Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

| Inter Milan are exploring a deal to sign Arsenal striker Folarin Balogun although the sides differ in their valuation.

Inter Milan want to spend around £34m.

Arsenal value him at £50m.

[via @skysports_sheth].
Hivi kwanini tusimpeleke Brighton in exchange for Caicedo. Tuwaongezee kama 15m hivi watembee huko
 
Kuna mechi hapa ya Spurs vs Westham

Westham anaongoza 3-2

Spurs kaweka kikosi anachotarajia kuanza nacho EPL ,

Hugo Lrolis kaondoka wamesajili kipa mpya Vicario , nachelea kusema Spurs amerudi alipotoka ,
 
3rd kit itatambulishwa mwezi wa 8 tarehe 2
20230718_145859.jpg
 
Kai Havertz amesajiliwa hasa kuchukua nafasi ya Granit Xhaka katika namba #8 ya kushoto.

Ilionekana kuwa inawezekana kwa sababu Arteta anaona Declan Rice kuwa na uwezo wa kukimbia Sana eneo kubwa na kushinda mpira unaohitajika ili kusaidiana na Havertz & Odegaard katika safu ya kiungo.


[@TheAthleticFC]



Na Implementation itaanza hasa dhidi ya manjesta Tarehe 23 wiki ijayo
IMG_20230714_070444_885.jpg
 
Kai Havertz amesajiliwa hasa kuchukua nafasi ya Granit Xhaka katika namba #8 ya kushoto.

Ilionekana kuwa inawezekana kwa sababu Arteta anaona Declan Rice kuwa na uwezo wa kukimbia Sana eneo kubwa na kushinda mpira unaohitajika ili kusaidiana na Havertz & Odegaard katika safu ya kiungo.


[@TheAthleticFC]



Na Implementation itaanza hasa dhidi ya manjesta Tarehe 23 wiki ijayo View attachment 2692031
hawa nyumbu inabidi tuwawekee mziki wa Partey
Rice
Ode.
 
Joao Felix

Mohammed kudus

Kuelekea kufunga usajili wetu yaangalieni hayo majina

Tunaanza kufukua tetesi Nani anakuja kufunga usajili

Vyanzo vinasema lazima awe versatile player

RW anayecheza CF ,tutafix nafasi 2 kwa mtu mmoja
 
As things stand though Partey is expected to link up with Arsenal in the USA before they face Manchester United at the MetLife Stadium on Saturday.

(@kayakaynak97 )
20230718_175346.jpg
 
As things stand though Partey is expected to link up with Arsenal in the USA before they face Manchester United at the MetLife Stadium on Saturday.

(@kayakaynak97 )View attachment 2692168
Huyu mwamba asiondoke...na tuombe msimu huu asiumieumie aweze kucheza 90% ya mechi za Ligi kuu...May tutafurahi
 
Hapo n kudus hapoo 😂😂😂😂 ndio atakuwa sahihi kwa kulia na kati.

Ila likumbukeni jina la amario yakimnyookea ni saka wa pili😂

Hao braiton ndio hivyo tu,tungewapa baloguni+tavarezi/pepe(kama watawahitaji) na hiyo kati ya yuro 10-20m hapo

Hamis77 ww kama mjumbe wa asenali dunia kutoka jamiiforamu watakusikiliza😆naomba uwapelekee mapendekezo haya wakina edu iniboksi au kwenye imeili ya timu,kwa wale wachezaji waliochwa(tava,pepe,sedriki, n.k) kama kuna uwezekano waunganishwe kwenye madili ya kuleta wachezaji wawili (msaidizi wa saka na kiungo-lavia) ilikulahisisha usajili😆😆😆
 
Hapo n kudus hapoo ndio atakuwa sahihi kwa kulia na kati.

Ila likumbukeni jina la amario yakimnyookea ni saka wa pili

Hao braiton ndio hivyo tu,tungewa balogun+tavares/pepe(kama watawahitaji) na hiyo kati ya yuro 10-20m hapo

Hamis77 ww kama mjumbe wa asenali dunia kutoka jamiiforamu watakusikilizanaomba uwapelekee mapendekezo haya wakina edu iniboksi au kwenye imeili ya timu,kwa wale wachezaji waliochwa(tava,pepe,sedriki, n.k) kama kuna uwezekano waunganishwe kwenye madili ya kuleta wachezaji wawili (msaidizi wa saka na kiungo-lavia) ilikulahisha usajili

naona most of fans wanadai ni kudus , maana tulihusishwa nae dirisha hili ,arsenal Waka pause deal ili wamalize deals ngumu za Rice ,timber na Kai


Shida ya hao wachezaji Kama Tavares nasikia ,Westham walikuwa tayari kutoa £15m ,ila kagoma anataka timu Zaid ya Westham

Pepe yeye kashanogewa na mshahara mkubwa ,anataka kwenda saudia

Balogun huyu ni asset ,Arsenal wanauhakika wa £45-50m

Deals nyingi zinaenda kwa kujitenga ,

Hao wachezaj wote kina Cedric, Tavares,holding , Pepe, wanaondoka iwe kwa kuvunjiwa mikataba au kuuzwa hasa Pepe

Arsenal haiogopi kukuvunjia mkataba ukapambane mbele ya safari
 
Joao Felix sidhani...alishatukataa January sidhani kama tutamrudia
Hakutukataa yeye.

Atletico walileta ujanja kabla hajaondoka wakamsainisha mkataba mpya idea yao ni atakapoenda wakimtaka value iwe ya juu.

Miluzi alivyofika akatoa ofa ya mkopo ya juu kutuzidi so Atletico waliamini wamepata potential suitor pia so wakatutosa.
 
Back
Top Bottom