Mkushi w jani
JF-Expert Member
- Oct 2, 2021
- 1,902
- 1,711
umeckia wap aseeee ndo furaha yangu iyoNmefurahi kuskia Partey ana baki
umeckia wap aseeee ndo furaha yangu iyoNmefurahi kuskia Partey ana baki
ARSENAL BADO INAUWEZO WAKUSAJILI ZAIDI
Arsenal are in a strong position financially due to having their wage bill under control which has given them more flexibility in regards to spending, that coupled with UEFA Champions League football.
Football Finance Expert @KieranMaguire says Arsenal could spend even more![]()
Wamchukue Olise na Lavia
Balogun anacheza vizuri sana false nine. Hautalihisi pengo la Jesus.
Isipokua Nketiah ana finishing nzuri. Na mkikabwa ujue hakupi kitu cha ziada

Naona safari hii meamua kujipanga tena kuongoza Ligi msimu ujao, halafu kombe wachukue wengine.
Arsenyani bhana
#Arsenyo Kondoo
#Haaland Kiatu
#mliMancity Champions



kuhusu kombe ni rahisi sana kwa Newcastle kubeba kuliko arsenal. Fikiri mwaka huu Newcastle akapata chance kama aliyopata arsenal points 8 ahead hakuna wakumzuia. Tunza hii sms kakaTangu mumeanza sajili wachezaji wa Chelsea hamujawahi kuvuna chochote na sasa tumewapiga kwa Kai😂😂😂😂
Arsenal ndoo...invincibles
Arsenal manager Mikel Arteta has “personally met” Ajax centre-back Jurrien Timber ahead of a potential move to the Emirates Stadium this summer,
“To be honest, I'm less on top of the Timber deal, but I know Arteta has personally met the player. When Arteta wants a target, especially if there's time to do so, he tempts a player in a way I've never seen any other manager do in football. I know Arteta has done that.” He said.UnderratedKuna beki alafu kuna kisiki, my favorite View attachment 2672681

️ |
Arsenal to move for Romeo Lavia after completing Jurrien Timber deal. 
#AFC #Transfers #Lavia




Apunguze mabokolikoloKuna beki alafu kuna kisiki, my favorite View attachment 2672681
Partey asiuzwe, jamaa likiwa fiti ni jitu hatari, uchawi majeruhi tu.. anahitajika kuongeza upana wa kikosi chenye ubora.Anunuliwe Lavia na winger wa kulia mmoja preferably Diaby yule wa Leverkusen...Partey auzwe sababu ni mtu ambaye hana uhakika wa kucheza gemu nyng kwa msimu kutokana na history ya majeruhi...xhaka abaki kwa msimu mmoja zaidi....then msimu unaokuja...chances za kushinda ubingwa ni kubwa maana squad depth itakuwa nzuri sana