Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Soma thread uelewe.

Nimesema ivi mna utofauti gani na Chelsea ambaye hajaachive kitu chochote msimu huu pamoja na ubovu wake?

Ninyi mlikuwa bora kuliko chelsea lakini pamoja na ubora wenu mmeachive nini?

Najua timu bora lazima imalize msimu na kombe au makombe nini vip?

Mkuu Hatuchekani kwa sasa cheka baada ya kupata kakikombe hata cha pombe tu
Yaan umalize nafas ya 12 ujifananishe na Arsenal ambaye kamaliza nafas ya 2 ?

Wewe unaenda kucheza UCL?

Msimu ujao bado hata top 7 huwez kuingia kwa timu uliyonayo

Mwaka Jana mliposema mnaenda kugombea ubingwa kwa kusajili kwa £650m wachache tuliwakatalia na mlikuwa na kikos kizuri kuliko kituko mlicho nacho Sasa

Nikikwambia panga First eleven yako hapa ,na Mimi napanga ya. Astonvilla ,had makocha ,msimu huu msipogombea kushuka daraja itakuwa surprise
 
Una misimu mingapi hujacheza UEFA?

Kumaliza ligi nafasi ya pili ndiyo Achievement yako msimu huu?

Achievement haipimwi kwa nafasi.

Lete makombe uliyopata msimu huu acha longo longo na kujificha kwenye nafasi
 
Mkuu mwaka jana una utofauti gani na chelsea?

Pamoja na ubora wako lakini ukatoka kapa bila hata kombe la embe. Niambie umeachieve nini msimu huu ulioisha?
Yaan ww ugombee kushuka daraja unajifananisha na Arsenal ambaye hata usajili unaakis anaenda kufanya Nini

Rudini timu zenu za zaman ,kwasasa mtachezea nafas za 10-15

Panga First eleven yako hapa , Mimi napanga ya Astonvilla ,maana ya Arsenal itakuwa uonevu

Tuone Kama Kuna hata dalili ya nafasi ya 10
 
Una misimu mingapi hujacheza UEFA?

Kumaliza ligi nafasi ya pili ndiyo Achievement yako msimu huu?

Achievement haipimwi kwa nafasi.

Lete makombe uliyopata msimu huu acha longo longo na kujificha kwenye nafasi
Tunazungumzia Arsenal ambayo Sasa ipo Uefa jombaa ,Chelkenge hata conference nafasi ya 7 hayupo
 
Una misimu mingapi hujacheza UEFA?

Kumaliza ligi nafasi ya pili ndiyo Achievement yako msimu huu?

Achievement haipimwi kwa nafasi.

Lete makombe uliyopata msimu huu acha longo longo na kujificha kwenye nafasi
Naomba ulete first eleven yako ambayo unaona hata nafasi ya 10 itatoboa
 
Haitakaa ikatokea. Hii imetokea kwa chelsea kwasababu ya kubadilisha uongozi.

Lakini wewe pamoja na uimara wako umepata kikombe sufuri huna tofauti na mwanafuzi aliyepata division zero
Rudini timu zenu , Kama unabisha leta kikos unachotarajia kuja nacho EPL , ,

Mnagombea kushuka daraja Tena

Mida Kama hii mwaka Jana niliwaambia wakat mnajiweka kugombea ubingwa , nilisema hamna timu mlinishambulia

Now Kaz mnayo
 
Soma thread uelewe.

Nimesema ivi mna utofauti gani na Chelsea ambaye hajaachive kitu chochote msimu huu pamoja na ubovu wake?

Ninyi mlikuwa bora kuliko chelsea lakini pamoja na ubora wenu mmeachive nini?

Najua timu bora lazima imalize msimu na kombe au makombe nini vip?

Mkuu Hatuchekani kwa sasa cheka baada ya kupata kakikombe hata cha pombe tu
Ww umesema achievement mm nimekujibu kurudi UEFA maana tangu 2016 kwli hatukuwepo...Sasa ww na ww nambie achievement yako ni ipi...mi naona kwa upande wako ni kumsajili Mudryk na Enzo kwa mahela mengi...hyo ndo achievement kwenu...kwa sababu kwa mwaka jana inaonekana hata Fulham alikuwa Bora kuliko nyny mkuu
 
Nikiweka ushabiki pembeni Kwa Enzo ni kweli najua atapata namba

hebu tufanye wewe uache ushabiki maandazi pembeni utamuweka nani benchi ili mudryk acheze

Na kama hutojali, kama utapata wa kumweka benchi utoe sababu kwanini amekaa bechi na Mudryk acheze
Martinel anakula mbao bila tabu kabisa, kwa sasa huwezi nielewa ila naomba nitunze hii comment yangu kwa siku zijazo. Mudryk ana uwezo mkubwa ni vile hakupata kocha mwenye akili. Kati y wachezaji ambao chelsea hawajapgwa, basi ni Mudryk.
 
Yle mfukuza upepo ndo umfananishe na Martineli....kuwa serious kidogo mkuu...Ligi inaanza mwezi ujao tutaona stats zao tena...
 
Ww umesema achievement mm nimekujibu kurudi UEFA maana tangu 2016 kwli hatukuwepo...Sasa ww na ww nambie achievement yako ni ipi...mi naona kwa upande wako ni kumsajili Mudryk na Enzo kwa mahela mengi...hyo ndo achievement kwenu...kwa sababu kwa mwaka jana inaonekana hata Fulham alikuwa Bora kuliko nyny mkuu

Unajua kwann nimeleta mjadala huu?

Kwasababu unasema mko vizuri.

Mimi nikasema mna utofauti gani na Chelsea ambaye hajaachive chochote msimu huu?

Achievement inapimwa kwa vikombe manake timu bora inabeba makombea au kombe kubwa.

Chelsea haijabeba kombe kwa sababu hakuwa bora. Hata Brighton alikuwa bora kuliko chelsea si fulam pekee ake hata Newcastle.

Siwezi kukushangaa kucheza UEFA baada ya miaka kumi hiyo ndiyo achivement yako kwa msimu huu. Ful stop
 
Soma thread uelewe.

Nimesema ivi mna utofauti gani na Chelsea ambaye hajaachive kitu chochote msimu huu pamoja na ubovu wake?

Ninyi mlikuwa bora kuliko chelsea lakini pamoja na ubora wenu mmeachive nini?

Najua timu bora lazima imalize msimu na kombe au makombe nini vip?

Mkuu Hatuchekani kwa sasa cheka baada ya kupata kakikombe hata cha pombe tu
From now on Arsenal ni lazima ibebe any big trophy iwe EPL or champions league miaka zaidi ya 20 bila big trophies ukiachana na FA na community shield ni ujuha tumezoea kucheza sexy football ️ ila achievements ni za oldies last season tumepoteza nafasi kwa uzembe wa baadhi ya players na maamuzi ya coach kwenye substitution (refer goal la kusawazisha la Liverpool kaja kufanya sub mwishoni wakati dalili ilishaonyesha kuna kitu kitatokea)kwa sasa hizi zinazoendelea ni porojo fans tunataka makombe makubwa (Chelsea Liverpool Manchester United wana champions league, Super cup, fifa World cups,ueropa league hata Manchester City anaenda kubeba hizo super cups why not us ambao team imeanzishwa more than 100 years hatuna hivyo vikombe)yes tunaipenda Sana Arsenal sana but makombe nayo yanahitajika EPL miaka 20 imepita but champions league trophy pia tunalihitaji COYG
 
Back
Top Bottom