Richard
Platinum Member
- Oct 23, 2006
- 16,636
- 25,617
Timber na Zinchenko watakuwa wakipanda kusaidia mashambulizi na kukaa sehemu ya kiungo.Hivi huyu Timber ni beki kweli? Na kama ni beki je anajua kukaba? Maana kila compilation yake YouTube namuona anashambulia tu na kuwatoka wapinzani kwa spins na feints. Utani pembeni...Inaelekea atafaa kama Eboue flani kwenye attacking ila kwenye kakaba isije ikawa ni Trent Alexander-Arnold type. Kwa YouTube unaweza kudhani jamaa hakutani na attackers wa maana. EPL itamchallenge
Hio ndo sababu Arteta amtaka Timber.
Tomiyasu aweza lakini kuna kipindi hushindwa kusimamia mashambulizi.
Ben White ndo kabisa hawezi mara nyingi huwa weak point.
Hivyo kutafuta balance ya upande wa kulia na kushoto ndi Timber kapatikana acheze na Zinchenko.
Liverpool nao huwatumia Robertson na Trent Alexandra Anold kupanda kusaidia mashambulizi.
Man City huwatumia Kyle Walker (kulia) na Nathan Ake (kushoto) na kuna wakati beki wa kati John Stones huwa mchezaji wa kiungo.
Hiyo ndo system mpya ya uchezaji kwa kuwatumia mabeki wa pembeni na wa kati kuwa wachezaji wa viungo jinsi game linavyoenda.
BREAKING: Arsenal and Mikel Arteta are close to sealing a £50m deal for Jurriën Timber and want to sign Roméo Lavia from Southampton. Reports, @JacobSteinberg.
@SamiMokbel81_DM trib.al/J27ysKt