Mjusi_kafiri
JF-Expert Member
- May 8, 2022
- 1,016
- 1,878


.daah

.daahMkuu ligi ikianza ndo tunakuja mithili ya nyuki!!!Hili jukwaa limekua na fujo sana.. Ligi ianze hawa wana Arsenal wapotee humu tushambulie sisi wapinzan tu![]()
Wewe ni msengerema tu. Hili jukwaa umelizoea kupitiliza. Kachat huko Manure huu upumbavu wako. You are a Borer.Nakuchukia kama harufu ya Kinyesihawa Kima lazima waone ni mafanikio kwao maana wamepiga miaka 8 mtawaliwa bila ya kunusa kwenye hio top4.
Space imeanz
Mashabiki wengi wa Arsenal hawajui timu yao ilikuwa wapi imetoka wapi na inaenda wapiNimesikiliza mpaka saa 6 nilipo anza kupokea simu za Happy birthday; unfortunately I did not get chance to speak out my mind. I am opposed to contributions made by some speakers. Just focused on the current acquisitions, but forgot the key outgoings and mentioned a little on our No. 3 KT who is destined to Newcastle and No.2 TM prone to injuries. Concentrated on saka replacement but forgot about the presence of Nelson and Trossard.


Wewe ni msengerema tu. Hili jukwaa umelizoea kupitiliza. Kachat huko Manure huu upumbavu wako. You are a Borer.Nakuchukia kama harufu ya Kinyesi


Relax broo usichukulie mambo serious sana utaishia kupata maradhi bure. Brother Cf n wamuhimu hilo ata wewe unalijua na sio lazima awe aliofanya vzur msimu uliopita maana inawezekana akafanya vzur alipotoka ila kwako akapotea (mifano iko mingi) tunachohitaj awe tu na qualities zinazotakiwa na some of potential. kitakacho baki Arteta na timu yake ndio kaz yao.Mashabiki wengi wa Arsenal hawajui timu yao ilikuwa wapi imetoka wapi na inaenda wapi
Mtu had leo anamuwazia pepe ,kT,holding wacheze,mtu anakwambia tunahitaji CF wa maana ,ukimwambia wataje hawajui
CF waliofanya vzr last season na waliopo ulaya Ni
Halland
Kane
Osmhen
Lacazette
Balogun
Hadi hapo unaanza kusaka kwa tochi
Sasa Cha ajabu balogun tumemuweka sokon
Lacazette kwetu alifikia hatua akawekwa bench na Nketiah
Kane ,Arsenal na Spurs hawauzian wachezaji
Victor Ni €140-150m
Lakini mtu anakwambia tusajiri CF
Jesus alifunga Goli 9-10 na alikosa miez 3 nje
Mkuu ligi ikianza ndo tunakuja mithili ya nyuki!!!
Hapa tumepoa sana nakwambia.

Maneno yako haya yatakuponza mkuu chonde chonde.Sababu tunazo
Nia tunayo
Uwezo tunao
Mwaka jana tumefuta vumbi katika kabati letu la trophies, mwaka huu tunaweka kitu. Na sizungumzii F.A and the likes, nooooo!!!!!!
CF najua tunaweza kumsajili lakin Sion akianza ,labda tutengeneze wakwetu,Brother Cf n wamuhimu hilo ata wewe unalijua na sio lazima awe aliofanya vzur msimu uliopita maana inawezekana akafanya vzur alipotoka ila kwako akapotea (mifano iko mingi) tunachohitaj awe tu na qualities zinazotakiwa na some of potential. kitakacho baki Arteta na timu yake ndio kaz yao.
Wapo hapo kina ivan toney( najua ana ban ila sio ya mda mrefu) lautaro na wengine, striking force yetu n tamu tunahitaj tu mtu wa shabaha ambaye achez mbal na goli saa nyingine namuwaza ata diego jota
Popote mlipo, mnaiwaza zaidi Arsenal kuliko timu nyingine yeyote.Mioyoni, mnajua ni jinsi gani tumejiimarisha. Mimi huku nilipo, tetesi za wachezaji tunaohusishwa nao kuwasajili, nazipata kwa mashabiki wasio wa Arsenal. Yani wanajua Kila kitu kuhusu sisi.Maneno yako haya yatakuponza mkuu chonde chonde.
Popote mlipo, mnaiwaza zaidi Arsenal kuliko timu nyingine yeyote.Mioyoni, mnajua ni jinsi gani tumejiimarisha. Mimi huku nilipo, tetesi za wachezaji tunaohusishwa nao kuwasajili, nazipata kwa mashabiki wasio wa Arsenal. Yani wanajua Kila kitu kuhusu sisi.
Na hatujamaliza, we keep building our amry. Mnatuhofia sana kuliko mnavyomuhofia Man City. Na juzi kati zile habari za Mbappe to prefer Arsenal over Liverpool kama anakuja EPL ndo zikawanyima usingizi kabisa.

