Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ni ishara nzuri kwa Arsenal kuelekea next season kurudi kwa ESR kutaongeza kitu kwenye timu

he can play as CAM or LCM ambapo Xhaka ametumika sana kwa ubora mkubwa next season kutakuwa na competition kubwa sana kwenye timu ya arsenal Pre season itamjenga na kumfanya bora zaidi
IMG_20230625_213016.jpg
 
Jorginho, on his Instagram story, with Kai Havertz, with the caption “
IMG_20230625_213758.jpg
 
EXCLUSIVE||


Arsenal and Ajax are coming to an agreement on the transfer of Jurriën Timber. He’ll earn a reported €8m per year at Arsenal (£128k PW). Expectation is a deal can be done at €45m (£38m) for the player


[Via - @MikeVerweij].-TIER 1
 
Kwahiyo we unahisi Rice hatokuwa sehemu ya wenye price tag kubwa na wakafanya vizuri?

Mlichukua hatua gani nyie washabiki wa Chelsea baada ya club kutoa zaidi ya £100 Kwa Enzo?

Au wewe unaewapenda sana Arsenal unashauri wangemnunua Nani?
punguza nyundo kaka wengine tunajaribu tu kuchambua wala hatuko serious.
 
Hatakiwi kuzidharau Liverpool Manchester United Chelsea Tottenham ni PEP pekee mwenye jeuri hiyo Arteta ndio kwanza anajitafuta licha last season Arsenal imeonyesha uwezo but tusubiri next season aonyeshe tena maajabu isije ikawa one season wonder!maana Arsenal yenyewe haitabiriki sio ya kuiamini sana kwa sasa but let's wait and see

Of course na Mimi nimeongeza chumvi na kusema kiushabiki zaidi. Ila amesema ligi utakuwa ngumu kuliko, kama msimu huu ulivyopita ulivyokuwa mgumu maana quality Iko juu sana. Ukiteleza kidogo umeumia na ukikosa quality na depth unaumia. Anaonekana anaheshimu sana wapinzani wake ingawa anamuona Pep ndiye creme de la creme na anajitahidi kushindana naye. Of course naona amemsahau jini mmoja anaitwa De Zerbi
 
Sio kwa ubaya ila timu yenu ina wazee wengi Sana ,baada ya Mac Allister , mnahangaika na vitoto kina manu kone , Thuram , Ni ngumu kwa stail hiyo kupambana na Pep

Wenzenu wanahangaika kusuka timu nyie mnasubiri miujiza ,Pep anakamilisha usajili wa Gvadiol kwa €100m

Unakumbuka mwaka Jana nilikwambia Sion mkifurukuta , msimu huu Kama hamtasajili CM wa kueleweka kazi mnayo ,hamuwezi kumtegemea Hendo na Fabinho pale Kati kwa EPL hii ambayo Newcastle ameshusha Sandro Tonal kwa €70m.
Mkuuu hawa Newcastle mwakan si wakubeza
 
Kai Havertz has already completed first part of the medical tests as new Arsenal player. Just waiting for the contracts to be signed on club side. #AFC

Deal from Chelsea will be completed this week.
 
| @FabrizioRomano:

“We heard a lot about an official Manchester City bid for Declan Rice, and it could still happen, but also Arsenal plan to submit a third proposal to West Ham United this week.

“The race remains open between Man City and Arsenal, waiting for the bids and also for West Ham position. Payment terms will also be important, West Ham want big money paid now and not in four or five instalments.

“As I revealed a couple of days ago, contacts have taken place between City and Rice on the player side. Mikel Arteta has been trying his best to sign Rice for Arsenal, but City are still there as well.

“Nothing is decided yet, but we could have a crucial few days ahead.” [@caughtoffside] #afc
 
| 𝐉𝐔𝐒𝐓 𝐈𝐍: 𝐉𝐔𝐑𝐑𝐈𝐄̈𝐍 𝐓𝐈𝐌𝐁𝐄𝐑:

Jurriën Timber is joining Arsenal!


• Both clubs have reached an agreement on the transfer, although the specific fee remains undisclosed at this time.

• As per @MikeVerweij, Jurriën Timber has agreed to join Arsenal until 2028, after reaching an agreement on personal terms. He is set to earn £150k per week, positioning him among the top five highest earners at Arsenal.

• Our research suggests that the transfer fee is anticipated to be in the range of £40m–£45m, potential bonuses and add-ons to be announced.

• Mikel Arteta, has been actively involved in communicating the club’s project and aspirations to Timber.

• Arsenal’s board has demonstrated a commitment to supporting Arteta’s vision, offering the necessary resources for the transfer. They believe now is the time to push all in. Now or never.

Check

#AFC #Arsenal
 
Why nipinge?I am happy for this unajua sisi baadhi ya Arsenal fans tunajitambua sio sifiasifia hata kwenye nonsense that's why tunaonekana wapinzani hii ni habari njema sana
nyie Kima hebu kuweni Serious basi jamani.
Yaani kwa akili zenu mnadanganywa na mchungaji Mackenzie na mnaamini na kukubali kabisa kua Arsenyani inashika namba 2 katika Most Valuable club in the World 2023 kweli?
Yaani hata wewe computerarsenal ninae kukubali kua ni miongoni mwa mashabiki wachache wa Arsenal wanaojielewa unakua kama msukule yaani unapongeza kabisa bila hata kujiuliza kwa jambo lipi haswa linalowafanya Arsenyani mpaka muingie hata kwenye top5 tu ya Most Valuable club in the World?
1687764295114.jpg
1687764405802.jpg
 
Declan Rice.

Why are Arsenal and Man City fighting for his signature?

Near-perfect availability
️ Elite ball winner
Not a progressive passer

@TheAthleticFC
 
EXCL: Arsenal have submitted second official proposal to Ajax in order to get Jurrien Timber deal done this week. #AFC

Talks advancing between clubs after £30m opening bid rejected.

Personal terms agreed last week on five yeae contract.
 
Back
Top Bottom