Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Naona safari hii meamua kujipanga tena kuongoza Ligi msimu ujao, halafu kombe wachukue wengine.
Arsenyani bhana

#Arsenyo Kondoo
#Haaland Kiatu
#mliMancity Champions
Mambo vipi mkuu
Nasikia nyumbuz hawauziki kabisa.
Mkatangaza kabisa mmewaweka sokoni, lakini wateja hawaonekani

Bora utumie muda mwingi huku kupoteza machungu

Magwaya price tag yake ni ngapi vile?
 
How Rice and his potential rivals compared (per 90 minutes in 2022-23 Premier League)
Declan Rice Thomas Partey Jorginho
Successful passes 50.5 62 58.6
Touches 71.3 85.4 80.5
Chances created 1 0.9 0.5
Tackles 2.2 2.5 2.5
Interceptions 1.7 1 1.3
Possession won 9.2 8.2 7.9
Passing accuracy 88.1% 88% 86.3%
 
Mambo vipi mkuu
Nasikia nyumbuz hawauziki kabisa.
Mkatangaza kabisa mmewaweka sokoni, lakini wateja hawaonekani

Bora utumie muda mwingi huku kupoteza machungu

Magwaya price tag yake ni ngapi vile?
Kule kwetu unyumbuni ni pasua kichwa tu aiseee kuanzia kwa wamiliki mpaka wachezaji.
Wachezaji wetu sio hawauziki tu hata tukiwagawa bure hakuna anaewataka.
Kulipa mchezaji £300,000 kwa wiki sio jambo jepesi kwa timu maskini kama Arsenyo.
Mimi napenda sana paka, kuna jamaa yangu alitaka kunipa paka lake zuri kwelikweli yale ya kituruki yenye manyoa kibao, ila baada ya kunitajia bajeti yake ya msosi aiseeee nilimwambia abaki tu na paka lake.
Sisi tushazoea haya mapaka yetu ya kiswahili unayapa ugali na dagaa.
acha tupunguze tu stress zetu humu kwa master class wa kufeli, wazee wa kushikilia bomba kuanzia Augost mpaka April.

#Asenyo Kondoo
#Haaland kiatu
 
Kule kwetu unyumbuni ni pasua kichwa tu aiseee kuanzia kwa wamiliki mpaka kwa wachezaji wetu.
Wachezaji wetu sio hawauziki tu hata tukiwagawa bure hakuna anaewataka.
Kulipa mchezaji £300,000 kwa wiki sio jambo jepesi kwa timu maskini kama Arsenyo.
Mimi napenda sana paka, kuna jamaa yangu alitaka kunipa paka lake zuri kwelikweli yale ya kituruki yenye manyoa kibao, ila baada ya kunitajia bajeti yake ya msosi aiseeee nilimwambia abaki tu na paka lake.
Sisi tushazoea haya mapaka yetu ya kiswahili unayapa ugali na dagaa.
acha tupunguze tu stress zetu humu kwa master class wa kufeli.

#Asenyo Kondoo
#Haaland kiatu

Arsenal NDOO itaanza mapema sana msimu huu
Unyumbuni labda ule uwanja mfuge kuku wa kisasa
Viti mkodishe kwenye masherehe

1. ARSENAL
2. city
3. Newcastle
4. ?

Liverpool, Brighton, Spurs, nyumbu

Uwe na Eid njema
 
na wewe pia mkuu nakutakia Iddi njema.
Ila safari hii mkiamua tena kushikilia bomba msituangushe aiseeee hebu jikazeni bana mpaka mwisho wa safari.
Haya mambo ya kushikilia bomba kuanzia Augost halafu mnakuja kuachia April mnasababisha msongamano mkubwa wa mashabiki wenu kwenye hospitali yenu ya Dodoma.
tapatalk_2029434656_512x512.jpg
 
Anunuliwe Lavia na winger wa kulia mmoja preferably Diaby yule wa Leverkusen...Partey auzwe sababu ni mtu ambaye hana uhakika wa kucheza gemu nyng kwa msimu kutokana na history ya majeruhi...xhaka abaki kwa msimu mmoja zaidi....then msimu unaokuja...chances za kushinda ubingwa ni kubwa maana squad depth itakuwa nzuri sana
Yan ulichoongea ni sahihi ila Xhaka aende bt partey abaki kwa msimu mmoja
 
Kule kwetu unyumbuni ni pasua kichwa tu aiseee kuanzia kwa wamiliki mpaka wachezaji.
Wachezaji wetu sio hawauziki tu hata tukiwagawa bure hakuna anaewataka.
Kulipa mchezaji £300,000 kwa wiki sio jambo jepesi kwa timu maskini kama Arsenyo.
Mimi napenda sana paka, kuna jamaa yangu alitaka kunipa paka lake zuri kwelikweli yale ya kituruki yenye manyoa kibao, ila baada ya kunitajia bajeti yake ya msosi aiseeee nilimwambia abaki tu na paka lake.
Sisi tushazoea haya mapaka yetu ya kiswahili unayapa ugali na dagaa.
acha tupunguze tu stress zetu humu kwa master class wa kufeli, wazee wa kushikilia bomba kuanzia Augost mpaka April.

#Asenyo Kondoo
#Haaland kiatu
Nimecheka hapo kw mapaka y uswahilini🤣 , hayo hata usipoyapa chakula fresh tu!! yanatoka kwenda kula nje huko.
Hizi Kondoo ukizisikia pre saeason zinavyochambua timu yao, unaweza kufikiri msimu ujao watachukua makombe yote, mpk Laliga, Bundasiliga, Serie A, Ligue 1
 
Nimecheka hapo kw mapaka y uswahilini , hayo hata usipoyapa chakula fresh tu!! yanatoka kwenda kula nje huko.
Hizi Kondoo ukizisikia pre saeason zinavyochambua timu yao, unaweza kufikiri msimu ujao watachukua makombe yote, mpk Laliga, Bundasiliga, Serie A, Ligue 1
na woldi kapu juu.
 
ARSENAL BADO INAUWEZO WAKUSAJILI ZAIDI

Arsenal are in a strong position financially due to having their wage bill under control which has given them more flexibility in regards to spending, that coupled with UEFA Champions League football.

Football Finance Expert @KieranMaguire says Arsenal could spend even more
 
"Pre-season is usually associated with hope and excitement, but at United, not for the first time, there is a feeling of trepidation and unease."

Richard Martin Goal.com
 
VIONGOZI WAMEJITAHIDI ,WAMEBAKIZA WALIOPO NA WAMEONGEZA WENGINE

Bukayo Saka contract
William Saliba contract
Aaron Ramsdale contract
Reiss Nelson contract
Ethan Nwaneri contract
Declan Rice signing
Kai Havertz signing
Jurrien Timber signing

If all of these are done, which is looking likely atm, this is an all-timer window from Arsenal
 
Saliba , Martineli, Trossard na Tomiyasu wapo Spain na Physio wa Arsenal akiwaweka fit kwa ajili ya kujiunga pre season

Arteta anataka aende pre season akiwa amemaliza usajili
IMG_20230629_150338.jpg
 
Ethan Nwaneri has committed future to Arsenal by signing scholarship terms + agreeing pro deal when turns 17. Major interest from other clubs but 16yo never wanted to leave - lifelong #AFC fan & Islington born/bred. Huge boost for Gunners

@TheAthleticFC
IMG_20230629_152154.jpg
 
Back
Top Bottom