Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

White, Ramsdale, Saka, Gabriel, Xhaka and Ødegaard are always available for #Arsenal, and it's clear Arteta is targeting availability:

Havertz: 12 games missed through injury in seven years
Timber: Seven missed in three years
Rice: zero in six years

Fitness is key. #AFC
Mwanangu partey hapo ndio kunamtoa CV

Maji wataita mma
 
Hii ni kweli?
Partey hata kwenye holiday yake kaenda na Arsenal Physios
20230629_103731.jpg
 
Mwanangu partey hapo ndio kunamtoa CV

Maji wataita mma
Hahaha! team Partey naona mnatafuta namna ya kumtetea, tuliwaambia mkampamba eti "bila Partey hakuna Arsenal", mmesahau Jorginho kachukua namba yake sababu ya Control, ikafika hatua Arteta anamchezesha inverted RB lakini najua mtu ukipenda huoni.
 
COMPARED

Jurriën Timber vs Josko Gvardiol (2022/23)

Arsenal really going for it

Radar : datamb.footballView attachment 2671957

Hapo kwenye defensive actions....je amezoea kuwa kwenye team inayotawala sana na hapokei mashambilizi sana? Maana nilisema nimecheki YouTube videos zake jamaa unaweza usijue kuwa ni beki maana wanamuoyesha akishambulia zaidi kuliko kukaba. Kumbe kitakwimu haonekani akikaba sana pia
 
Hahaha! team Partey naona mnatafuta namna ya kumtetea, tuliwaambia mkampamba eti "bila Partey hakuna Arsenal", mmesahau Jorginho kachukua namba yake sababu ya Control, ikafika hatua Arteta anamchezesha inverted RB lakini najua mtu ukipenda huoni.
Partey aliweza kutuheshimisha pale dimbani
Changamoto kubwa ni majerui na kumaliza ligi ameshindwa
Maybe hii inatokana na kuwa yeye tu kila game, akipumzika Hadi aumie

Timu Kama Newcastle, Spurs, Liverpool,
Inabidi uwe na mtu wa kuingia uvungua, nginja nginja kwa Sana

All in all tunahitaji kuiona arsenal ikiwasha moto,
 
Darren Bent has suggested that he would love to see Thomas Partey alongside Declan Rice and Martin Odegaard in the Arsenal midfield next season.

“I want him to be in the number eight. So Odegaard, him, and then I don’t know what’s going to happen with Partey, but if not Partey, Jorginho. That’s the three, If Partey stayed, I’d like Partey, Declan and Odegaard.”(@talkSPORT via tbr)

Lazima tuwe na partey pale Kati mzee wa kazi chafu

Odegard
Rice
Kai
Partey

Saka
Martinel
Trossad
Rowe
Jesus
Nketiah

Zin
Saliba
Gabriel
White

Hii ndio ARSENAL ya NDOO sasa

Hopefully teams zitakuwa zimemzoea yule jini Haaland na kuweza kumdhibiti zaidi.

Nategemea msimu huu Nyumbu, Chelkenge, Nyukesto na Livakuku kuimarika mara dufu na kuleta usumbufu mkali
 
1.Arsenal
2. City
3. Newcastle
4. ?

Liverpool, nyumbu, Spurs, Brighton,

Chelkenge ata kwa bahati mbaya haingii top4
 
Partey aliweza kutuheshimisha pale dimbani
Changamoto kubwa ni majerui na kumaliza ligi ameshindwa
Maybe hii inatokana na kuwa yeye tu kila game, akipumzika Hadi aumie

Timu Kama Newcastle, Spurs, Liverpool,
Inabidi uwe na mtu wa kuingia uvungua, nginja nginja kwa Sana

All in all tunahitaji kuiona arsenal ikiwasha moto,
Sio Majeruhi tu, kuna technical limitation, hanaga Consistence na hiki kitu tumeongea sana. kuna mwana mmoja niliwahi kumsoma anasema Partey is a momentum player, nakubaliana naye kwa 100%.
 
Sawa lakini still ni among building block ya mid yetu
kama tukiwa na depth naamini hata tumika sana so atakuwa fit muda mrefu
 
Darren Bent has suggested that he would love to see Thomas Partey alongside Declan Rice and Martin Odegaard in the Arsenal midfield next season.

“I want him to be in the number eight. So Odegaard, him, and then I don’t know what’s going to happen with Partey, but if not Partey, Jorginho. That’s the three, If Partey stayed, I’d like Partey, Declan and Odegaard.”(@talkSPORT via tbr)

Lazima tuwe na partey pale Kati mzee wa kazi chafu

Odegard
Rice
Kai
Partey

Saka
Martinel
Trossad
Rowe
Jesus
Nketiah

Zin
Saliba
Gabriel
White

Hii ndio ARSENAL ya NDOO sasa
Lavia na Timber.
 
1. Kai
2. Rice
3. Timber
4.
5.

Kutoka vyanzo vyangu vya ndani kabisa

#Arsenal NDOO msimu huu itaanza ile game ya ufunguzi hadi NDOO
Naona safari hii meamua kujipanga tena kuongoza Ligi msimu ujao, halafu kombe wachukue wengine.
Arsenyani bhana

#Arsenyo Kondoo
#Haaland Kiatu
#mliMancity Champions
 
Sawa lakini still ni among building block ya mid yetu
kama tukiwa na depth naamini hata tumika sana so atakuwa fit muda mrefu
Anunuliwe Lavia na winger wa kulia mmoja preferably Diaby yule wa Leverkusen...Partey auzwe sababu ni mtu ambaye hana uhakika wa kucheza gemu nyng kwa msimu kutokana na history ya majeruhi...xhaka abaki kwa msimu mmoja zaidi....then msimu unaokuja...chances za kushinda ubingwa ni kubwa maana squad depth itakuwa nzuri sana
 
auzwe joginho
 
Back
Top Bottom