Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Najiuliza kama Pochettino ni kocha wa kumfanya mtu awe jeuri humu na sioni ni kivipi unatakiwa kupiga kelele kwa wingi.

Alikua Spurs, alikua PSG. PSG ilitoka kwenye ligi tano bora ikarudi Messi alivyoenda. Akapoteza dressing room, uwanjani timu ikacheza individually. Ameonyeshwa mlango karudi Uingereza.

Analeta nini mezani? Man management siyo nzuri, mpira ni counter zaidi kuliko possession mimi naona ataanza slow, momentum kidogo kisha atarudi average na hapo ni kama watasajili ST. Wasiposajili itakua ni mwendelezo wa msimu uliopita.

Kikosi kimevimbiana wanakipunguza lakini wamepunguza mpaka mabeki.
Nakumbuka ulisema Kama watasajili ST wakamleta Auba Hali ikawa mbaya zaidi,

Binafsi siamini eti lazima uwe na ST ndio ushinde mechi

Ndio maana Arsenal tuna balogun kafunga 20+ goals Ligue 1 , na tunamuweka sokon

I like this arrogance
 
|| Jurrien Timber is at Arsenal finalising his move and meeting his new team-mates


[Via - @Charles_Watts].
 
NEW -

Arsenal have asked Porto whether Mehdi Taremi is available on the market. Several clubs are keen on signing the Iranian international

(@hatam_daddy1980 )
 
Martinel anakula mbao bila tabu kabisa, kwa sasa huwezi nielewa ila naomba nitunze hii comment yangu kwa siku zijazo. Mudryk ana uwezo mkubwa ni vile hakupata kocha mwenye akili. Kati y wachezaji ambao chelsea hawajapgwa, basi ni Mudryk.
Mkuu nilisema kama hutojali utoe sababu, ila naona umekuwa mtabiri tambi tambi

Hayo mambo ya ohhh sijui ana uwezo mkubwa sana, ohhh kocha alikuwa Hana Akili hizo ni excuse tu ambazo hazina mashiko

Mpira hauko hivo, tunaongelea impact, kila mtu anajua Mudryk ni mchezaji mzuri ila ili umpige benchi Martinel toa sababu ili kila mtu akuelewe na sio ngonjera
 
Arsenal’s business in 2023:

Signed:
Leandro Trossard
Jakub Kiwior
Jorginho
Kai Havertz
Declan Rice
Jurrien Timber

Renewed:
Gabriel Martinelli
Aaron Ramsdale
Bukayo Saka
Reiss Nelson
William Saliba
 
Official, confirmed. William Saliba signs new long term deal at Arsenal valid until June 2027. #AFC
 
William Saliba will wear number at Arsenal starting from next season.

Arteta on new deal signed: “The ability he has at his young age of just 22 is exciting, and there is of course so much more room for development with any player at this stage of their career”.
JamiiForums241914716.jpg
 
kama arteta atatumia mfumo wa msimu uliopita kwa msimu ujao ;kwa xhaka kuondoka.. naona ødegaard anaweza kuitafsiri vizuri nafasi yake yni akawa kama mbadala mzuri zaidi wa xhaka.
 
Kuna staff wameondoka Arsenal. Kuna daktari halafu kuna msaidizi wa Arteta.
 
Huo mshahara wenyewe wa kumlipa mnao?
Mbappe mwenyewe alihojiwa na mwandishi wa Sky Sports kuhusu tetesi za kusajiliwa na Arsenyo akajibu kuliko kwenda Arsenyani ni bora astaafu tu soka la kulipwa.
Sisi tusio na mshahara tunasajili. Nyinyi mbona mpo kimya
 
Nakumbuka ulisema Kama watasajili ST wakamleta Auba Hali ikawa mbaya zaidi,

Binafsi siamini eti lazima uwe na ST ndio ushinde mechi

Ndio maana Arsenal tuna balogun kafunga 20+ goals Ligue 1 , na tunamuweka sokon

I like this arrogance
Kaka Auba aliyeenda pale siyo auba aliyetuge FA mbele ya hao hao.

Auba alitoka kwetu huku ukimpa mpira pembeni hawezi kuingia nao ndani. Alivyorudi chelsea alikua hamna kitu tayari.

Balogun ana goli 20+. Lacazette ana 28 msimu huo huo ligi hiyo hiyo

Umuhimu wa ST unauona ukiitazama Spain ya Euro na world cup iliyopita.
 
Arsenal’s business in 2023:

Signed:
Leandro Trossard
Jakub Kiwior
Jorginho
Kai Havertz
Declan Rice
Jurrien Timber

Renewed:
Gabriel Martinelli
Aaron Ramsdale
Bukayo Saka
Reiss Nelson
William Saliba
Kundi la matapeli wote hao
 
Arsenal’s business in 2023:

Signed:
Leandro Trossard
Jakub Kiwior
Jorginho
Kai Havertz
Declan Rice
Jurrien Timber

Renewed:
Gabriel Martinelli
Aaron Ramsdale
Bukayo Saka
Reiss Nelson
William Saliba
Naliita hili ni kundi la Matapeli kwasababu msimu huu ulioisha wa 2022/2023 walikua na kila sababu za kuchukua EPL matokeo yake hata Man U mbovu imebeba hata kakombe cha mbuzi na kuishia nafasi ya 3 nyuma yao. Kwanini nisiliite kundi la matapeli?
 
@hamiss77 washakunaku Saliba kawajibu kupitia unachosemaga





| William Saliba: “I think we can achieve everything. Of course, it's easy to say this, but we have the coach, we have the character, we have the players and every year the team gets stronger.

“We have better players with a good mentality. We have a good experience from the last season as well.

“We know that the season is so long. So we are confident and we know we can do something good at this club.” [@arsenal] #afc
 
Kuna tetesi zinaenea pale France na England kuhusiana na Mbappe kujiunga na mabingwa watarajiwa Arsenal 2023/24 naomba niwatoe hofu mashabiki wenzangu wa soka kwamba ni za kweli na uhakika zimethibitishwa na Mbappe mwenyewe
 
Naliita hili ni kundi la Matapeli kwasababu msimu huu ulioisha wa 2022/2023 walikua na kila sababu za kuchukua EPL matokeo yake hata Man U mbovu imebeba hata kakombe cha mbuzi na kuishia nafasi ya 3 nyuma yao. Kwanini nisiliite kundi la matapeli?
Msimu unaanza mlisema hawawez kuingia big 4 leo mnabadili maneno Tena unafiki mbaya sana
 
MBAPPE PREFER TO JOIN ARSENAL OVER LIVERPOOL
Mbappe's future at PSG is in doubt after the club told him he must agree to extend his contract or else he will be sold this summer. Real Madrid have long been regarded as his most likely destination, but Liverpool have also been in the frame to land him.

THE BIGGER PICTURE: However, The Independent reports the France star favours Arsenal over the Reds because he has been impressed by their development under Mikel Arteta and he fancies the prospect of leading them to a first Premier League title since 2004. Sadly for the Gunners, though, he is out of their price range and there has been no contact with the striker.

AND WHAT'S MORE: Mbappe informed PSG that he does not want to trigger the option to extend his contract until 2025. The club have not taken that decision well and have assured him that he will be sold this summer if he does not commit to an extension. The Ligue 1 champions are demanding around €200 million (£171m/$217m) for him, which may be too much for Madrid, who the report says would still prefer to sign him on a free transfer next year.
 
Back
Top Bottom