Ushabiki unawatia upofu. Arsenal hii kwa Chelsea tu haifui dafu wakati wanaendelea kuwaita wenzao plastic fans wenzao wanafukuzia record za Liver na UtdWatakwambia invisible ndio mafanikio makubwa,wakat hata Steven Gerald na uchanga wake wa ukocha anayo hiyo invisible.
Kuwa shabiki wa Ars88 ni zaid ya ukichaa.
Hao man city hawana historia yyte na EPL nakuona msimu ujao 10Hag akiwashusha daraja mnavojpendekeza kwa MancityNimekujibu sababu umemuita mwenzako plastic fan. Mimi man U lakini ukiniuliza kati ya Arsenal na Madogo wa man city nani ana mafanikio zaidi nitachagua man city kawazidi mafanikio na ni mkubwa kuliko nyie.
Mkuu historia ni nini?. Hiki wanachokifanya Man City sasa hivi ndio wanatengeza historia tayari miaka 10 mbele hutaweza tena kuwaweka na Arsenal katika sentensi moja.Hao man city hawana historia yyte na EPL nakuona msimu ujao 10Hag akiwashusha daraja mnavojpendekeza kwa Mancity
Next season tunabeba EPL tuwazibe midomoMkuu historia ni nini?. Hiki wanachokifanya Man City sasa hivi ndio wanayengeza historia tayari miaka 10 mbele hutaweza tena kuwaweka na Arsenal katika sentensi moja.
Usikimbie jukwaa tu maana kwenye pre season jukwaa lina watu wengi ila mkianza kuyumba mnapotea humuNext season tunabeba EPL tuwazibe midomo
Naon iyo Carabao inakupa jeurii
Usikimbie jukwaa tu maana kwenye pre season jukwaa lina watu wengi ila mkianza kuyumba mnapotea humu

mkuu tupo hapa mpaka kiamaSawa Mwajuma...tunahifadhi hzi comment...umeshataja jina la pili la kukuita...kuna Mwajuma na Mbwa...kama la tatu lipo liseme kbsa...maana nyny nafasi yenu ni ya nane msimu huu unaoanzaWe na katimu kako hako kasichokua hata na historia kikimaliza juu ya chelsea, niitwe mbwa.
Sema mkiingiaga kwenye mashimo kujificha kuwapata ni kwa tochi kongole kwenu wana Arsenali😀mkuu tupo hapa mpaka kiama
Utashangaa pochitino anakuja anachukua ubingwa na anaondoka nyie mpo tu, mnaovalodi na kupress.Endelea kushinda humu Kipind hiki ,
Maana kwa timu ile huna wakumtoa top 10
Huyo dogo walitamba na kusema watapigania ubingwa last season ,wakasema Arsenal hata top 6 hatuingiiSawa Mwajuma...tunahifadhi hzi comment...umeshataja jina la pili la kukuita...kuna Mwajuma na Mbwa...kama la tatu lipo liseme kbsa...maana nyny nafasi yenu ni ya nane msimu huu unaoanza
Nikishika ya nane basi nyie mtakua chini yetu, mana nishasema Arse88 hawez kumaliza juu yetu. Tupo hapaSawa Mwajuma...tunahifadhi hzi comment...umeshataja jina la pili la kukuita...kuna Mwajuma na Mbwa...kama la tatu lipo liseme kbsa...maana nyny nafasi yenu ni ya nane msimu huu unaoanza
Wewe hiyo timu hata , Astonvilla humuwez , top 10 unamtoa Nan pale uingie weweUtashangaa pochitino anakuja anachukua ubingwa na anaondoka nyie mpo tu, omnaovalodi na kupress.

Lee Dixon 1988- 2002.
Abou Diaby 2005- 2013
Mathieu De buchy 2014- 2018.
Hector Bellerin 2018- 2022. JEZI NO. 2
Kama tulivyo bainisha William Saliba atavaa jezi namba 2 msimu ujao... kwa kipindo kisicho pungua miaka 30, jezi namba 2 imevaliwa na watu wanne tu!
Lee Dixon 1988- 2002.
Abou Diaby 2005- 2013
Mathieu De buchy 2014- 2018.
Hector Bellerin 2018- 2022.
View attachment 2682297
Hapa jamaa ilibidi asaini. Maana hilo roba alilopigwa na boss huku akiambiwa 'kijana, usiposaini nitakupoteza'...



Bora tukuite MBWA kuliko mwajuma Kama ulivyokua unatakaWe na katimu kako hako kasichokua hata na historia kikimaliza juu ya chelsea, niitwe mbwa.