Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Naona wamepata mrithi wa Fabregas ,huenda wiki hii Fabregas akajiunga na Barcelona
Hivi mkuu bado unaamini Barcelona wanamhitaji Fabregas au basi tu wanataka kutishia watu nyau lol? Wangekuwa na nia naye wangemchukua kama walivyofanya kwa Sanchez.

Ila kwa Nasri hapo patamu sintomuelewa Wenger kabisa kama atamlazimisha Nasri abaki msimu huu alafu amuachie bure msimu ujao unless dogo asajili contract between now na next summer au amuuze in January.
 
Nasri mwenyewe kakubali atakaa kumaliza contract yake ili awe huru. Arsenal hatutengenezi pesa kwa kuuza wachezaji na tunawalipa kutokana na viwango vyao. Kama yeye anaona atapata mpunga mwingi zaidi mahali pengine mwakani sio mbali amalize tu mkataba mmchukue bure. Lakini mwaka huu Prof kesha sema hawezi kuwapa wapinzani mchezaji wa kutumainiwa.
 
Reactions: Mbu
Yani prof angefumba eyes kidogo,awatwae samba na cahill then amalizie kwa juan(huan) mata,backline yetu ingetisha ka fort jesus na tungekuwa na undisputed midfield zaidi ya barca!
 
Akili za bosi wenu AW anazijua yy mwenyewe...ni sawa na kumpangia kikosi SAF....

Yataka moyo sana kuwa ardent fan wa Arsnools...unles azawiz, ushabiki wa klabu sio kabila, ambalo huwez libadili...karibuni ngome Kongwe, khekheeeeee!

Sipati picha Balantanda ana khali gani na mazingaombwe haya ya AW..lmao..!
 
Yani prof angefumba eyes kidogo,awatwae samba na cahill then amalizie kwa juan(huan) mata,backline yetu ingetisha ka fort jesus na tungekuwa na undisputed midfield zaidi ya barca!

Angebeba hivyo vifaa mbona tungekata ngebe ya watu wengi!! Maaana hivi sasa watu wanashoboka kupitiliza, hadi tunakosa raha!!
 

Si unaona? hawa ndio wale niliosema wanashoboka, lakini waache waendelee tu siku zao za kufurahi zinaelekea ukingoni-muda utakapowadia watanyamaza na aibu tele!
 
angalieni reaction ya gooners supporters & iam with them

 
angalieni reaction ya gooners supporters & iam with them

Together We Stand Bruv....! Le Professeur anakimbia wages nini huyu? unajua mambo ya cheap labour nayo mnh!
Haya, tuone AOC naye ata 'offer' nini Imarati msimu huu!....



Arsenal complete £12 million signing of Alex Oxlade-Chamberlain from Southampton.
 

...nakubaliana nawe, hasa left back. Traore bado kwa mtazamo wangu japo Arsene Wenger amefaulu sana kuibua vipaji kwenye idara hiyo mfano; Silvinho, Ashley Cole, Clichy, Gibbs...

umemsahau lauren etame mayer
 
Si unaona? hawa ndio wale niliosema wanashoboka, lakini waache waendelee tu siku zao za kufurahi zinaelekea ukingoni-muda utakapowadia watanyamaza na aibu tele!

Huo ukingo wa kushoboka na nyie loosers mbn haufiki tu miaka nenda rudi.?

Upenzi wako unakufanya kuwa kipofu kuona maigizo ya bosi wenu anayoyafanya...tumechoka kusindikizwa bana EPL...

19th title and still counting.....nyie vp?
 

Kwa kweli mie wazee tungemvumilia tu AW mpaka achoke aondoke, labda hizo hela anazobania, akija manager mwingine ndio zitaanza kutumbuliwa mpaka tuwe na madeni kama Manure!
AW anaendesha club kama Company LTD.
Madeni hakuna, washabiki waliokuja juzi juzi tu na wasiojua jinsi Arsenal inavyondeshwa ndio wanaongoza kwa kelele.
Kwa kifupi Arsenal haina kawaida ya kununua wachezaji kwa bei mbaya, kuja juu kwa Man City na Chelsea isiwe sababu kwetu na AW kuleta madeni tukaishia kama Leeds, Portsmouth au Newcastle.

Tusifikirie mno tunacho miss, maana hatuta enjoy tulicho nacho.
Atawasajili hao mabeki/beki mnaotaka ila kwa jinsi yeye AW anavyotaka, maana si ndio manager wakuu??
 
Reactions: Mbu

Sawasawa kabisa Mkuu Jeb.
Mapungufu ni machache kuliko yanavyoonekana kwa nje.
The patience is running thin due to the lack of Silverware...

Otherwise, all is good.
 

Hivi UCHOKOZI umeanza lini?

Naomba niku unfrnd JF rasmi, naona unagusa pasipogusika...unles azawiz naomba ufute kauli(picha) yako...lmao!
 
Reactions: Mbu

Well said, ila missing on pertinent point:
Sound financial status haiwanufaishi millions ardent fans wa Arsenal fan ambao 98% ya mapato ya Arsenol wanayapata kupitia hao. Wht do they need back?, TROOPHIES period....!
Hizo sound financial statements zinawanufaisha very few shareholders wa Arsenal PLC ambao wakifunga mahesabu ndio wanapata faida.

Mnabahati u play tht sex footbal, kitu ambacho kinawafanya watu weengi wapende kuwaangalia..ila tht patience is getting thin and thinner, soon or later, watu watawachoka, hata ww utawachoka.
TUMECHOKA KUSINDIKIZWA bana kwenye troophies Marathon.

Mbu naye BP imshuke kidogo wajameni...
 
hivi habari za nasri ... kwenda city zimeshakuwa confirmed ..???????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…