Lavia mtu sana.kabisa aseee tuamie kwa lavia tu kwa upande wangu namuona yuko vzuri zaidi

#MCFCConfirmedManchester City will NOT match Arsenal bid for Declan Rice. Decision made — as they are set to pull out of the race at the current conditions#MCFC
Arsenal were very confident last night… and they remain very confident today, working on structure of the deal with West Ham.
Fabrizio Romano
Arteta asajili asajilivyoLavia mtu sana.

️
#AFCCity wametangaza kujitoa, na sasa Arteta wako kwenye majadiliano na Westham ya naman ya malipo𝗕𝗥𝗘𝗔𝗞𝗜𝗡𝗚: Arsenal have SUBMITTED thier THIRD bid of £100m + 5m for West Ham midfielder Declan Rice.
➪ David Ornstein
Sasa mpo seriously kweli hadi mmevunja kibubu
Hapo naunga mkono mada, Westham wametaka kuweka propaganda ili Arsenal mjiue wenyeweKuna page Twitter inaitwa Purple Panel Research iliripoti Rice kasajiliwa tangu wiki iliyopita. Watu wakambishia akasema in fact hakuna timu yoyote iliyomtaka Rice zaidi ya Arsenal West ham walitunga tu ili kukuza bei ya mchezaji.
Akatoa hoja kwamba mmiliki wa Hammers ni media tycoon na ana urafiki na Di Marzio. Na ripoti za kwamba City kamuulizia Rice zimetoka wapi? Kwa Di Marzio.
Akasema Rice asipokuja Arsenal anafuta akaunti yake
Hajarusha taulo bali wakala wa Rice kasisitiza kwa Man City kwamba Declan ataka kwenda Arsenal.Taarifa zinasema Mancity karusha taulo
Nina vyanzo vitatu Tier 1 vinasema hivo, nasubiri wengine nihakikishe 100%
Nilimfatilia Sana jamaa , atavuna followers wakutoshaKuna page Twitter inaitwa Purple Panel Research iliripoti Rice kasajiliwa tangu wiki iliyopita. Watu wakambishia akasema in fact hakuna timu yoyote iliyomtaka Rice zaidi ya Arsenal West ham walitunga tu ili kukuza bei ya mchezaji.
Akatoa hoja kwamba mmiliki wa Hammers ni media tycoon na ana urafiki na Di Marzio. Na ripoti za kwamba City kamuulizia Rice zimetoka wapi? Kwa Di Marzio.
Akasema Rice asipokuja Arsenal anafuta akaunti yake
LaviaSasa Rice atakuja na back up wake je? Atakua nani?
Lokonga na Vieira? No
Zubimendi ni Partey, no way ataliliwa aje. Jorginho ni mzee sasa
Hapo kwa Ikay ni uongo mtupu, free agent unamchagulia pa kwenda???Hajarusha taulo bali wakala wa Rice kasisitiza kwa Man City kwamba Declan ataka kwenda Arsenal.
Sababu kubwa mbili ni kwamba Rice juzi mkewe kajifungua hivyo hataki ile "hustle" za kuhamahama na pia kuhamia mji mpya.
Pia sababu ingine ni kwamba Rice aogopa kwenda kukaa bench kwani Kalvin Phillips bado yupo bench na pia Kovacic nae kasajiliwa hivyo kuweka ugumu kwa Rice kuwa first choice.
Ukweli kuhusu Kalvin Philips ni kwamba Manchester City walimsajili msimu ulopita ili kumzuia ajisajiliwe na timu zingine hususan Liverpool.
Hata Ilkay Gundogan amepewa masharti kwamba kitaka kuondoka aende ligi za Ulaya na si ligi ya Uingereza kwani yeye taipa faida timu ingine na ndo maana ameenda Barcelona.
Hivyo wenzetu huko Ulaya huangalia mambo mengi kuhusu usajili na si kukimbilia tu timu hufahamu mipango yao, kuna mbinu, ujanja na matumizi makubwa ya maarifa.