hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,286
- 26,693
KudusMkuu! Kati ya Kudus na Moussa Diaby, unaondoka na nani?
KudusMkuu! Kati ya Kudus na Moussa Diaby, unaondoka na nani?
Mkuu! Kati ya Kudus na Moussa Diaby, unaondoka na nani?
Kudus ana Mambo Kama ya Anthony wa nyumbu anaforce kukaa Mpira Sana labda apangiwe majukum analazimisha free roleDiaby is far better!! The way anavyocheza ni kama trossard, mwepesi sana kuona mtu or kupitisha pass so mtu mwingine afunge yuko very technical ni trossard mweusii upande wa kulia hana uchoyo kabisa huyu jamaa.
Kudus mzuriii lakini mmh machachari na mikimbio mingi hana utulivu kama vile gervinho anaweza toka watu 2 mpaka wa 3 then umaliziaji ukawa shida au sehemu ya kutoa pass akataka kupita tena mtu ili afunge yeye !
Diaby huyu dogo ana offer kila kitu akiwa na mpira una uhakika kabisa hapa anaweza funga au akatoa assist tofauti na kudus hajatulia at all
Unamfananisha kudus na Anthony masebene?Kudus ana Mambo Kama ya Anthony wa nyumbu anaforce kukaa Mpira Sana labda apangiwe majukum analazimisha free role
Ila technically Yuko good na energy pia.
Ukimuona saka pembe Kuna timberArteta-
"Kila usajili ambao tumefanya unaleta kitu kwa timu,"
“Tunafuraha sana kwamba tulisajili wachezaji ambao tulitaka. Tumewasajili mapema na wameanza kuzoea timu haraka sana."View attachment 2692765
Diaby naona yuko vizuri..Mkuu! Kati ya Kudus na Moussa Diaby, unaondoka na nani?
Diaby ni Winger tu ndio maana Arsenal wameachana naeDiaby naona yuko vizuri..
Huyu kudus kuna vitu anapaswa kubadilishwa, ila ni bora huyu kuliko pepe na anthony


Kwa aina ya soka ninalo muona nalo, diaby anacheza kote huko na pia ni fundi, ila arterta ndio anajua anakihitaji nini kwa mchezaji, na pia sijasema kudus ni mbovu, ila jamaa aliweka option kati ya diaby na kudus unapenda yupi, nikachagua diabyDiaby ni Winger tu ndio maana Arsenal wameachana nae
Sera ya Arsenal ya usajili lazima uwe fundi(technically Gifted) , versatility (uwe na uwezo wakucheza nafasi zaidi ya moja)
Passing accuracy yako iwe kubwa
Mengine yafatie
Sasa kudus anacheza RW,AM na False 9
Tuna kikosi cha pesa nyingi, kaa kwa kutulia tu kakaNyie Kima siwatishi ila nawakumbusha tu, huko UCL mlipokua mnapalilia kwa miaka 7 mtawaliwa kuna timu ya Ujerumani inaitwa Buyern Munich ambayo mara yenu ya mwisho kucheza nae aliwagonga goli 10-2
Sasa juzi kati baada ya Buyern kupata taarifa kua Arsenyau amefuzu kucheza Uefa msimu huu kampiga mtu goli 27-0 na wamesema hizo ni salamu maalumu kwa Arsenyau popote pale walipo. View attachment 2692843
Tuna kikosi cha pesa nyingi, kaa kwa kutulia tu kaka


halafu unaambiwa kumbe hao Fc Rottach-Egern nao pia wapo kwenye phase 4.Bayern hana timu ya maana hizi kelele sijui mnazitoa wapiNyie Kima siwatishi ila nawakumbusha tu, huko UCL mlipokua mnapalilia kwa miaka 7 mtawaliwa kuna timu ya Ujerumani inaitwa Buyern Munich ambayo mara yenu ya mwisho kucheza nae aliwagonga goli 10-2
Sasa juzi kati baada ya Buyern kupata taarifa kua Arsenyau amefuzu kucheza Uefa msimu huu kampiga mtu goli 27-0 na wamesema hizo ni salamu maalumu kwa Arsenyau popote pale walipo. View attachment 2692843
Kwa aina ya soka ninalo muona nalo, diaby anacheza kote huko na pia ni fundi, ila arterta ndio anajua anakihitaji nini kwa mchezaji, na pia sijasema kudus ni mbovu, ila jamaa aliweka option kati ya diaby na kudus unapenda yupi, nikachagua diaby

Bayern hana timu ya maana hizi kelele sijui mnazitoa wapi
Toka aondoke Lewando wanahaha tu , Bayern tumeanza kwenye usajili kala za mbavu
Huyo Tuchel alishageuka kibonde wa Arteta ,
Kuna timu naona mnazipa hype tu wakati zishachoka ,nikiona mtu anamzungumzia Bayern sasa Kama miaka 5 iliyopita namuona hafatilii mpira ,even hata Madrid ,Tena akijichanganya kutonunua CF , hata makundi anaweza asivuke


hizi kufuru zenu ndio zinazo waponza.