Ndege Tai
JF-Expert Member
- May 6, 2020
- 5,089
- 9,423
3rd kit wameshaachiaAway kit mwaka huu sio nzuri
3rd kit ndio imetulia sanaView attachment 2691773View attachment 2691774
3rd kit wameshaachiaAway kit mwaka huu sio nzuri
3rd kit ndio imetulia sanaView attachment 2691773View attachment 2691774
Bado ,ila tayari design yake ipo3rd kit wameshaachia
3rd kit naisubiri piaKwetu sisi naona 3rd kit ndio nzuri ,nimeikubali
Nimeona away yenu kazingua Sana ,
Bado ,ila tayari design yake ipo
Hahaaaa mkuu jezi yetu ni second to none.huyu mbunifu inawezekana ndie yuleyule alietutengezea na sisi zile jezi za pundamilia, inaonekana ubunifu wake unaishia kwenye kuchora mistari mistari tu.
Ila Arsenyo home kit yenu msimu huu ni kali kinoma naona itashika nafasi ya pili baada ya jezi ya Man Utd.
Namkubali sana TurnerTurner ameshaokoa penat 14 kati ya 29
A good shot stopper
Sidhani kama anatakiwa kuendelea kubaki kama chaguo la 2
Akiwa comfortable miguuni zaidi ya alipo sasa Ramsdale anaweza ondoka
When i speak,,,will be in troubleAway kit mwaka huu sio nzuri
3rd kit ndio imetulia sanaView attachment 2691773View attachment 2691774


Hivi zilifika 80M kwa huyo?Wesley Fofana alinunuliwa kwa 80M na chelsea.
Na ni bogus ila husikii watu wakimtaja

KepaHii timu yenu Kama chuma ulete, Hadi Sasa mmeshatumia €100m kwenye usajili, lakin timu ni dhaifu afadhali ya mwaka Jana
Dirisha likifungwa utasikia imetumika€300m , lakin kikos Kama Cha Gwambina ya pastor Athanas
Nakupa homework panga first eleven hapa ya kutoboa top 10View attachment 2691672




Yah ni £70-75m ambayo ni €80mHivi zilifika 80M kwa huyo?![]()
Hii ya chelsea mim siwalaumu ila walichokua wanafanya ni kukunua kwanza wachezaji ovyo ovyo alafu baadae ndo watachuga wakubaki nao, maana kwenye football hatukuwahi kuona hiki kilichokua kinatokea chelsea.Yah ni £70-75m ambayo ni €80m
World is hard after calling Manchester zebra then boom,,,you become frogsView attachment 2691940View attachment 2691941



Arsenyo kumbe ni Utopolo wa LondonNa ana kimo maridhawa.Namkubali sana Turner
Wazee wa kususa...kama hawana hela inayokaribiana na 50 wapite kushoti| Inter Milan are exploring a deal to sign Arsenal striker Folarin Balogun although the sides differ in their valuation.
Inter Milan want to spend around £34m.
Arsenal value him at £50m.
[via @skysports_sheth].