Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Duh ,kipi Cha ajabu wakati last season tumecheza lone DM , na tumefunga magoli mengi Sana ,

Arsenal Hadi mechi ya 29 nadhani tulikuwa tumefungwa goal 27 tu, alipoumia Saliba ,Tomiyasu ndio defence ikasheki

Kucheza na Lone DM tunacheza Arsenal na mancity tu kwa EPL ,hata Liverpool hachezi hivo,

Nadhani wewe unaifananisha Sana Arsenal na manjesta kitu ambacho ni makosa
Msifanye hivyo kwa timu yenye KDB au Salah.

Rice kucheza lone DM ni bomu na muda wowote linaweza kulipuka.
 
Hii sijaiona. Ila jamaa wapo broke kipindi hichi

Ingekua Arsenal wana hii drama kuna watu wangekesha humu
yaan acha tu , Mancity alimsajili Grealish kwa £100m analipa kwa 2 installments, Enzo Chelsea wanalipa kwa 6 installments
Arsenal kwa Pepe ni 4 installments lakin tulivyoandamwa dah
 
Msifanye hivyo kwa timu yenye KDB na Salah.

Rice kucheza lone DM ni bomu na muda wowote linaweza kulipuka.
Tumefanya hivo mechi zote msimu huu ,ikiwepo ya city ambayo Pep anakiri kabisa alizidiwa umiliki mpira

Bro nenda YouTube kamuangalie Tena Rice kwenye angle hizi

1.Interception
2.Passing accuracy

Halafu hiyo lone DM inachezwa 2-3-5

Anabaki peke yake lakini anasaidiwa na LB/RB anayekuwa inverted mwenye u asili wa kiungo ambaye ni either Zinchenko au Timber,

Hapa chini Ilikuwa video Kuna maongezi ya Edu Rice na Arteta ,

Edu: "Three midfielders"

Arteta: "4-3-3, left right and let him (Rice) defend"

Rice: "I'm staying don't worry"

20230715_175734.jpg
 
Hii sijaiona. Ila jamaa wapo broke kipindi hichi

Ingekua Arsenal wana hii drama kuna watu wangekesha humu
Hakuna shabiki wa EPL atafanya banters kwa timu za Spain. United na Arsenal mashabiki wake wanajulikana kwa vurugu na maneno mengi hata kama timu zao hazifanyi vizuri. 😁

Arsenal ni timu kubwa mmekosa Champions League tu.
 
Duh ,kipi Cha ajabu wakati last season tumecheza lone DM , na tumefunga magoli mengi Sana ,

Arsenal Hadi mechi ya 29 nadhani tulikuwa tumefungwa goal 27 tu, alipoumia Saliba ,Tomiyasu ndio defence ikasheki

Kucheza na Lone DM tunacheza Arsenal na mancity tu kwa EPL ,hata Liverpool hachezi hivo,

Nadhani wewe unaifananisha Sana Arsenal na manjesta kitu ambacho ni makosa

Yani anaumia Mchezaji mmoja tu timu inapwaya?

Arsenal Kikosi kidogo bado inabidi kila namba iwe na vyuma viwili amabavyo kocha ajui nani aanze nani iwe sub kama city vile.

Jesus akiumia eti Forwad niketia dah??
 
Hii sijaiona. Ila jamaa wapo broke kipindi hichi

Ingekua Arsenal wana hii drama kuna watu wangekesha humu
Hakuna shabiki wa EPL atafanya banters kwa timu za Spain. United na Arsenal mashabiki wake wanajulikana kwa vurugu na maneno mengi hata kama timu zao hazifanyi vizuri. 😁

Arsenal ni timu kubwa mmekosa Champions League tu.
 
Yani anaumia Mchezaji mmoja tu timu inapwaya?

Arsenal Kikosi kidogo bado inabidi kila namba iwe na vyuma viwili amabavyo kocha ajui nani aanze nani iwe sub kama city vile.

