Flano
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,870
- 16,425
Nimekuonyesha Chelsea big trophies for last 6 years.Wewe hata Forrest ana UCL Tena 2 lakini amerudi alipotoka , Chelkenge kwasasa wanagombea kushuka daraja ,level zao Sasa nikina forest , Luton fc
Kama kikos Cha 650 walitaka kushuka daraja ,vipi kuhusu Hawa kina Jackson na muddy ambaye hata Goli la offside Hana
Wewe tuonyeshe japo one big trophy kama hizo ambayo Arsenyo amepata for last 20 years?
Yaani timu lenu miaka 8 mtawaliwa mmeshindwa kuingia hata kwenye top4 unapata wapi nguvu ya kuisema timu kubwa duniani kama Chelsea kua ni middle table team?




|| Jurrien Timber is at Arsenal finalising his move and meeting his new team-mates