Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal feel small changes to their £105m bid for Declan Rice will make the deal happen & are now very confident in completing the deal. [@FabrizioRomano] #afc
 
Thuram na Kone sio ‘watoto’ wana uwezo mkubwa sana,pale kati pia anaongezwa Barela pia beki wa pembani Pavard ili TAA acheze kati sio tena akina Fabihno.
Klopp kaisha kimbia nalo kombe lake.
Thuram na Kone nimewaangalia , Sion Kama wapo tayari kwa EPL hii

Jidanganyeni tu
 
Most of people hawajui mengi kuhusu hizi deals za £100m

Mfano hapa kwa Grealish mpaka Leo city anadaiwa
IMG_20230627_144829.jpg
 
After bid ya £100m + 5add ons


Structure of the up front payment still being discussed
 
Hapo kwenye defense hebu check yeye na Caicedo nani anafanya defense vizuri.

Nafikiri Arsenal tunakomaa na Rice kwa sababu havutiwi sana na kwenda mbele kama Caicedo, kupenda kwenda mbele kwa Caicedo ni kama Lokonga. So Rice akiwa pale inakua rahisi kucheza 4 3 3 ambayo ikichekechwa inakua 4 1 2 3.

1 DM na 2 ni AM

DM Rice na AM Kai na Martin

Kwa maoni yangu
Hiyo ndio Dream team anayoiota Arteta

4-3-3 ya Double 10 KAI & ODEGAARD

DM awe RICE akisaidiwa na Zinny au Timber au wote wawili

Akishambulia kwa 2-3-5 au 3-2-5

Anaamini KAI analipenda Sana Box ,anaziona Sana nafasi kuliko Xhaka ambaye mzuri defense


Sasa ukimpata Rice atasaidia Sana kukaba hatakwenda Sana mbele



Declan Rice is Mikel Arteta’s top target & Arsenal have gone to great lengths to woo the player. There is mutual admiration between Rice & Arteta. Arsenal’s manager envisages pairing Rice in midfield with Kai Havertz.

[@JacobSteinberg] #afc

IMG_20230621_234059.jpg
 
Installment issues in Arsenal’s bid for Declan Rice are thought to be minor. Reports,


@Teamnewsandtix- Tier 1
 
Arsenal haitasajili RCB Bali Ben white atarudishwa RCB akagombee namba na William Saliba

Jurrien Timber Ni usajili wa RB


Kieran Tierney anaweza kurudi Celtic au Newcastle


Nafasi ya LB watasaidiana Zincheko na Tomiyasu

LCB ataendelea Gabriel Magalhaes na Jakub kiwior


Rob holding ameambiwa atafute timu ya kumnunua au mkopo ,Besiktas ,Brentford wanamunitaji

Kama itatokea timu ya kumtaka kwa mkopo Basi Arsenal wataongeza mkataba ili aje auzwe .
 
Oya 100M hua haitoki mara moja.

Kwani kuna mtu alijua inatoka mara moja

FFP itakua inakulia timing
Kuna watu wanakwambia ohoo Tunalipa kwa mafungu

Mfano usajili wa Enzo pale Chelsea wanalipa kwa 6 installments
 
Arsenal haitasajili RCB Bali Ben white atarudishwa RCB akagombee namba na William Saliba

Jurrien Timber Ni usajili wa RB


Kieran Tierney anaweza kurudi Celtic au Newcastle


Nafasi ya LB watasaidiana Zincheko na Tomiyasu

LCB ataendelea Gabriel Magalhaes na Jakub kiwior


Rob holding ameambiwa atafute timu ya kumnunua au mkopo ,Besiktas ,Brentford wanamunitaji

Kama itatokea timu ya kumtaka kwa mkopo Basi Arsenal wataongeza mkataba ili aje auzwe .
Niliwahi kuandika hapa Arsenal tunahitaji mchezaj mmoja tu kati ya RCB / RB na pia mmoja kati ya RW/ CF, kama tutamsajili Lavia basi ni wazi Kai atacheza km CF na Jesus atarotate na SaKa.
 
Westham valuation ya mchezaji imefikiwa ila yanaingiza ujanjaujanja hapo kati, akili za kimaskni sana.
 
Mchezaji anataka kwenda Arsenal, club yake inabana, ni kama dili la Mudryk ilivyokuwa, conclusion; wachezaji waachwe wakacheze timu wanazozipenda ili wasiwe na regrets baadae.
 
| Arsenal and West Ham United are now in advanced talks over the future of Declan Rice, with the two clubs discussing the details of the potential £105 million transfer.


[@JBurtTelegraph, @SamJDean, @TelegraphSport] #afc
 
Rice ni overrated sababu ni British, in my opinion huwa nawakubali sana South America players ni fighters na ball wanalijua hata baadhi ya African players pia huwa ni wazuri tatizo ni media coverage huwa haipo upande wao so Rice akija ni sawa asipokuja pia ni sawa tu
kabisa aseee tuamie kwa lavia tu kwa upande wangu namuona yuko vzuri zaidi
 
Back
Top Bottom