Jesus akiumia eti Forwad niketia dah??
Waliumia wawili Saliba , Tomiyasu ,

Ndio maana Sasa hivi tuna mabeki 6 kila namba wawili wawili , lakin pia Wana uwezo wa kucheza nafasi nyingine

Mwaka Jana tulikuwa na depth nzuri tu haikuwa mbaya kihivyo ,alipoumia Saliba ,ilikuwa white arudi RCB ,Tomiyasu acheze RB ,bahat mbaya nae akawa ameumia
 
Martin Ødegaard:

I challenge anyone to come away from a meeting with Arteta and not believe everything he tells you
20230717_152818.jpg
 
I think Arsenal will reject

Arsenal want at least €50m

Or Loan with obligation to buy for €50m

Inter have offered 40m euros for Balogun

(Rai Radio via @SempreIntercom)
Inter hela hawana jiandaeni kumtoa kwa mkopo
 
Sio atafute forwad makini ambaye hacheki na nyani.

Mtu kama Kane ,halland,benzema .

Akiumia jesus basi mbele kuna pwaya
Nitajie CF wanaopatikana Sasa hivi duniani wanaoeleweka

Manjesta wameambiwa watoe €60-100m kwa Hojlund mechi 32 goals 9

Osmhen ,Rais wa Napoli kasema anamuuza kwa €200m Tena kasema ni Psg tu ndio wanaweza mnunua akiamini watamuuza mbappe

Huoni inter na Ac Milan wanapigania kumpata Balogun ambaye hajacheza hata mechi 5 za EPL na Arsenal?

Dunia ina uhaba wa CF tuelewe Hilo
 
Inter hela hawana jiandaeni kumtoa kwa mkopo
Wameuza Jana Onana kwa manjesta ,ndio maana wameanza ku bid

Mkopo watakaopewa ni obligation Tena ya €45-50m

Mkopo wa obligation to buy ni sawa na kumnunua maana lazima uilipe mwakani ,hivo kwenye vitabu Arsenal watakuwa na uhakika wameingiza pesa

Klabu zinazomtaka ni nyingi , tatizo la CF duniani ni kubwa Sana
 
Hawatoi hela hao wachezaji waliochukua wengi wa mkopo
 
Hawatoi hela hao wachezaji waliochukua wengi wa mkopo
Na Arsenal hawamtoi huyo dogo kwa mkopo , kapiga goals 20+ Ligue 1 , national team kaanza kutupia ,

£50m price tag na nisababu amebakiza mkataba wa mwaka mmoja

Kama kina Hojlund Wana goals 9 mechi 32 na wanauzwa €100m
 
Quick update:

Outgoings still priority for Arsenal, focusing on clearing some of the squad, raising funds/freeing wage bill

Expecting official offers for some players

Currently looking for 2 more incomings (not imminent) - RW and midfielder

Players on chopping board; Pepe, Tavares, Lokonga, Cedric, Holding and Patino (some others may develop)

Midfield target quality depends on if Partey leaves or not. RW target is dependant on quality/market value

Versatile forward profile could be option if no RW
 
Aston Villa have now made an offer of around €50m for Moussa Diaby — he wants the move. @BILD_Bayer04 #avfc

Moussa Diaby anaenda Villa au Saudia

Arsenal tulihusishwa Sana na huyu jamaa ,wakasema ni €100m , Astonvilla alipoenda kutest kwa €35m wakaropoka Bei yake ni €50-60m

Bado Arsenal tunahitaji RW ,

Nataman kumuona Michael Olise anapatikana kwa Bei nzuri
 
An offer of €40m is expected to arrive soon at the Emirates from Inter Milan for Folarin Balogun.

Arsenal want €50m

Reports,

@JordanC1107 for @TheAthletic.
 
Kaya Kaynak, writing for Football.London, says that

ESR, who having won the Under-21 Euros, has turned down the chance for an extended holiday and hopes to feature in the upcoming trio of friendlies against the MLS All-Stars, Manchester United and Barcelona.
 
Licha Arsenal kutumia £ 210m mpaka sasa Soko la Usajili ila bado hawajamaliza. Arsenal bado wapo sokoni kutafuta winger wa kulia

@johncross ( Mirror)
20230716_180154.jpg
 
Back
Top Bottom