Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal have agreed deal with West Ham for the £105m signing of Declan Rice

(@JacobSteinberg )
 
ARSENAL WIN UEFA FOOTBALL AWARD

Hii tuzo ya kutambua mchango wetu katika kupinga baguzi mbali mbali na kufanya mpira wa miguu kuwa rafiki kwa wanadamu wote tutapewa kesho.

Tumeipata hii kwa kampeni yetu ya 'NO MORE RED' inayopinga violence, hasa uchomaji visu kwa vijana wa mitaani London ili kufanya viwanja vya michezo kuwa sehemu salama kwa vijana kutembelea na kufanya mazoezi.

Pia tumekuwa timu ya kwanza kuweka mkalimani wa lugha ya alama kwene mechi za Emirates ili wenye ulemavu wa kusikia nao waweze kuenjoy zaidi mbwembwe za Saka na Martinelli na wenzao

Hongera kwetu
Ongeren the Gunner ndo kombe lenu ilo
 
David Ornstein

Arsenal have agreed a fee with West Ham to sign Declan Rice. #AFC made £100m + £5m add-ons offer for 24yo England midfielder last night & that has been accepted. Record for British player. Clubs now working to resolve payment terms

@TheAthleticFC #WHUFC
 
Mpaka nione bbc/sport, otherwise bado ni porojo
 
Huyo jamaa huwa kama demu, kuna mwamba alimquote akamwambia natunza hii comment, haijapita hata wiki anaenda kuumbuka, ana force uhasimu wa liverpool na Arsenal, sisi hasimu wetu ni Man u na Spurs basi, nyie wengine msilazimishe hatuna uhasimu na timu zenu.
Hahahha umenikumbusha kaka

Nilimwambia ukiamka utakuta meza imepinduka ila alikataa kwa ujasiri mkubwa sana…
IMG_20230628_215825.jpg
 
Mpaka nione bbc/sport, otherwise bado ni porojo
BBC Kuna mwandishi mmoja pale namuamini , The Athletic, Telegraph huko ndio Kuna miamba wa habari za Ndani ,

The Athletic walimchukua David Ornstein kutoka BBC sport , toka hapo wengi wamebaki wababaishaji,

The Athletic na Telegraph hata The Guardian wote mule Tier 1,

Fabrizio nahisi kaondoka The Guardian na Sky sport anajitegemea
 
Msimu wa 24/25 naamin Arteta atapush kumpata Rafa Leao £100m + CF dogo wa Brighton £80m. tunasajili wachezaji ambao hata Madrid wanacheza, kwa sasa hata tukimuuzia project Jude Bellingham hawezi kataa, chama linasajili World Class players.
 
Kuwa serious basi, kwa hiyo rice ni world class player?? Unajua kwa nini city wamejitoa kumtaka. Wameona ni mchezaji wa kawaida halafu anauzwa bei, wameona kuna upgaji mwingi.

Unafikiri angekua world class man city wangeshindwa kutoa hata 150 kumpata. Nyie kondoo mnaenda kupgwa.
 
Baada ya Arsenal kuamua kuvunja kibubu Kwa Rice na Havertz Kuna watu wamepatwa na homa ya ghafla, wako kitandani wanauguza maumivu!.. yaani hawajacoment lolote!.. tungemkosa, aiseeee! Tusingekunywa maji!.... ACHENI KUJIFANYA NYIE NI THE GUNNERS KUMBE NI NYUMBU MBOBEZI!... Shabiki gani wa Arsenal hifurahii tunaposajiri sajiri za maana!...
 
Back
Top Bottom