Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hii

Hii kitu anayopika arteta ikikubali 80%-90/% itakuwa mpera mpera sana hasa hiyo safu ya ushambulizi [emoji23][emoji23][emoji23]...
Hapo Kati ndio tunapahitaji ,

Ona hii, maana yake tunaongeza watu wakukaa na mpira


Declan Rice,Saliba and Partey make the PL top 10 for most number of times possession won in the 22/23 season.

(via @Squawka )

20230718_211015.jpg
 
[emoji599] Arsenal wanavutiwa na kiungo wa Ajax aliyekadiriwa kuwa na thamani ya pauni milioni 40, Mohammed Kudus lakini wanaangazia kupunguza kikosi kwanza cha Mikel Arteta .

[emoji2788] Mkurugenzi wa michezo wa Arsenal Edu sasa ataelekeza nguvu zake kwenye kuwauza Kieran Tierney, Cedric Soares, Nicolas Pepe, Albert Lokonga, Nuno Tavares na Rob Holding.

(@SamiMokbel81_DM)
 
Kuna hii version nilipewa humu inafungua picha vzr tu ,hata nikiwa site Kuna internet ya kusumbua Sana bado zinafunguka vzr tu
ni hii old version ndio natumia sometimes
Nikitoka nikirudi Tena ndio naona pcha zinafunguka
Ila haina shida mkuu[emoji106][emoji106]
 
Arsenal are waiting to confirm a few outgoings before making a move for Ajax star Mohammed Kudus, as reported by @SamiMokbel81_DM.

Arteta wants one more midfielder & a right winger in this summer and Kudus is a player who can operate in both positions.
20230718_211957.jpg
 
Arsenal are waiting to confirm a few outgoings before making a move for Ajax star Mohammed Kudus, as reported by @SamiMokbel81_DM.

Arteta wants one more midfielder & a right winger in this summer and Kudus is a player who can operate in both positionsTu
Tukimpata huyu jamaa basi tutakuwa tumemaliza kazi....ana Kila kitu hyu mtu unachokihitaji kwa mchezaji mpambanaji
 
Tchouameni & Lavia wote hawana tofauti na Thomas Partey,wote press resistant ila wanakosa baadhi ya vitu, lavia bado mdogo, miaka 19, siwezi kumuamini kabisa kuanza kwenye timu kama Arsenal mbele ya man city, Caicedo is built different ila ufupi wake unamfanya asiwe potential #6, Caicedo ni #8 LCM.
Nyie Arse88 ni mafuta ya taa kinoma, Yaani mnapenda kudanganyana nyie kondoo,Ngolo Kante ni mrefu ndio mana ni mzuri akicheza #6
 
Arsenal are waiting to confirm a few outgoings before making a move for Ajax star Mohammed Kudus, as reported by @SamiMokbel81_DM.

Arteta wants one more midfielder & a right winger in this summer and Kudus is a player who can operate in both positions.View attachment 2692463
Mkuu! Kati ya Kudus na Moussa Diaby, unaondoka na nani?
 
Mkuu! Kati ya Kudus na Moussa Diaby, unaondoka na nani?

Diaby is far better!! The way anavyocheza ni kama trossard, mwepesi sana kuona mtu or kupitisha pass so mtu mwingine afunge yuko very technical ni trossard mweusii upande wa kulia hana uchoyo kabisa huyu jamaa.

Kudus mzuriii lakini mmh machachari na mikimbio mingi hana utulivu kama vile gervinho anaweza toka watu 2 mpaka wa 3 then umaliziaji ukawa shida au sehemu ya kutoa pass akataka kupita tena mtu ili afunge yeye !

Diaby huyu dogo ana offer kila kitu akiwa na mpira una uhakika kabisa hapa anaweza funga au akatoa assist tofauti na kudus hajatulia at all
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom