hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,339
- 26,822
Zaha yupo free ,naona hayupo kabisa kwenye mipango yetu Wala hakuna tetes za kumuhitajihamis77 je tumeachana na Zaha mazima? Je ni Mzee sana hafundishiki? Hatuwezi kumpa mkataba wa miaka 2? Naona ukiwa unaweza kumtoa Martinelli ukaingiza Zaha na ukiwakosa una Trossard na ESR unakuwa na hatari upande wa kushoto. Pia anaweza kucover upande wa Saka Kwa usumbufu ule ule . Naona shida kubwa ni end product...yaani magoli na assists
Winger nasikia tutaongeza mmoja upande wa Saka ila baada ya target muhimu kumalizika
Upande wa kushoto Kuna wingers Kama 4
Martinel
Trossard
Nelson
Smith Rowe
Kulia yupo Saka pekee
Japo kwakuibia Nelson anacheza hata Kai niliona Chelsea wakimtumia Mara kadhaa
️
#AFC
| Mikel Arteta: “Bukayo Saka is very good and very consistent. His performance and numbers at the age of 21 are crazy.
percent but unashangaa haonekaniki Zaha tatizo lake ni discipline kama Baloteli au Morisson (wana vipaji tatizo ni hilo)
Kai Havertz has completed his Arsenal medical with the official announcement expected sometime next week.
#afc