Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Away kit mwaka huu sio nzuri

3rd kit ndio imetulia sana
20230718_100842.jpg
20230718_100839.jpg
 
Ligi ianze tu, top 3 wahusika tushajuana

Imebaki nafasi 1 ambayo ni ya 4 ya kugombania ili ucheze uefa
Hahahahahahaha kupata tena hivi vichekesho tunabonyeza ngapi. Arse8 mshajiweka top 4 tayari haya ligi ianze tuoneshane ubabe hamtaamini.
#Tukutane May
#Arsenal ni ileile
 
Sababu ni chakula chake, Ode si huwa anagawa upendo, nahis ata ugomvi wa Lecazate na Arteta kisa ni Ode kugawa upendo kwa wote wawili.
@Flano unatia aibu kulike upuuzi kama huu.tunataniana ila kuna heshima pia.huyu jamaa mimi huwa nawaza ni mmoja kati ya watu wenye maadili mabovu wanapochangia humu jukwaani.so saad acheni udhalilishaji.
 
Hahahahahahaha kupata tena hivi vichekesho tunabonyeza ngapi. Arse8 mshajiweka top 4 tayari haya ligi ianze tuoneshane ubabe hamtaamini.
#Tukutane May
#Arsenal ni ileile
Mkuu Arsenal ni bingwa

Kwa mpira tutakaoenda kutandaza, ni wazi wapinzani wetu ni city, Madrid na Bayern
Wengine wote FIMBO sitawahusu Sana

1. Kai
2. Timber
3. Rice
4.
5.
bado hatujafunga usajiri

Patey 90% anabaki

Golden squad
Odegard
Saka
Zinchenko
Martinel
Rams Rambo
Saliba
Jesus
Trossad
White
Gabriel
Nketiah
Tierney

Hao wote ukiacha city, team zingine ni first 11 panga pangua[emoji91][emoji91]

Kama usajiri mpya,
1. Fabio
2. Rowe
3. Nelson
4. Maquinos
5. Dubbery
6. Mat tunner
7. Joginho
.
.
#ArsenalNDOO
 
@Flano unatia aibu kulike upuuzi kama huu.tunataniana ila kuna heshima pia.huyu jamaa mimi huwa nawaza ni mmoja kati ya watu wenye maadili mabovu wanapochangia humu jukwaani.so saad acheni udhalilishaji.
Mkuu haya mambo madogo madogo yasikuumize kichwa sana.
Mimi kulike imekua ni kama mazoea flani nimejiwekea tu, kuna watu hua wananitukana na like pia nawagongea, ni comments chache sana ambazo hua nazisoma bila kulike.
Ukiona mtu yoyote kaandika upuuzi au jambo lolote lenye kuleta maudhi muhimu ni kukwepa kumqoute.
 
Upo sahihi kabisa
 
Kazingua Sana ,hapa ni home kit ,nasubiri 3rd kit

Hii away kazingua
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyu mbunifu inawezekana ndie yuleyule alietutengezea na sisi zile jezi za pundamilia, inaonekana ubunifu wake unaishia kwenye kuchora mistari mistari tu.
Ila Arsenyo home kit yenu msimu huu ni kali kinoma naona itashika nafasi ya pili baada ya jezi ya Man Utd.
 
Kwetu sisi naona 3rd kit ndio nzuri ,nimeikubali

Nimeona away yenu kazingua Sana ,
 
Hawa Kima wamenunua Kuni na Mchele sijui wanataka kutupikia pilau, halafu wanatutambia humu kua msimu huu lazima wachukue treble.
Safari hii Cha Moto lazima mkione

Ila tuangalie na wapinzani,mm bado Chelsea na wasiwasi Sana kuingia top 6, nachelea kusema Chelsea imerudi back 2005

Kuna Newcastle, Astonvilla Brighton Spurs,halafu Kuna Liverpool,Arsenal , manjesta na city

Liverpool nilishamuwekea dhamana ila usajili wake ushanitia mashaka ,atagombea top 4 tu,
 
Newcastle na Astonvilla mimi naona ndio wananitisha sana, Unai Emiry ameibadilisha timu ndani ya muda mfupi mno, Steven Gerrard alikua anaenda kuishusha daraja.
Na huu usajili waliofanya wanaweza wakasumbua sana.
Arsenyo mjipange, msimu ujao mnaweza msirudi tena top4 mpaka baada ya miaka 8 mingine.
 
Muundo wa jezi za ugenini za Arsenal 2023/24 una mistari meusi ya maji na ramani ya Islington ,hii inawakilisha safari za mashabiki wanaotoka kwenye mitaa ya Islington kwenda kuisapoti timu hasa mechi za ugenini.

Islington wilaya walipokulia kina Ethan Nanweri,Bukayo Saka,Emile Smith Rowe ,Reis Nelson,
20230718_111218.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom