Penison
JF-Expert Member
- Nov 4, 2017
- 6,383
- 12,577
I want my Club to win Trophies.......Top 4 kwa Liverpool haijawahi kuwa Mafanikio hata siku moja.Wewe subiri ucheze Europa tena
Kwa wazee wale kashindanie Europa
Uwezo wa kuingia top 4 huna Tena
Na kama ulikuwa hujui Liverpool ikimaliza msimu bila Trophy kwetu tunahesabu Msimu ulikuwa ni Failure haijalishi nafasi tuliyomaliza.
LOSER CLUB Hii MENTALITY Hamna kumaliza nafasi ya 2 mnaona ni Mafanikio.