Revocatus junior 93
Senior Member
- Oct 14, 2016
- 169
- 329
Zee la agenda umeibuka 🤣Hakuna shabiki wa EPL atafanya banters kwa timu za Spain. United na Arsenal mashabiki wake wanajulikana kwa vurugu na maneno mengi hata kama timu zao hazifanyi vizuri. 😁
Arsenal ni timu kubwa mmekosa Champions League tu.
Hatari sana yule dogoWaende kwa Olise
Turner mguuni yupo vzr tu mbona , nimeona sehemu Brighton wanaweza kujaribu kumuhitajiTurner ameshaokoa penat 14 kati ya 29
A good shot stopper
Sidhani kama anatakiwa kuendelea kubaki kama chaguo la 2
Akiwa comfortable miguuni zaidi ya alipo sasa Ramsdale anaweza ondoka
Hivi tofauti yake na Mc Tominay ni nnHizi pesa zilizomwagwa kwa Rice ni nyingi mno haziendani kabisa na ubora wa mchezaji husika.
Kuwa na adabu Basi unamfananisha Rice na utopolo kweli?Hivi tofauti yake na Mc Tominay ni nn




Declan Rice was ranked so highly on so many different aspects of Arsenal’s recruitment grading system that Mikel Arteta almost had a book full of reports on him. It’s why he was so passionate about this signing & that came across to Rice when he was explaining what his #6 role would entail. [@TheAthleticFC] #afc
Klabu moja ya kati ya Saudi Arabia ilionyesha nia ya kutaka kumnunua Pepe wiki iliyopita, hata hivyo, kwa sasa kuna tofauti kubwa katika mshahara anaotaka.