Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

highest salary offer made by #AFC for Academy player.

Here we go
IMG_20230629_152154.jpg
 
Arsenal imecheza Europa miaka 6 mfululizo na kombe likawashinda kuchukua.

Mmeshindwa na West ham wabebeba Europea Trophies we hata ya kuhongwa hamna.
Mbona hasira ,

Ulisema Rice hawez kuja

Amekuja

Unajaa hasira
 
Mbona hasira ,

Ulisema Rice hawez kuja

Amekuja

Unajaa hasira
Utashabikia Arsenal mpaka utoke kibiongo mgongoni, Mpaka makalio yaote sugu kwenye kibanda umiza.

Hii kitu kwenye maisha yako ya hapa duniani Hauta iona kwa Arsenal.
IMG_20230630_163833.jpeg
 
Kenge nyie nikija humu ni Spana tu .
Tunaposema Arsenal ni timu ndogo mnaelewa.
 
Ni kweli kabisa mkuu tumeshindwa...haya sajilini mkimaliza muende mkachukue Europa mkuu...ndo level zenu sasahv huko
Hawa Wana hasira na timu zao zinasajili ovyo Zina wazee , muda mwingine hazisajili, Sasa hasira wanamalizia humu ,hivo sio wakuwapa nafasi ,lengo tusijadili mwenendo wa timu yetu
 
Jurrien Timber is set to undergo an Arsenal medical after a £40m fee was agreed with Ajax, TalkSPORT understands. Mikel Arteta played a major role in talks with Timber to convince the player to join Arsenal.

[@talkSPORT] #afc
 
Ni kweli kabisa mkuu tumeshindwa...haya sajilini mkimaliza muende mkachukue Europa mkuu...ndo level zenu sasahv huko
Hizi ndio akili zenu mbovu,Hizi Mentality ndio zinawafanya msionekane wakubwa.
Ukubwa wa timu ni kushinda Makombe haijalishi aina ya Trophies.
Trophies is Trophies.
Na Europa League tutacheza na tunaitaka kweli kweli.
 
Hawa Wana hasira na timu zao zinasajili ovyo Zina wazee , muda mwingine hazisajili, Sasa hasira wanamalizia humu ,hivo sio wakuwapa nafasi ,lengo tusijadili mwenendo wa timu yetu
Una furahia usajili halafu timu Makombe haichukui faida ya kusajili nini???
Acha uzezeta usajili ndio Trophies.
 
Hawa Wana hasira na timu zao zinasajili ovyo Zina wazee , muda mwingine hazisajili, Sasa hasira wanamalizia humu ,hivo sio wakuwapa nafasi ,lengo tusijadili mwenendo wa timu yetu
Haya tusubiri tutaona wewe timu yako iliyo sajili vizuri na Liverpool timu ya wazee iliyo sajili vibaya Mwisho wa msimu ni timu ipi itaseka kitu kabatini.
 
Mpaka leo najiuliza Hivi Msimu uliopita nyie vilaza [ LOSER FC] mlianzaje anzaje mpaka mkaitwa Title contender myie vibwengo.
 
Haya tusubiri tutaona wewe timu yako iliyo sajili vizuri na Liverpool timu ya wazee iliyo sajili vibaya Mwisho wa msimu ni timu ipi itaseka kitu kabatini.
Wewe subiri ucheze Europa tena

Kwa wazee wale kashindanie Europa

Uwezo wa kuingia top 4 huna Tena
 
Mpaka leo najiuliza Hivi Msimu uliopita nyie vilaza [ LOSER FC] mlianzaje anzaje mpaka mkaitwa Title contender myie vibwengo.
Hasira zote hizi sababu Rice anakuja Arsenal?

Mbona utaumia zaidi Sasa
 
Haya tusubiri tutaona wewe timu yako iliyo sajili vizuri na Liverpool timu ya wazee iliyo sajili vibaya Mwisho wa msimu ni timu ipi itaseka kitu kabatini.
Huna timu una kundi la wazee

Naona unaumia Sana ,piga ramli Tena
 
Back
Top Bottom