenal ya mwaka huu sina wasiwasi nayo kabisa. Goli nyinginyingi itakuwa kitu cha kawaida
 
Hawa uliowaonyesha chini ndio watu wenye kujielewa sasa.
Yaani mechi ya hisani ya kuwasaidia walima mihogo wa kigoma (Kigoma All Stars) kuchangisha michango ya kununulia mbolea mnaenda kuwafunga goli 5 halafu bila hata aibu unakuja kujisifu humu kweli?
Halafu kwa hizo akili zenu mkiitwa misukule mnalalamika kua mmetukanwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu tukicheza na nyny tutaweka kikosi cha 10...hamkawii kuumiza wachezaji wetu nyny....mechi serious kwetu ni dhidi ya Barca hzo ndo level zetu sio hya Manyumbu wafukuza upepo
 
Kwani flano eee
Hawa uliowaonyesha chini ndio watu wenye kujielewa sasa.
Yaani mechi ya hisani ya kuwasaidia walima mihogo wa kigoma (Kigoma All Stars) kuchangisha michango ya kununulia mbolea mnaenda kuwafunga goli 5 halafu bila hata aibu unakuja kujisifu humu kweli?
Halafu kwa hizo akili zenu mkiitwa misukule mnalalamika kua mmetukanwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

wao na sisi liniiiiiiiii😂😂😂😂 au hamis77 eee,sisi na wao liniiiii😂😂😂😂😂.....

Ila bado arteta anawajibu wa kuimarisha ngome 😂😂😂

Mechi zijazo zitazidi kumfunulia wapi apafanyie kazi
 
Kwani flano eee

wao na sisi liniiiiiiiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] au hamis77 eee,sisi na wao liniiiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].....

Ila bado arteta anawajibu wa kuimarisha ngome [emoji23][emoji23][emoji23]

Mechi zijazo zitazidi kumfunulia wapi apafanyie kazi
Analeta beki mwingine wa Kati na RW
 
Ila wakuu kwenye hili jukwaa naomba huyu mwamba LEANDRO TROSSARD apewe heshima anayostahili.Jamaa ni technical na tactical gifted lakini kuna kitu cha ziada alichowazidi players wetu wengi.FIGHTING SPIRIT.
jamaa ni mpambanaji haswa na mara nyingi tunamsahau ila mwamba ni hatarii
Jamaa tunamsahau Sana ,halafu naona atatumika Sana Kama namba 8
 
Inabidi Ben White asaini mkataba haraka maana competition ya nafasi inaweza kumtoa kwny reli bishoo wetu akataka kusepa...tunahitaji midfielder mwingine na right wing...mabeki naona kama inatosha kwa Sasa tunao wengi sana
Tuna mabeki nane mpk Sasa....hao ni wengi sana...midfield still bdo hakuna watu wa kutosha...maana Kai na Trossard wanaweza kucheza winger na forward pia so tunahitaji walau mtu mmoja mwingine...Elneny na Vieira siwaamini sana...mmoja pancha sana mwingine physicality yake ipo chini kimtindo
 
Hii hasira tuliyonayo tutawanywa walahi next season
Kai kafunga goli kabla ya mudrky

Yaan mnataman afeli ,akili zenu mnazijua wenyewe

Nyie mkamuaandame Mount , Kai kwa Arsenal hii atafunga sana

Timu yenu narudi bado dhaifu
 
Mlimnyanyasa sana Kai...Kila baya alitupiwa yy..timu isipo perform yy ndo anabebeshwa lawama...Sasa ameondoka...tunategemea mbebe ubingwa wa EPL...maana inaonekana yy ndo alikuwa anawachelewesha
Arteta alisema yeye ananunua Talent hayo Mambo alikuwa sijui mbovu n.k hayamuhusu

Anachokiangalia ni talent kwanza
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom