makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 35,827
- 103,898
Apunguze mabokolikoloKuna beki alafu kuna kisiki, my favorite View attachment 2672681
Apunguze mabokolikoloKuna beki alafu kuna kisiki, my favorite View attachment 2672681
Partey asiuzwe, jamaa likiwa fiti ni jitu hatari, uchawi majeruhi tu.. anahitajika kuongeza upana wa kikosi chenye ubora.Anunuliwe Lavia na winger wa kulia mmoja preferably Diaby yule wa Leverkusen...Partey auzwe sababu ni mtu ambaye hana uhakika wa kucheza gemu nyng kwa msimu kutokana na history ya majeruhi...xhaka abaki kwa msimu mmoja zaidi....then msimu unaokuja...chances za kushinda ubingwa ni kubwa maana squad depth itakuwa nzuri sana
Mlinganishe kwa magoli na ST wetu waliopo.Finishing nzuri ipi hio mbona sijawahi kuiona zaidi ya nafasi za wazi anazokosa. Huyu dogo aondoke tu maana yupo toka enzi za wenger na now ndo amebaki yeye tu mkongwe![]()
Mlinganishe kwa magoli na ST wetu waliopo.
Hesabu chances wanazokosa na anazokosa yeye
Yaani hicho unachosema ni kweli ila ndiye ana finishing nzuri kuliko aliocheza nao pale msimu uliopita kwa nafasi ya ST.Huyu dogo anafunga kwenye mazingira magumu ila kwenye clear chance ni mchomaji mimi kwangu naona huwa anabahatisha kwenye chance 5 anafunga 1
Umenikumbusha Atuganile wanguKwa ambao picha hazifunguki,
Pakueni hii app ya jf Ni nzuri
![]()
Sitashangaa tukaibukia kwa Sancho, au Jina jipyaKwenye Eneo la RW tumefichwa sana jina hata dalili za kujua nani tunamuitaji hakuna kabisa zaid ya sisi kujitungia tu aiseee.
Nawaona mkigombea kucheza Europa tena
Hakuna mwandishi muongo muongo Kama ben Jacobs ,
Kama timu yako ya LOSER ya Arsenal ilivyocheza Europa League Miaka 6 mfululizo na bado kombe hilo hilo liliwashinda kuchukua......LOSERS FC.Nawaona mkigombea kucheza Europa tena
Mbona una hasira sana mkuu...punguza makasiriko...jipangeni nyie mkachukue hyo Europa league msimu huu....si ndo level zenu sasahv huko
Tulisema hivyo hivyo mwaka 2021 na mwaka wa pili yake tukacolapse,️ |
Arsenal to move for Romeo Lavia after completing Jurrien Timber deal.
Gunners hierarchy have focused on getting players Mikel Arteta wants and the Southampton midfielder is high on his list.#AFC #Transfers #Lavia
Hii Arsenal ya NDOO
Kuna watu hawataleta timu uwanjani![]()


️
Msimu Jana mlisema hata top 4 hatuingii ,Cha ajabu kushika nafasi ya 2 mnaona tumefeliTulisema hivyo hivyo mwaka 2021 na mwaka wa pili yake tukacolapse,
Usitukane Mamba kabla hujavuka mto
Acha hasira subiri futuhi