mkuu lbd umeshiba chai ngj kwnz nikuache chai na maandaz itoke kichwan unaweza kurud kwny senses zako za kawaida.Mwanangu hivi team yako ya Kwanza kushabikia nje ilikuwa ipi kabla hujahamia kwenye plastic club with plastic fans?mkuu lbd umeshiba chai ngj kwnz nikuache chai na maandaz itoke kichwan unaweza kurud kwny senses zako za kawaida.
Maana unachokiongea naona ni kama unaongea vitu vya kusadikika zaid kuliko uhalisia nimekusamehe bure kwa sbb najua saiv ni mda wa chai unaweza umeshiba chai na maandaz.
Lkn mm ni yule niliyekunyima furaha msimu huu.. Na ntaendelea kufanya ivo. View attachment 2681723
Swali zuri kbs najua ni miongoni mnaoumia kumuona mtu ni City fan kwa sbb unajua unakosa cha mkosoa nacho unabak na porojo za plastic fans mara sijui oil club.Mwanangu hivi team yako ya Kwanza kushabikia nje ilikuwa ipi kabla hujahamia kwenye plastic club with plastic fans?

Timber and his agent had secret talks with Arsenal in London around time of attending the FA Cup final between United and City.Shabiki la manjesta HiloMwanangu hivi team yako ya Kwanza kushabikia nje ilikuwa ipi kabla hujahamia kwenye plastic club with plastic fans?
Ndugu yangu we kuwa tu na Amani me ata siwezi kuumia shabiki wa Man city akitambaSwali zuri kbs najua ni miongoni mnaoumia kumuona mtu ni City fan kwa sbb unajua unakosa cha mkosoa nacho unabak na porojo za plastic fans mara sijui oil club.
Mm nilikua na team moja tu duniani wkt huo ambayo ni Barcelona pekee.
2008 wkt kocha bado ni Mark Hughes mm ndo nilianza kuipenda city ndo December 2009 yake akatambulishwa Roberto Mancini.
Pole mkuu najua unaumia sana kuona nina tamba sana majukwaani hapa lkn ndo hakuna namna mm ndo Treble winner na huna namna zaidi ya kuvumilia maumivu makali Aya unayopitia. View attachment 2681799
Huwez kua haumii uni quote mkuu.. Ungepita tu had una ni quote unaumia.Ndugu yangu we kuwa tu na Amani me ata siwezi kuumia shabiki wa Man city akitamba
Kwanza nakuwa ata sioni Raha ya kutambiana au kutambiwa na city fan, Kwa sababu najua ni mnafki tu kama wanafki wengine
Yani ni sawa kwenye kuongelea Mambo ya mpira Kati ya Yanga na Simba alafu kuwe na shabiki wa Azam, Kwanza unajiuliza huyu katokea wapi
Coz kabla ya kuwa Azam kuna team alikuwepo, the same na mashabiki wa city walihama team zao kwakuwa wana roho ya kike kwa sababu wanawake ndio waga hawajui wanataka nini maishani mwao
Kwahiyo mkuu we kuwa na Amani kabisa, me nilitaka Tu kujua before kurukia basi la City ulikuwa wapi kwa sababu najua ni lazima ulikuwa na team ingine
Me naenjoy mabishano na watu kama kina Flano Mkohoti Cash Money Forever lembu The Boss WAIKORU Baba Swalehe Kisu Cha Ngariba na wengine wa Kariba kama yao coz we got history
Siwezi kumuonea wivu shabiki wa city alie huku kwetu matombo ata siku moja mkuu, we enjoy tu treble yako
Hadi kufikia 2015 afrika kulikua hakuna shabiki wa man city. Kutoka vyanzo vya kuaminikaSwali zuri kbs najua ni miongoni mnaoumia kumuona mtu ni City fan kwa sbb unajua unakosa cha mkosoa nacho unabak na porojo za plastic fans mara sijui oil club.
Mm nilikua na team moja tu duniani wkt huo ambayo ni Barcelona pekee.
2008 wkt kocha bado ni Mark Hughes mm ndo nilianza kuipenda city ndo December 2009 yake akatambulishwa Roberto Mancini.
Pole mkuu najua unaumia sana kuona nina tamba sana majukwaani hapa lkn ndo hakuna namna mm ndo Treble winner na huna namna zaidi ya kuvumilia maumivu makali Aya unayopitia. View attachment 2681799