Kigi Makasi
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 1,309
- 2,568
Hivi ndugu kinachokutuma kuja kwenye page ya arsenal ni nini? hivi hii tabia vijana mnaitoa wapi? Ujue huo ni ushoga na umbeya wa kimama..., yaani leo unakula chakula chako, unapoteza muda wako uliopewa hapa duniani kuja kuwasema watu kwenye page ya timu yao.., hasara kwa familia yako aisee.Kenge nyie nikija humu ni Spana tu![]()
.
Tunaposema Arsenal ni timu ndogo mnaelewa.
Yaani mtu umetulia unapitia mambo ya timu yako unakuta jitu limejileta na mapicha ya timu nyingine humo na mambo mambo ya kiwaki.., Mnakwaza sana hamjui tu..!



@Teamnewsandtix,
“They think it will happen because he has completely agreed, but until the contract is signed and the ink's dry, there is that bit of doubt. If he stays, that's Arsenal's second right-wing option, for sure.”(GIVEMESPORT)


Reports