Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 38,235
- 76,759
Kwamba United inahitaji kuraise fund na miongoni wa wachezaji wanaouza ni Maguire eti kwa 40M. Labda klabu za Saudi zimchukue
Inaniuma kuona katika wachezaji wanaouza hamna hata mmoja ninayetamani aje Arsenal. Wanauza Sancho, Martial, Elanga, Fred na Scot
Inaniuma kuona katika wachezaji wanaouza hamna hata mmoja ninayetamani aje Arsenal. Wanauza Sancho, Martial, Elanga, Fred na Scot