Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Bukayo Saka join Man City for ~£55m, he we go confirmed.

Martinelli joined Liverpool for £20m.

Ødegaard to PSG is a done deal.

Real Madrid have completed the signing of Saliba from Arsenal.

Arsenal completed the signing of Alex Daho from ligue 2 in France.

These are the kind of Newspaper's titles you'd see if Wenger was still in charge of ARSENAL

.And last minute Maguire loan from Manchester united

Wenger alikuwa na wakati mgumu sana
 
Mara paaap!... Mbappe has signed for Arsenal for £150 until 2027!... Watu wataanza kulia hata ligi haijaanza!... Aisee!... Kweli Arteta kaibadili Arsenal!.. polepole Arsenal inaanza kuwa Tishio kwenye usajili na Kwa style ya Arsenal, wachezaji wakubwa wanavutiwa sana!.. Kroenke ameacha ubahili! Msije mkashangaa Arsenal anatuma ofa!..
 
Huu utopolo unategemea tena msimu ujao ufanye vizuri
Hakuna Project Ngumu Na ya Kitapeli EPL Kama ya Chelsea

Kilema anawazidi mbio wazima
IMG_20230707_201037.jpg
 
Kuna staff wameondoka Arsenal. Kuna daktari halafu kuna msaidizi wa Arteta.
Erik ten Hag: “In just one game we had the squad available totally - that was against Man City.

Every other time it's been one player suspended, injured, or unavailable through illness. We have to deal with it well but Arsenal, all the time their squad is totally available.”

March 15
=============
July 7
Arsenal’s head of medical services Gary O’Driscoll is moving to #mufc. The highly-regarded doctor joined Arsenal in 2009 and has become a key figure at the north London club.

Credit: M Z A N Z I B A R I
tapatalk_1598705374_680x444.jpg
 
Bukayo Saka join Man City for ~£55m, he we go confirmed.

Martinelli joined Liverpool for £20m.

Ødegaard to PSG is a done deal.

Real Madrid have completed the signing of Saliba from Arsenal.

Arsenal completed the signing of Alex Daho from ligue 2 in France.

These are the kind of Newspaper's titles you'd see if Wenger was still in charge of ARSENAL

.And last minute Maguire loan from Manchester united

Wenger alikuwa na wakati mgumu sana
Ila Yule Mzee alikuwa mwamba!... Makocha wengine timu inashuka daraja kabisa
 
Erik ten Hag: “In just one game we had the squad available totally - that was against Man City.

Every other time it's been one player suspended, injured, or unavailable through illness. We have to deal with it well but Arsenal, all the time their squad is totally available.”

March 15
=============
July 7
Arsenal’s head of medical services Gary O’Driscoll is moving to #mufc. The highly-regarded doctor joined Arsenal in 2009 and has become a key figure at the north London club.

Credit: M Z A N Z I B A R I View attachment 2681280
Baba Ubaya Ten Hag yy huwa analalamika majeruhi yanamuangusha kama vile wenzake hawapati majeruhi....timu zote kubwa pale zimekuwa na majeruhi na huoni makocha wakilialia...Sasa msimu huu awe na kikosi chake chte cha wafukuza upepo halafu tuone...yy apambane kubadili kikosi...ondoa deadwoods zte then leta watu....asitudanganye hapa kwamba unaweza kuchukua kombe na Fred...McTominay na Eriksen...aache huo ujinga....tangu amekuja EPL amekuwa mtu wa kulialia sana
 
Ten Hag
"We have to deal with it well but Arsenal all the time their squad is totally available."

Ndio tayari Baba Ubaya ameshaanza ku deal na tatizo la majeruhi kwenye squad yake kwa kufanya usajili kabambe wa aliekua daktari wa Arsenyo.
 
hawa Kima lazima waone ni mafanikio kwao maana wamepiga miaka 8 mtawaliwa bila ya kunusa kwenye hio top4.
Mtaalamu ukijaga huku unabwata kuw kuna matusi, unajifanya kama vile umetoka peponi kwenye jukwaa la Nyumbu kule

Matokeo yake kule saiz ndio kuna matusi kama yote, kuna kajamaa sijui kametokea wapi kutwa kutukana wenzie as if yeye anajua kila kitu

Kajamaa kanatuna balaa Kutwa utaskia mpumbavu, Mjinga,mafala ila kutwa kutangaza kwamba jukwaa la Arsenal ndio kuna matusi

Wakati mna kadalali kenu huko kana kazi mbili tu, kutukana na udalali maana tangu mwezi wa 5 kenyewe ni habari ya kesho team inauzwa, kesho bid mpya, kesho board inakutana, Rio kavujisha kesho hivi, kesho blaaaa blaaaa
 
Hako kajamaa itakuwa ni kafupi

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
 
Mtaalamu ukijaga huku unabwata kuw kuna matusi, unajifanya kama vile umetoka peponi kwenye jukwaa la Nyumbu kule

Matokeo yake kule saiz ndio kuna matusi kama yote, kuna kajamaa sijui kametokea wapi kutwa kutukana wenzie as if yeye anajua kila kitu

Kajamaa kanatuna balaa Kutwa utaskia mpumbavu, Mjinga,mafala ila kutwa kutangaza kwamba jukwaa la Arsenal ndio kuna matusi

Wakati mna kadalali kenu huko kana kazi mbili tu, kutukana na udalali maana tangu mwezi wa 5 kenyewe ni habari ya kesho team inauzwa, kesho bid mpya, kesho board inakutana, Rio kavujisha kesho hivi, kesho blaaaa blaaaa

"kuna kajamaa sijui kametokea wapi kutwa kutukana wenzie as if yeye anajua kila kitu"

Hapa wewe mwenyewe umekiri kua hako kajamaa ni kapya na wala hujui hata kametokea wapi.

Sasa mimi nakwambia hivi:

Ukiona kuna mpuuzi yoyote kwenye lile Jukwaa la watu walio staarabika zaidi duniani anatukana, basi tambua tu kua huyo mpuuzi atakua hana DNA ya Man Utd bali ni mzamiaji aliechoshwa na timu alilokua anashabikia akaamua kujiunganisha tu mwenyewe kwenye timu yetu pasi na kusoma hata Joining Instruction.
 
Maalimu me sina uhakika kama ni mpya maana ni kweli tuna kasumba ya kutembeleana katika majukwaa yote ila huwezi kujua kila ID, inawezekana kachange picha ndomana naona mpya

Sometimes mtu unaweza kukariri picha ya ID ila usikalili Jina la ID, mfano mie nimekalili picha ya ID yako, kwahiyo nikiiona tu najua Mzee wa kujipakulia minyama huyu ata bila kuhakiki jina

Anyway, hoja ndio hiyo sasa kule mna mtukanaji mzuri kwa sasa, ila fair enough amekuwa akifanya jukwaa liwe hai kutokana na kupost kwake habari zake za udalali

Tofauti na hivo tunajua mngekuwa kimya Tu kule maana mtajadiri nini sasa Mzee mwenzangu team yenyewe ndio hivo ishakuwa chupli chupli
 
Back
Top Bottom